Zitto aanika siri nyeti za Mbowe! Adai hatakufa kama Chacha Wangwe
Hizi tuhuma zimeshaletwa mtandaoni mara nyingi tu kupitia Zitto mwenyewe au vibaraka wake kama kina Mchange kwenye ID zao tofautitofauti, nashangaa watu mnashangaa mateke ya mwisho ya huyu marehemu.
 
mbowe mchaga anaifanya chadema kama saccos ya baba ake mbowe ni fisadi mwizi
 
Mmhh kweli mwanangu kuwa uyaone! Mimi nisaidieni jamani,hivi tundu lissu ndio ameh adithiwa Jana kwamba Zitto alipewa gari 2? Na Zitto ndo amejua Jana kwamba hiyo mihela mboe alipewa na mkono?
 
Wakuu, inasemekana Zitto Kabwe ali-post facebook hii kitu halafu aka-edit later.

Original post:

Revised Post:


Kutoka Gazeti la Raia Tanzania
MOSES MACHALI.
"Hayo hapo chini ndiyo maneno aliyoyasema kupitia mtandao wa kijamii, jisomee ujue anachokisema na majibu ujipe mwenyewe>>>>"

Moses Machali
Kuna watu wanazungumzia nidhamu na kwamba ili mtu uweze kufanikiwa maisha ni lazima uwe na nidhamu. Nami nakubaliana na kauli hiyo, lakini tunapaswa kujiuliza ni nidhamu ya aina gani?

Inawezekana mtu akasema ZITTO hana nidhamu kwa chama chake lakini ikawa ni kinyume chake. Hii ni kwa sababu hana nguvu za kufanya maamuzi ndani ya chama na kwa hiyo akawa anatakiwa kutii mambo ambayo yako kinyume cha utaratibu wa chama chake lakini kwa kuwa yanatolewa na kusimamiwa na watu wenye nguvu basi akipinga anaonekana hana nidhamu. Binafsi niseme moja tu kwamba, wakati mwingine sisi wanasiasa tunakurupuka na kukosea.

Katika sakata la zitto na CDM nadhani pande zote zinaweza kuwa na makosa kwa kuwa hadi mambo yamefikia hapo yalipofika ni kwa sababu kumekosekana collective responsibilty na imekosekana pia nidhamu ya kiuongozi inavyoonekana kwa kuwa hata akina Mbowe; Dr. SLAA na wengine siyo malaika wakati mwingine nao hukosea tena sana.

Na kwa hiyo napingana na wale wote wanaosema mkosefu ni Zitto tu la hasha ni uonevu kwa upande mmoja.

Lakini pia napingana na wale wote wanaosema Zitto anaonewa tu la hasha inawezekana kweli kukawa kuna makosa tofauti na historia tunayoifahamu wachache. Ngoja niwakumbushe kidogo wana jamvi: Mwaka 2009 wakati wa uchaguzi ndani ya CDM uliibuka mgogoro kati kundi la Mbowe na kundi la Zitto ambapo wazee wa chama wakamtaka Zitto aache kugombea uenyekiti wa chama kwa kuwa yeye ni kijana bado ana muda mwingi na kwamba anaweza kugombea wakati mwingine na kwa hiyo amwachie mbowe kwanza akiongoze chama.

Finally Zitto alijiondoa kwa shingo upande yaani pasipo kupenda na wafuasi wengine wa Zitto wakakutana na majanga mazito ndani ya CDM na wakaamua kuondoka CDM wakaitwa majina ya kwamba wao ni sisimizi nk; wakati mwingine wakaitwa Wasaliti na watu wenye njaa nk. Waliopatwa na kadhia hiyo baadhi ni hawa wafuatao: mhe. david KAFULILA(MB), MARTINE DANDA kutoka Iringa.

Wengine ni akina Mhe. Mkosamali(mb) pamoja nami Machali(mb) na baadaye kabisa waliondoka akina Mama Msole nwengineo. Wapo wadau wasemao kwamba huenda mgogoro uliopo hivi sasa unatokana na kile kilichotokea 2009 kwa kuwa CDM walipaswa kufanya uchaguzi lakini wakaahirisha kwa kile kinachosema kwamba watamwambia nini Mhe. Zitto mwaka huu katika kugombea Uenyekiti wa chama kama ilivyo dhamira yake ya siku nyingi ya kukiongoza CDM.

INASEMEKANA kwamba baadhi ya viongozi wa CDM wenye nguvu ndani ya chama wametafakari ni namna gani Zitto hapenyi katika kinyanganyiro cha uchaguzi ikaonekana ni ngumu sana na kwamba inabidi kuangalia namna ya kufanya na huenda ndiyo haya tunayoyaona sasa. Aidha Ikumbukwe kuwa kuna nyakati vyombo vya habari vilimnukuu Mhe. Mbowe akisema kwamba Dr. Slaa ndiye atakaechukua fomu za kugombea Urais na kwamba yeye hatagombea tena(Mbowe), Lakini Zitto amekuwa akitangaza nia ya kugombea Urais anakutana na vikwazo au mikwara mingi kutoka kwa baadhi ya viongozi na wanachama wa CDM. Na baadhi ya vyombo vya habari vilipata kumnukuu Mzee Mtei akimshauri Mhe. Zitto kuachana na masuala ya kutangaza nia ya kuombea urais kwamba ni kusababisha fujo au vurugu ndani ya CDM na kwamba atulie hadi wakati ukifika.

