Zitto aanika siri nyeti za Mbowe! Adai hatakufa kama Chacha Wangwe
Kakwambia kuchukua pesa CCM wakati unapambana na CCM sio tatizo,hivyo vifaranga wote waache unoko,pesa ni sabuni ya roho haijarishi imetoka kwa nani,ipokee tu...

dah!mzalendo na mwanaharakati wa kweli wewe!!.........maskini Tanzania!!

Hiyo sio kanuni yangu, ni ya Mwenyekiti Freeman Aikael Mbowe.
 
Ajidhaniaye amesimama na aangalie asianguke! ZZK ni bora angekaa kimya akubari matokeo. kwa hicho alichokiandika,anazidi kujiharibia haiba yake kwa jamii.kama kwa muda wote wote mambo yalipokuwa shwari alinyamazia maovu ya ndani ya chama chake, kwa sasa hana tena ushawishi kwa jamii ya kutetea mali za umma. siasa za bongo bana!
 
Kwa hiyo yeye mnyonge wake ni Mbowe?
Maana kama ni tuhuma, aliyezitoa ni Tundu Lissu, lakini yeye kamrukia Mbowe.
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Wameshakufa tayari hao,hapa tugange mengine tuh,
Dr.W.Slaa ndio kabisa zaid hata ya mbowe,huyo mzee laana ya mungu inamtafuna sana,

Si unaoana sasa anahubiri GONGO MAJUKWAANI??

LAANA YA MUNGU HAIFAI,SLAA KAMUASI MUNGU WAKE DUNIA ATAIWEZEA WAPI??

Mzee wa Gesi nyuma ya keyboard?! Una kazi sana mwaka huu! Tokea uonje mvinyo wa watalawa naona mabandiko mazuri tu humu! Kweli pesa sabuni ya roho!!
 
Wana JF naomba muelewe sasa kile alichokisema Zitto Kabwe Zuberi kutaka ukaguzi wa hesabu za vyama zifanywe na CAG na kuwasilishwa kwa msajili wa vyama ni kwanini? pesa hizo alizopewa mwenyekiti toka kwa Mkono ni dhahiri kuwa alitaka zionekane ndani ya hesabu na matumizi ya chama, sasa pesa hizo aliye na taarifa nazo ni Zitto Kabwe maana hazikutolewa hadharani (officially) mbele ya wanachama wote, na endapo zilitolewa hadharani chama kikanushe hilo, sasa zimepotea jamaa kaumia sana, ebu nikuulize kama ww umewahi fanya kazi ofisi yoyote ile ya mashirika ya umma au serikalini, je umewahi kumuona mkuu wako akipokea pesa za ofisi kama msaada kwa ajili ya matumizi ya ofisi au mradi halafu mkahitaji pesa za matumizi kwenye kitengo chenu mkaambiwa hakuna budget au mkuu wenu akawaambia nitaiazima ofisi mtanirudishia badae, pesa alizotoa mfadhili hazikuingizwa kwenye vitabu au hazionekani kwenye vitabu vya mahesabu au kumbukumbu au benki? sasa jaribu kuchomekea kuwa mkuu wako anapesa ambazo zitakazo wasaidia kwenye budget ukizingatia kuwa mkuu wako hakutaka mtu yeyote kuwa na taarifa ya fedha hizo kasha zificha, kwenye akaunti yake binafsi maana anafahamu hakuna mtu aliyekuwepo alipo pokea fedha hizo, hapo inakuaje? Binafsi yamewahi nikuta na mkuu wangu alicho kifanya ni kutafuta mbinu za kusitisha mkataba wangu haraka iwezekanavyo maana nimeingia kwenye anga zisizo nihusu na ninataka kumuharibia kazi. sasa ndivyo ilivyo CHADEMA wawe tu wawazi kutueleza ni ngapi walipokea kwa Mkono na walizitumiaje hamna neno tutaamini taarifa ya matumizi.
 
siasa mbaya aisee, hawa jamaa huwa wanahutubia mishipa imewatoka,oh tunataka kuwakomboa watz,mara oh kamanda wa anga na watu tunawaamini, kumbe wanapokea mihela kibao nyuma ya pazia
 
Namuona kwa mbaaali mtesi wa Ulimboka akijandaa kufanya makamuzi yake siku si nyingi.
 
CHACHA DIED, I WON'T

Hichi ndio kitu cha msingi kujadili ili kujua hizi tuhuma zote anazotoa ndugu ZZK ni za kweli au?

Kwa kauli hiyo ya Wangwe kua alikufa ZZK anataka kutuambia ni nani alikua nyuma ya mauaji hayo? Ni Mbowe na Cdm au ni nani?

Tujadili kwanza Hilo ili kuweza kupata ukweli Wa kauli za ZZK. Zaidi ya hapo itakua ni mipasho tu!
 
point yako ilikua na mashiko enz zile hatjagundua uSALITI wake lakini kwa sasa sdhani kama tutakuwa na nafasi ata kusoma unafiki wake kt mtandao,

mlodai zito kwanza omben mahakama iendee kumlinda o.wise jana naye alikuwa ametimuliwa rasmi, chezea chadema wewe, hatulei pimbi ata wawe ni wa mwandiga
nadhani pimbi ni yule asiyetaka kufuatilia tuhuma za viongozi wake na kuamini ni malaika wasiokosea,sema lolote kuhusu tuhuma za aibu za Mbowe
 
Kwetu sisi mkigombana vile ni faida
2015 triiiiiiiiii.................... Bila kunyonga
 
Mbowe alikuwa na matatizo makubwa sana ya pesa kwenye miradi yake mwanzoni mwa miaka ya 2000. Ndio maana hata deni la NSSF lilikuwa linamsumbua. Mambo mengi yametulia baada ya kuwa mwenyekiti wa CHADEMA.

