mbna husemi mbowe,kuhongwa na rostam,,kweli wewe ni mchumia tumbo,mbulula tu.
 
Nimeshawahi kusema hapa nikaishia kushambuliwa nakutulizwa lakini leo nitasema tena CCM na CHADEMA ni watu wenye tabia sawa. Kiukweli ninaanza kuamini labda ndiyo tabia zetu Watanzania.
 
hata nafsi haikusuti kuandika kitu ambacho hakina nyuma wala mbele...chadema wangekuwa wachafu ccm mngekaa kimya.Tafuteni hoja za msingi si kuibuka tu na porojo porojo
 
Kadima ni genge la wezi
Mkuu, yaani chama hiki kila anayepata mpenyo wa kuongoza anawaza kufilisi chama tu. ndo maana hakina maendeleo licha ya misaada mingi kupata
 
Nimeshawahi kusema hapa nikaishia kushambuliwa nakutulizwa lakini leo nitasema tena CCM na CHADEMA ni watu wenye tabia sawa. Kiukweli ninaanza kuamini labda ndiyo tabia zetu Watanzania.
Wewe una uraia wa nchi gani? Kwa nini pia unapenda kufananisha chama cha siasa na SACCOS?
 
wale wale tu siasa za bongo wote njaa kali wala rushwa wakubwa mnatukamua michango kumbe mnahongwa na ccm mtaimba wimbo gani 2015 ufisadi na nyinyi ni mafisadi
 

Jinsi yule miguu juu chembamba alivyokomalia issue ya kamanda Mbowe nahisi ana wivu wa kike sana as if alitaka yeye ndo apelekwe Dubai!Hii CDM hawahitaji awaambie waliberali cuf watampeleka tu Dubai anyolewe na midevu

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Mbowe utapeli kaanzia bot hafai kuwa karibu nafedha au mamlaka make huyatumia vibaya haya ndiyo matokeo yake.
 
Hakuna rangi hatutoiona.
Kumbe kweli bora thithiemu wana adabu na wakubwa wao.
 
tuhuma za usalit dhid ya zzk zimeanza muda mrefu tangia pale alpopata lift kwnye ndege ya rais toka nairob wakat sakata la buzwag linapoa,weng walmtiria mashaka ilikuwa apate lift kilahs wakat rais anatok ughaibun akapitia kenya?nan alimuunganishia?pia alipopewa nafas ktk kamat ya boman ya kupitia upya mikataba ya madin,mara akaanza urafk na karamag,rostam,gafla akawa mtetez wa dowans apa wenye akil wakajua kaz kwisha huyu sio zitto wa skandal ya buzwag alietikisa serkal na bunge,hii n copy.
 
nyie hamuelewi.njaa mbaya.zitto njaa kasaliti chadema na kutukana viongozi.fukuza tu.ye nani?????vijana watalinda nvhi wapo wengi.njaaaa vihela kidogo umaarufu anataka uraisi.atauza nchi weka nje ata kama kwa hasara.zito msaliti.ingekua n.korea.....
 
Imekuangusha wewe gamba. Makamanda full shangweeee!!

ntake radhi bwana kwa kunihusisha na MAGAMBA, heri uni-associate na Mavi kuliko na hao watu!
Kinachowatafuna watanzania wengi na wewe ukiwa mmoja wao ni kuwa na uwezo mdogo wa kufikiri na kushadadia maneno ya vijiweni! Soma hoja za pande zote mbili na jaribu kuzichanganua kwa kina hii inaweza kukupa mwanga zaidi!! "Stop shouting blindly"
 
Inaonesha ni jinsi gani, hufikirii kujibu kilicho andikwa na badala yake unakimbilia kushambulia mtu. Kwa mtindo huu hakuna kinacho jengwa.

Usajili Mpya Lumumba B7FC!
Huyu ndiye kasajiliwa leo kujaza nafasi iliyo achwa wazi na Le mutuz au?Aahahahahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…