Tujiulize mimi na wewe, inakuaje Zitto akitangaza nia iwe kosa lakini Mbowe akitangaza nia iwe ni sawa wakati kwa mujibu wa katiba ya CDM kuna mamlaka inayotakiwa kumtangaza mgombea urais ni nani lakini pia sidhani kama kuna mahala katiba ya CDM inakataza Mwanachama wake kutangaza nia ya kugombea nafasi fulani kama vile urais.

Kama kuna kipengele hicho CDM wanapaswa kukionesha ili kuondoa mashaka yaliyopo juu ya kwamba wanamuonea Mhe. Zitto. Hata hivyo wapo wanachama wengi wametangaza nia kugombea Ubunge ndani ya CDM mwaka 2015 kama ilivyokuwa kwetu sisi kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2010; tulitangaza nia sana tu; wote akina Wenje, akina HAINESS KIWIA na wengine na hawakuelezwa kwamba wanaleta fujo ndani ya CDM.

Ndugu zangu ndiyo maana ninakuwa na mashaka wakati mwingine kwa kusema kwamba huenda kweli Mhe. Zitto akawa anaonewa kama anavyosema, mtazamo huu unatokana na records hizo za nyuma. CDM wajitokeze kufafanua hoja hizo ili nasi makomredi wao kimkakakti tuweze ku clear dout. Inawezekana baadhi wakaja na maneno maneno yaliyozoeleka kwamba nimetumwa na Zitto nk.
La hasha ni utashi wangu tu kutokana na uzoefu wangu katika siasa za CDM na sasa niko NCCR-Mageuzi. Uzoefu wangu usibezwe kwa kuwa ninayo
Email This
BlogThis!
Share to Twitter
Share to Facebook
at 1/05/2014 03:10:00 AM
 
chadema hawana jipya saiz manake naona wanabomoana wao kwa wao ni ishara ya ulafi wa madaraka na ubinafsi hawafai kupewa nchi wakatafute kazi nyingine ya kufanya
 
Mfa maji hakosi kutapatapa, kisheria maneno yote yanayotolewa na mtuhumiwa baada ya hukumu, hayana nguvu kisheria. Zitto alikuwa wapi muda wote na info hizi? Zitto kajipange upya
 
Kwa mujibu wa dini ya kiislamu Zitto ni mzinzi na amezaa mtoto kwa uzinzi na anaendelea kuzini kuoa hataki. Huyu siyo bure iko tatizo.
kwaiyo dr slaa anaruhusiwa na dini yake kuzaa nje
 
naona porojo bado zinaendendelea wakati watu wanakufa njaa, mnatutambia mamilioni ayo.
 
Tatizo la zito ni umaskini.
Ni kweli zito ni maskini ndiyo maana anauchungu na maisha ya watu vipi huyo fisadi mbowe pamoja na ufisadi na mali zote mpaka dubai ameshindwa kujua thamani ya watu.
 
Kwa hiyo yeye mnyonge wake ni Mbowe?
Maana kama ni tuhuma, aliyezitoa ni Tundu Lissu, lakini yeye kamrukia Mbowe.

lisu ni kifaranga tu hamna analojua.zito hawezi kuongea na mbwa tundu lisu anaongea na mwenye mbwa mbowe
 
... Mbowe atoke kukanusha au tuziamini.
Majibu ya Mbowe

Akizungumza na mwandishi wetu Mbowe alisema ni utoto kukwepa kujibu hoja kwa kuanzisha tuhuma dhidi ya mtu mwingine ambazo si za kweli.

“Mimi nimekuwa nikisimamia ukweli, mtu anapotuhumiwa ni lazima ajibu tuhuma hizo. Ni utoto kuacha kujibu tuhuma na kuzusha tuhuma nyingine. Anapaswa kufanya utetezi wa tuhuma zinazoelekezwa kwake.

“Mimi ni mbunge, bungeni nimekuwa nikichangia watu mbalimbali mimi kama Freeman, si ajabu watu wengine kunichangia. Hapa jambo la msingi ni kwamba unapewa pesa kwa sababu gani, kwa nia ipi? Kupewa pesa na Kikwete au CCM si tatizo lakini unapewa pesa kwa sababu zipi, kwa malengo gani?” alihoji Mbowe.