By maremboMbowe wala hahitaji kuchukua pesa ndogo ya chama kwani pesa anayo na ndio imejenga chama hadi sasa mnatamani kuwa viongozi. Nendeni mkaanzishe vyama vyenu mvijenge ili watu wavitamani. Kwahili imekekula kwenu.
 
Zitto alifunga ndoa na nani mpaka ajue maadili ya ndoa... kweli ukiishiwa unakua domo kaya, kuropoka hovyo... maisha ya mtu binafsi yanahusu nini kwenye siasi.

Mtu ambaye hamuheshimu mke wake aliyemzalia watoto,hawezi kumnyooshea kidole mtu mwengine kuhusu maadili..."ZZK"
 
si kila unachokijua uongee muda huo huo. kila kitu kina muda wake wa kukiongea. ZZK ni jembe, YUPO SAHIHI
 
Tulianza na Mungu a tutamaiza na Mungu. Kumbe pembeni ni majambazi.
siasa mbaya aisee, hawa jamaa huwa wanahutubia mishipa imewatoka,oh tunataka kuwakomboa watz,mara oh kamanda wa anga na watu tunawaamini, kumbe wanapokea mihela kibao nyuma ya pazia
 
Nimejaribu kuchanganua hizi tuhuma za ZZK nikagundua kuwa kipindi anapewa hizi gari mbili ambazo ameshindwa kukanusha huenda Mzee Mkono alimwambia either kwa kumfanya asiwe mwoga kuzipokea kuwa akina Bwn Mbowe amewapa 1,2,3.....kama alivyoweza kutaja hapo juu.
 
Mtanzania mwenzangu Zitto Kabwe, umekuwa very reactive. Be cautious and control your emotions. Unaanza kuexpose your weakest side.

Unarejea matukio ya 2005 leo 2014, ulikuwa wapi? Unatuaminisha umenyamazia mangapi ktk taifa hili? On every action theres equal and opposite reaction. DID U?

WAMEMWAGA UGALI? Unamwaga mboga wakati wenzio weshashiba??!!

busara ni kumjadili kwanza Zitto thereafter tuje kwa mhe Mbowe
 
Kifo ni kibaya sana jamani...Zitto anaonyesha dalili zote za kuelekea kuzimu!
Sasa hivi ataongea kila analojua akidhani itasaidia kumwokoa, too bad it is late this time.

Nazi mbovu harabu ya nzima
 
Zitto

Inawezekana umetoa ya moyoni ya kweli ila ukweli ni kwamba hakuna mtu atakae kuamini teeeena na huo ndio mwisho wako. Sababu kubwa ni kuwa huaminiki.
 
Last edited by a moderator:
Hivi Zitto huna washauri????!!!!Silence is a good weapon bro.Jipange,usitake kuonesha misuri,wengi wanakupotosha kwa kudhani unaungwa mkono na wengi,lakini wanaishia kukupotosha tu.Dont seek public mercy.Bahati mbaya sana,hakuna binadamu yeyote duniani aliyejaliwa kusahau kama mtanganyika(hii ni kwa hisani ya katiba mpya).Bado unazo ndoto nyingi,bado ni kijana tena mwenye akili nzuri,haya yoooooooooote,unayazungumza,lakini hata mwenyewe unasihia kujituhumu,ni kwa faida ya nani????!!!.Mimi ningekuelewa kama ungewaita waandishi wa habari na kuwaleleza kwamba unaomba msamaha ya kwamba ulishirikinana na Mwenyekiti wako kuchukua mafungu kwa Mkono,na wewe ukafaidi magari.That would have sounded well.Think green Bro!

yaaani mambo yameharibika ndo unasema hayo zzk, daah siasa zako bro
 
AMA KWELI FADHILI MBUZI UTAMLA NYAMA.............

Nampa pole sana Mh Freeman Mbowe, mwenyekiti wa Chadema Taifa kwa kutukanwa na kukosewa adabu na kijana mdogo, Msaliti Zitto Kabwe, ambaye leo mafanikio yake yametokana na yeye Mh Mbowe, lakini kasahau na kaamua kukutuna ati wewe ndo kamati kuu!

vile vile nimpe pole Mh Tundu Lissu Mbunge wa Singida mashariki na Mwanasheria wa chama, kwa kuitwa Kifaranga na huyu kijana ----- asiye na Adabu, we mpuuuze kwani leo amewadhihirishia watanzania kuwa hafai hata kuwa Balozi wa nyumba kumi......

Zitto Z Kabwe mpaka sasa hujakanusha tuhuma za kweli kabisa kwamba ulihongwa Magari mawili na Mh mkono iliusimsimamishe mgombea Msoma Vijijini, badala yake uliishia kujitoa ufahamu na kuwatukana Viongozi mtandaoni kuonyesha ulivyofilisika mawazo kama si kufilisika hoja!

Zitto Kabwe amejitoa ufahamu na kudai eti mtu asiyemuheshimu mke wake aliyewazalia watoto wake hawezi kumfundisha mtu maadili.......
Zitto, kabla ujanyoosha kidole kwa mwenzako embu jaribu kujitazama wewe mpaka leo una umri miaka 37 umeshindwa kuoa, na kinacho kusumbua ni uzinzi, embu kumbuka April tukio la aibu ulilolifanya pale Mount Meru Arusha, baada ya kunywa KONYAGI, mbona sisi hatusemi..........

Si jambo jema kujadili misha ya Binafsi ya Kiongozi, kwani hakuna aliye mkamilifu Chini ya Jua.......

SI VEMA MAAMUZI YA KAMATI KUU KUMBEBESHA MH MBOWE NA LISSU PEKE YAO..

Alifanya nini mkuu?tiririkaaaaaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom