Zitto aanika siri nyeti za Mbowe! Adai hatakufa kama Chacha Wangwe
Hilo halikusafishi mhe Zitto nenda kaanzishe chama chako nawe ufaidi kama wamuonea wivu mbowe, maneno ya mkosaji hayo na mfa maji
 
naona zitto anazidi kuingia chaka.wangwana tunajiuliza wakati hayo yote yanafanyika yeye zitto alikuwa ni mwanachama wa chama gani?na alikuwa ktk wadhifa gani kichama ?.iweje abwabwaje leo?.this is utter nonsanse,too damn late.
 
''Mimi nimekuwa nikisimamia ukweli, mtu anapotuhumiwa ni lazima ajibu tuhuma hizo. Ni utoto kuacha kujibu tuhuma na kuzusha tuhuma nyingine. Anapaswa kufanya utetezi wa tuhuma zinazoelekezwa kwake.''
 
Kuleta tuhuma mpya na kuhalalisha kuwa zako ni za kweli ni kukiri hufai kabisa na kwamba hutaki kuondolewa peke yako which is the fact, you must go! Pia umethibitisha Mbowe alipokea hela ikatumiwa na chama we umepokea kwa ajili ya kuisaliti CDM na watz na kuanza kujijenga kwa maslahi yako sasa kimenuka be wise otherwise unaendelea kujimaliza kaka!

na ile ya kuchukua hela ili asifanye kampeni musoma vijijini ni kusaidia chama au usaliti
 
Huu ndio muda uliopangwa. Tutasikia mengi maana yote tufanyayo gizani yatadhihiri ndio ukombozi utatokea.
 
mbowe naye ajibu tuhuma zake,kama kweli amekuwa akichukua hella za ccm apigwe chini kwa speed ya ajabu.

Kakwambia kuchukua pesa CCM wakati unapambana na CCM sio tatizo,hivyo vifaranga wote waache unoko,pesa ni sabuni ya roho haijarishi imetoka kwa nani,ipokee tu...
 
Hii kauli ya Mbowe kusema "Kupewa pesa na Kikwete
au CCM si tatizo lakini unapewa pesa kwa
sababu zipi, kwa malengo gani?".
Katika kampeni nyingi za uchaguzi wa Serikali Za Mitaa na hata Mkuu,mara nyingi viongozi wa ChaDeMa wa ngazi zote hupenda kuwahimiza wananchi wasikatae pesa za hongo lakini kura wapeleke ChaDeMa,ni kitu cha kawaida sana na sio akili kuliweka kipropaganda bila ya kuangalia pande zote bila kuegemea upande fulani.we better be freethinkers wana-jamii#
 
Chadema kwa Mipasho bwana, chek hii ya Mohamed Mtoi kwa Dr. Kitila Mkumbo

Mohamedi Mtoiposted toKitila Mkumbo

6 hours ago


MJUMBE HAUWAWI.....

Naomba nisaidie kumfikishia ujumbe huu ndugu yangu katika imani Bwana "Zitto Zuberi kabwe"

Ujumbe wenyewe uko hapo chini huku nikitambua kuwa unakumbuka vizuri Swot analysis uliyomfanyia wewe na Mwigamba kwenye Sehemu ya "Udhaifu wa Tunaye mtaka" kipengele "C' na "G"

"Kwa kuwa kwenye majibu yako sehemu fulani uliamua kuongelea masuala binafsi, naomba kukumbusha kutoka kwenye mkakati wenu (Mkakati wa mabadiliko 2013) kipengele C cha sehemu ya Udhaifu wa tunayemtaka, kipengele hicho kinasema Hali ya ndoa ya tunayemtaka kutoeleweka msimamo wake na katika mkakati huohuo kipengele g kwenye uchambuzi wenu, wenzako wakasema tena .Kuna mambo ambayo ni haki ya mtu mfano mahusiano binafsi ya kimapenzi, kuwa na marafiki wa damu kutoka upande mwingine wa utawala nk

Kwa kufuata msingi wa kipengele g kuwa mapenzi na mahusiano ni mambo binafsi, naomba nami niache kujalidili hili kama wewe ulivyo lijadili kwa mwenyekiti wako aliye ku-groom na kuchangia sehemu kubwa ya wewe kufika hapo ulipofika kisiasa, kwa kuwa kujadili itakuwa ni kujadili mambo binafsi.

Ila kwa umuhimu wa kipekee wa kutokulijadili mambo binafsi, naomba pia nikunipe fursa ya kumkumbuka Amina Chifupa na Mohamedi Mpakanjia ambao wote ni marehemu (RIP) pamoja na wahanga wengine".


cc Kitwange, #Ritz , Mohamedi Mtoi
Huyo kifaranga tu mganga njaa watu wanamtaka mama yake Mohamedi Mtoi kajichokea anaishi kwa kupandisha bendera na kufunga spika kwenye mikutano na kutumwa kwa Josephine na yule mwanamke aliyekuwa na Mbowe Dubai.
 
Last edited by a moderator:
HAYA NDIO MANENO YA MWENYEKITI WA CHADEMA AKIJITETEA KUHUSU TUHUMA ZA KUPOKEA HELA ZA RUSHWA KUTOKA KWA ROSTAM NA MKONO NASEMA HIVI SIAMINI MANENO YA ZITTO LAKINI SIAMINI HUU UTETEZI KUWA UNATOSHA KUJISAFISHA KWA MWENYEKITI PLEASE COME CLEAN MR. CHAIRMAN!!

ni mahakama tu inaweza kukusafisha. william hebu muulize mwenzio zitto kwanini kule fb alipost baadaye akaedit kama kweli alikuwa na uhakika?
 
Bora ya Mbowe aliyekuwa hata na mke kuliko Zitto una watoto 4 wa nje wote kila mmoja na mama yake ....kaa kimya bwana mdogo...we nakukumbuka sana ulivomtuma mhudumu pale double tree aje kuomba namba ya simu ya mke wangu na 300,000/= ukampa...form that day nilikudaharau sana ....
 
kimsingi wote zitto na mbowe wanatoa majibu mepesi,..
 
Nimeamini maneno ya CDM kuwa saccos ya baadhi ya watu.... kimenuka..

Kwani tatizo nini wewe hujawai kuchangia harusi ya mwana cdm.kipindi cha uchaguzi taasisi inaweza kupokea michango mbalimbali kikubwa hiyo michango inafika sehemu husika
 
Back
Top Bottom