Butola
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 2,290
- 758
Hii kauli ya Mbowe kusema "Kupewa pesa na Kikwete
au CCM si tatizo lakini unapewa pesa kwa
sababu zipi, kwa malengo gani?".
Katika kampeni nyingi za uchaguzi wa Serikali Za Mitaa na hata Mkuu,mara nyingi viongozi wa ChaDeMa wa ngazi zote hupenda kuwahimiza wananchi wasikatae pesa za hongo lakini kura wapeleke ChaDeMa,ni kitu cha kawaida sana na sio akili kuliweka kipropaganda bila ya kuangalia pande zote bila kuegemea upande fulani.we better be freethinkers wana-jamii#
"Mkono alimpa Freeman tshs 20m za uchaguzi wa Tarime na Freeman akasema kwenye chama ametoa mkopo na akalipwa.
Lissu anajua kuwa gazeti la Tanzania Daima limeanzishwa na fedha za chama kutoka Conservative party?
Aeleze aliingia deal gani na Kinana na Sumaye mwaka 2005 kufuatia deni lake NSSF. Aweke wazi mkataba kati yake na NHC kuhusu nyumba ya Umma ilipo Club Bilicanas."
.....MBOWE NI MWIZI ALIYEKUBUHU, UNAHITAJI KUWA MSUKULE KWELIKWELI KUTOUONA WIZI HUU!!....NI HATARI.....