Hilo halikusafishi mhe Zitto nenda kaanzishe chama chako nawe ufaidi kama wamuonea wivu mbowe, maneno ya mkosaji hayo na mfa maji
 
Tabia za kipumbavu, watu wazima Kusutana!
 
naona zitto anazidi kuingia chaka.wangwana tunajiuliza wakati hayo yote yanafanyika yeye zitto alikuwa ni mwanachama wa chama gani?na alikuwa ktk wadhifa gani kichama ?.iweje abwabwaje leo?.this is utter nonsanse,too damn late.
 
''Mimi nimekuwa nikisimamia ukweli, mtu anapotuhumiwa ni lazima ajibu tuhuma hizo. Ni utoto kuacha kujibu tuhuma na kuzusha tuhuma nyingine. Anapaswa kufanya utetezi wa tuhuma zinazoelekezwa kwake.''
 

na ile ya kuchukua hela ili asifanye kampeni musoma vijijini ni kusaidia chama au usaliti
 
Huu ndio muda uliopangwa. Tutasikia mengi maana yote tufanyayo gizani yatadhihiri ndio ukombozi utatokea.
 
mbowe naye ajibu tuhuma zake,kama kweli amekuwa akichukua hella za ccm apigwe chini kwa speed ya ajabu.

Kakwambia kuchukua pesa CCM wakati unapambana na CCM sio tatizo,hivyo vifaranga wote waache unoko,pesa ni sabuni ya roho haijarishi imetoka kwa nani,ipokee tu...
 
Hii kauli ya Mbowe kusema "Kupewa pesa na Kikwete
au CCM si tatizo lakini unapewa pesa kwa
sababu zipi, kwa malengo gani?".
Katika kampeni nyingi za uchaguzi wa Serikali Za Mitaa na hata Mkuu,mara nyingi viongozi wa ChaDeMa wa ngazi zote hupenda kuwahimiza wananchi wasikatae pesa za hongo lakini kura wapeleke ChaDeMa,ni kitu cha kawaida sana na sio akili kuliweka kipropaganda bila ya kuangalia pande zote bila kuegemea upande fulani.we better be freethinkers wana-jamii#
 
Huyo kifaranga tu mganga njaa watu wanamtaka mama yake Mohamedi Mtoi kajichokea anaishi kwa kupandisha bendera na kufunga spika kwenye mikutano na kutumwa kwa Josephine na yule mwanamke aliyekuwa na Mbowe Dubai.
 
Last edited by a moderator:

ni mahakama tu inaweza kukusafisha. william hebu muulize mwenzio zitto kwanini kule fb alipost baadaye akaedit kama kweli alikuwa na uhakika?
 
Bora ya Mbowe aliyekuwa hata na mke kuliko Zitto una watoto 4 wa nje wote kila mmoja na mama yake ....kaa kimya bwana mdogo...we nakukumbuka sana ulivomtuma mhudumu pale double tree aje kuomba namba ya simu ya mke wangu na 300,000/= ukampa...form that day nilikudaharau sana ....
 
kimsingi wote zitto na mbowe wanatoa majibu mepesi,..
 
Nimeamini maneno ya CDM kuwa saccos ya baadhi ya watu.... kimenuka..

Kwani tatizo nini wewe hujawai kuchangia harusi ya mwana cdm.kipindi cha uchaguzi taasisi inaweza kupokea michango mbalimbali kikubwa hiyo michango inafika sehemu husika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…