Mbowe alilaumu baadhi ya vyombo vya habari kushiriki kumchafua kwa taarifa za kutunga kutoka kwa watu anaodhani wamekuwa na uhusiano na Zitto.
Nadhani umeyaona majibu
 
kuna watz mandondocha kweli , hivi mtu na akili yako unapost huu uharo.Pengine huna hata nyumba,huna kitanda ,unalala kitanda kimoja na wadogo zako! ukipewa 1,000,000 unasema ni 10,000,000.Kuna watu wanakera sana fanyeni kazi acha kushabikia ujinga.
apo kwny red, Wew ulichokiandika kinatofautigani na mwezio unayemtukana?
 
Ivi Mchungaji msigwa alipona kile kifafa cha juzi? nahisi akisikia bosi wake kalipuliwa kifafa kitakuwa mara mbili ya cha juzi...Rip cdm
 
Ok. Kumbe anajua mapungufu mengi ya wakubwa wake ndiyo maana anataka kugombea u-chairman. Lakini niwakumbushe hili, mmasai ana imani kwamba ng'ombe wote ni wake nae mchaga imani yake ni kwamba Tshs zote ni zake. Hivyo mchaga haachi shs hata iwe ni haramu. NI IMANI TU.
 
heading ime kaa kichochezi, Jf kwa Zitto, kuna jambo Nway niyaache.
 
hii kauli ya mbowe kusema "kupewa pesa na kikwete
au ccm si tatizo lakini unapewa pesa kwa
sababu zipi, kwa malengo gani?".
Katika kampeni nyingi za uchaguzi wa serikali za mitaa na hata mkuu,mara nyingi viongozi wa chadema wa ngazi zote hupenda kuwahimiza wananchi wasikatae pesa za hongo lakini kura wapeleke chadema,ni kitu cha kawaida sana na sio akili kuliweka kipropaganda bila ya kuangalia pande zote bila kuegemea upande fulani.we better be freethinkers wana-jamii#

siasa za kiafrica ni zakijinga mno. Ili mjue kuwa ni uhasama zitto alipelekewa tuhuma 11 leo zinazushwa nyingine, kwanini hazikuwekwa au waliishiwa karatasi? Tatizo ni zitto kutaka uenyekiti na siku cag akiikagua chedama walai hawa wanafiki wanaojidai wanaipenda chadema watalia na kibaya watu wanashabikia pita jamiiforum na tanzania daima,hawajui kilichopo ndani ya chadema
 
AMA KWELI FADHILI MBUZI UTAMLA NYAMA.............

Nampa pole sana Mh Freeman Mbowe, mwenyekiti wa Chadema Taifa kwa kutukanwa na kukosewa adabu na kijana mdogo, Msaliti Zitto Kabwe, ambaye leo mafanikio yake yametokana na yeye Mh Mbowe, lakini kasahau na kaamua kukutuna ati wewe ndo kamati kuu!

vile vile nimpe pole Mh Tundu Lissu Mbunge wa Singida mashariki na Mwanasheria wa chama, kwa kuitwa Kifaranga na huyu kijana ----- asiye na Adabu, we mpuuuze kwani leo amewadhihirishia watanzania kuwa hafai hata kuwa Balozi wa nyumba kumi......

Zitto Z Kabwe mpaka sasa hujakanusha tuhuma za kweli kabisa kwamba ulihongwa Magari mawili na Mh mkono iliusimsimamishe mgombea Msoma Vijijini, badala yake uliishia kujitoa ufahamu na kuwatukana Viongozi mtandaoni kuonyesha ulivyofilisika mawazo kama si kufilisika hoja!

Zitto Kabwe amejitoa ufahamu na kudai eti mtu asiyemuheshimu mke wake aliyewazalia watoto wake hawezi kumfundisha mtu maadili.......
Zitto, kabla ujanyoosha kidole kwa mwenzako embu jaribu kujitazama wewe mpaka leo una umri miaka 37 umeshindwa kuoa, na kinacho kusumbua ni uzinzi, embu kumbuka April tukio la aibu ulilolifanya pale Mount Meru Arusha, baada ya kunywa KONYAGI, mbona sisi hatusemi..........

Si jambo jema kujadili misha ya Binafsi ya Kiongozi, kwani hakuna aliye mkamilifu Chini ya Jua.......

SI VEMA MAAMUZI YA KAMATI KUU KUMBEBESHA MH MBOWE NA LISSU PEKE YAO..

Baba wa taifa mwalimu Nyerere katika moja ya hutuba zake alitolea mfano waziri mdogo kule Uingereza alivyokosa uwaziri baada ya kubainika ana mahusiano nje ya ndoa yake. mwalimu alienda mbali na kueleza ukiwa kiongozi lazima ujiheshimu na hautakiwi kufanya mambo ya hovyo hovyo,kupiga kila dada unayekutana naye,hivyo katika uongozi hakuna kinachoitwa maisha binafsi,kinachotakiwa ni uadilifu ili uwe mfano kwa kundi kubwa unaloliongoza.Katika hili si vyema kuacha kujadili mabaya anayofanya kiongozi kwa kuwa ni maisha binafsi tutakuwa wrong.
 
Back
Top Bottom