Uchaguzi 2020 Zitto 2015 ulikataa UKAWA, why leo utake Coalition?

Na huyo kiongozi atakaye kubali kutuingiza cdm kwenye huo upuuzi wa kuungana na wasaliti wa upinzani basi atatubeba
CDM wana wagombea wao; kama Membe anataka aende CDM then wamfikirie...

Siioni mantiki ya CDM kuugana na mgombea urais wa ACT chama kilichokuwa ba mbunge mmoja bara...hilo litakuwa ni kosa kubwa la kiufundi.
 
Basi ACT kwa sababu imekuwa kubwa na kujulikana basi wajitegemee tu
 
Shida ya CHADEMA ni kudhani wao tu ndio wanastahili kuliko wengine! Afadhali CCM mara 100 kuliko CHADEMA hii ya kibaguzi!
Sasa kama mnajiona mpo juu zaidi ya cdm basi endeleeni na mipango yenu nasi cdm tutafanya yetu kivyetu vyetu kuliko kushirikiana na wasaliti kama nyinyi vibaraka wa ccm
 
Siasa ndivyo ilivyo, japo Zitto nae haaminiki kutokana na aliyowahi kuyafanya siku za nyuma, binafsi naamini hata kama patakuwa na coalition kati ya Chadema na ACT but mgombea Urais wa Tanzania Bara lazima awe mpinzani, alielelewa upinzani.

Na mpinzani wa kweli ni Tundu Lissu na siyo yeyote mwingine! Kama Zitto alikataa UKAWA 2015 wakati ulikuwa ni muafaka, leo hii (2020) anataka nini? Hata hivyo upinzani usahau kabisa kuchukua nchi labda mpaka 2089 ili kizazi kilichovuruga upinzani 2015 kitoweke! Rais Dr Magufuli kishanyoosha na kusafisha chama tawala na serikali, ataendelea mpaka 2035 kwani katiba siyo msaafu au Biblia!
 
Cdm hata isipo pata mbunge hata mmoja poa tu, lkn hatupo tayari kufanya coalition na mawakala wa ccm, never!
 
Haina tatizo kama wanajiamini ndiyo mafanikio yao, waendelee tu.

Wana cdm nasi tutacheza karata zetu na mungu akitujalia chochote tutashukuru.
Kamanda umeandika kinyonge kweli....Japo hivi ndio inavyotakiwa kujiandaa kisaikolojia zaidi kuliko kuwa na mihemuko pale unapopata kile usichotarajia..
 
Fanyeni yenu na sisi cdm tutafanya yetu.. Period..
 
Kamanda umeandika kinyonge kweli....Japo hivi ndio inavyotakiwa kujiandaa kisaikolojia zaidi kuliko kuwa na mihemuko pale unapopata kile usichotarajia..
Hakuna namna, hii ndiyo hali halisi
 
Shida yangu na mshangao ni kutomuona m7, wala Kagame na Uhuru pale to taifa, kulikoni kada wa ccm? Ebu tujuze kidogo
Kamanda umeandika kinyonge kweli....Japo hivi ndio inavyotakiwa kujiandaa kisaikolojia zaidi kuliko kuwa na mihemuko pale unapopata kile usichotarajia..
 
Shida yangu na mshangao ni kutomuona m7, wala Kagame na Uhuru pale to taifa, kulikoni kada wa ccm? Ebu tujuze kidogo
Mimi sio kada wa Mbogamboga...Ila naamini janga la Corona ni sababu tosha.

Ndio maana hata mwakilishi wa Uhuru Kenyata toka Kenya amerudia angani Monduli akisingizia hali ya hewa.

Nadhani salamu za rambi rambi zinatosha Sana.
 
ACT wanamtaka Membe jomba, na ndio maana Zitto anapigana kwa nguvu zote kuwa na coalition ili mgombea wao aungwe mkono na wengine.
Ni bora kutoungana kuliko kuungana unless lissu ndo agombee
 
Sasa amerudia njiani wakati tayari kesha ingia tanzania, kanusa nini tena wakati tulisha fanya mpaka na tafrija ya kuiaga corona? [emoji23][emoji23]
Mimi sio kada wa Mbogamboga...Ila naamini janga la Corona ni sababu tosha.

Ndio maana hata mwakilishi wa Uhuru Kenyata toka Kenya amerudia angani Monduli akisingizia hali ya hewa.

Nadhani salamu za rambi rambi zinatosha Sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…