Mbowe wala hahitaji kuchukua pesa ndogo ya chama kwani pesa anayo na ndio imejenga chama hadi sasa mnatamani kuwa viongozi. Nendeni mkaanzishe vyama vyenu mvijenge ili watu wavitamani. Kwahili imekekula kwenu.

Stupid!
 

Don't be biased Mbona wao hawakusema tokea mwanzo mpaka waje kusema sasa?
 
Huna tofauti na Zitto..ni wale wale mnatuharibia mageuzi ya siasa kwa usaliti wenu
 


Wameshakufa tayari hao,hapa tugange mengine tuh,
Dr.W.Slaa ndio kabisa zaid hata ya mbowe,huyo mzee laana ya mungu inamtafuna sana,

Si unaoana sasa anahubiri GONGO MAJUKWAANI??

LAANA YA MUNGU HAIFAI,SLAA KAMUASI MUNGU WAKE DUNIA ATAIWEZEA WAPI??
 
Last edited by a moderator:

Zitto angekuwa na nia njema kwa chama, kashfa hizi zingefahamika mapema na maamuzi kuchukuliwa. Vinginevyo sasa inakuwa dhahiri kuwa anafanya siasa forpersonal interests. Hiki anachojaribu kufanya ni blackmail, lakini kwa sasa ni too late. Hatutaki fujo.
 


Wameshakufa tayari hao,hapa tugange mengine tuh,
Dr.W.Slaa ndio kabisa zaid hata ya mbowe,huyo mzee laana ya mungu inamtafuna sana,

Si unaoana sasa anahubiri GONGO MAJUKWAANI??

LAANA YA MUNGU HAIFAI,SLAA KAMUASI MUNGU WAKE DUNIA ATAIWEZEA WAPI??
 
Last edited by a moderator:
Kweli Zito ni mbumbumbu! hivi haya ni mambo ya kuweka wazi na je ushahidi wa malipo hayo anayo? Mh! sipati picha!
 
Ccm & chadema

ni mama mmoja baba mmoja,wote ni mafisadi tuh shenz kabisa hawa,,tofauti yao ni kwamba mmoja ana dola na mwingine anaitaman hiyo dola,

ila chadema ni mbaya zaid kwani ukiachilia mbali na ufisadi bali pia kuna kirusi kibaya sana cha ukanda,udini na ukabila,,

kwaiyo haifai,na tuhakikishe inakufa na kuzikwa moja kwa moja kabla ya 2014 hii mwishoni,,shime hili linawezekana
 
Those are political games which CCM always win to make mess to the opposition parties, Just ni Historia inajirudia kwa different style
 
babu ndio kama shetani, kaacha kufanya upadri kwa uaminifu. Ataweza kuwatumikia wananchi kwa uaminifu?
2010 mlituchota mawazo ila 2015 haiwezekani, kila uovu wa chadema uko hadharani.

nafikiri ingekuwa vyema sana kama id yako ingebadilika na kuwa chooni badala ya msalani, mwanaume majungu utafikiri khadija kopa?
 

Inaelekea Zitto hakuwahi kusikia, au kama alisikia hakuelewa maana ya usemi 'kula CCM - lala (piga kura) CHADEMA'. Wenziwe wamekula CCM mchana, lakini jioni wamelala CHADEMA. Yeye Zitto kala na kulala huko huko CCM, sasa CCM wamemwachia kazi ya kuosha vyombo! They (CCM) have completetly humiliated this young man, and to make matters worse, wameamua kupaza sauti za kumshangilia kila anakopita. Sad!

Mbowe, hata kama ni kweli kapokea pesa na kuzila bado anaendelea kuwatimulia vumbi CCM na chopa. Wajinga ndio waliwao, kijana.
 


Naona wengine mmeishiwa nguvu kabisa mmebakia kulia na kusaga meno tuh,

ZUBERI KABWE KIBOKO YAO,A.K.A GOGO LA UDII,,MZEE WA LEKATUTIGITEE,,,

WASALIMIEN TENGERU KWA LILE ZEE LENYE MAKENGEZA
 
Kuna kipindi huwa nakata tamaa kabisa na hali ya siasa Tz..
Yani kama Maigizo Aaah..
🙁
Pamoja na kwamba natamani dogo apewe one more chance lakini naungana na wewe alikuwa wapi siku zote kusema hayo aliyosema kama ni kweli maana mnapokuwa marafiki mlivumiliana kwenye madhaifu flani flani lakini once mkitofautiana tu mnaanza kuibua yale yote yaliyojificha kipindi kile mlipokuwa mpo vizuri, sidhani kama ni utamaduni mzuri huu kama mlivumiliana siku za nyuma basi ni busara kuendelea kuvumiliana pindi mnapotofautiana
 
Nahisi huyu zitto ni katika kujitetea kwake anatoa maneno kibao!angekua mwanaharakati mda wote huo asinge ya acha bali angesema mapema kuokoa chama na.nchi kwann asubirie mpaka yake yasemwe??
 
Naamini pasipo shaka kuwa ZZK ana utoto mwingi sana. Kwa hiyo kama ni kweli Mbowe alifanya hayo yeye aliona ni sahihi kumwiga? Huu ni utoto uliopindukia. Bsdala ya kusahihisha kosa kama ni kweli analeta mchezo wa kitoto kabisa. Duh! I am so shocked. Sikujua kama ZZK mwisho wa akili zake ni hapo. Too sad.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…