Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Mkuki kwa nguruwe sio??
Mwenyekiti CHADEMA anatia aibu,aje akanushe tuhuma zake sasa na yeye
Tundu lisu anacheza ngoma ambayo haijui,wanamtanguliza tu kichwa kichwa yeye hajui kama anajidhalilisha!
Ni ujinga mtu mwenye elimu kama ya tundu kupelekwa pelekwa na kujazwa uongo na mbowe...
Mbowe atoke atuachie chama chetu alishashindwa kabla hajaanza
Na Dr Slaa ajiangalie naona anapotea taratibu
Milya wewe ni bora ukae kimya kwakua wewe kwa ZZK ni mdogo sanaaaa kuliko kifaranga cha kuku,
Mtu hawezi kuonewa kisha akawachekea,tatizo lako umeshikiwa akil.... na hao madhalimu,yapo mengi yanakuja dhidi ya hawa matapeli kwa raia masikini wa tz,matapeli wanaojivisha ngozi ya kondoo kumbe ndani mbwa mwitu wakali,kwa sasa ukimya hautokuepo tena na ni lazima watz wafunguliwe masikio.
Hilo la kutoheshimu katiba ni matokeo ya ufisadi. Mtu akiwa fisadi usitegemee atafuata katiba, sheria na miongozo ya chamaNdani ya chama kunakitu kimekosekana, nacho ni kuheshimu katiba ya chama, na haya ndio matokeo yake.
sasa pesa za kampeni unachukua kwa wapinzani wako ivi iyo inakuingia akilini kweliMbowe hakuongwa bali alikuwa akichangisha hela za kampeni.....zitto ana tapata tapata....tu
Ahsate sana Mkuu japo sijapenda hilo jina ulilomwitaChanganya chadema wote, hawafikii robo ya uadilifu wa Mzee Wa Tembo wetu mhishimiwa Kinana, A.
Sasa kama wanashindana kupiga bingo ndaninya chama, je tukiwapa nchi si watagawana mpaka mapori yote tengefu, mbuga kama za selous na hifadhi za taifa zote zi watagawana?huko kuna ushindani wa nani anapiga bingo zaidi hakuna aliye safi
Sasa kama wanashindana kupiga bingo ndaninya chama, je tukiwapa nchi si watagawana mpaka mapori yote tengefu, mbuga kama za selous na hifadhi za taifa zote zi watagawana?
Hatutaacha kujadili chadma hasa katika kipindi hiki ambapo chama kinaongozwa namtu asiye na sifa hata kidogoTumieni huu mda vizuri kuijadili CDM. Kesho tu tukianza bunge la katiba mtasahaulika...
Mkuu, nakushukuru sana. Hakika hata sifa ya kuwa kampuni hawana kwa vile wanavuruga mpaka taratibu walizojiwekea. Labda wabadili jina na kijiita kikobachadema ni kampuni na si chama cha siasa, mara nyingi nimekua nikiwashauri wabadili usajili na kwenda brela bado wanakua wagumu kufanya hivyo, si sahihi kabisa kuipa kampuni ya watu binafsi nchi, ni hatari
Mkuu, nakushukuru sana. Hakika hata sifa ya kuwa kampuni hawana kwa vile wanavuruga mpaka taratibu walizojiwekea. Labda wabadili jina na kijiita kikoba
Naona pamoja na wajumbe kufungwa macho na fisadi Mbowe, sasa nadhani watafunguka na kumjadili kwa pesa ambazo amekuwa akipokea toka CCM, pia Dr. Slaa ambaye hata kadi ya CCM hajarudisha.
Tulishasema hawa ndo wasaliti wana wasingizia wengine, mengi tu yatakuja hapa. Hivi inakuwaje unamwomba Baba yako akupe hela umpelekee Mama yako halafu unamwambia Mama nakukopesha pesa hii na kweli Mama yako bila kujua anatafuta huku na kule anakulipa.
Jamani Mbowe uwe na hofu ya Mungu, utakufa vibaya sana. Pesa za Mkono kapewa yeye anakuja kuwakopesha CHADEMA, kwani alipewa zake binafsi au alipewa za Chama?
Hivi hiki chama kina akaunti kweli au inatumika ya Mbowe?
Nakushukuru sana mkuu. Hakika chama makini hakiwezi kuwa na viongozi wa aina ya dr slaa ambao wanafikia hata kuhalalisha gongojina LA " KIJIWE " Ndio best