Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MOSES MACHALI.Wakuu, inasemekana Zitto Kabwe ali-post facebook hii kitu halafu aka-edit later.
Original post:
Revised Post:
Kutoka Gazeti la Raia Tanzania
kwaiyo dr slaa anaruhusiwa na dini yake kuzaa njeKwa mujibu wa dini ya kiislamu Zitto ni mzinzi na amezaa mtoto kwa uzinzi na anaendelea kuzini kuoa hataki. Huyu siyo bure iko tatizo.
Ni kweli zito ni maskini ndiyo maana anauchungu na maisha ya watu vipi huyo fisadi mbowe pamoja na ufisadi na mali zote mpaka dubai ameshindwa kujua thamani ya watu.Tatizo la zito ni umaskini.
Kwa hiyo yeye mnyonge wake ni Mbowe?
Maana kama ni tuhuma, aliyezitoa ni Tundu Lissu, lakini yeye kamrukia Mbowe.
... Mbowe atoke kukanusha au tuziamini.
Nadhani umeyaona majibuMajibu ya Mbowe
Akizungumza na mwandishi wetu Mbowe alisema ni utoto kukwepa kujibu hoja kwa kuanzisha tuhuma dhidi ya mtu mwingine ambazo si za kweli.
Mimi nimekuwa nikisimamia ukweli, mtu anapotuhumiwa ni lazima ajibu tuhuma hizo. Ni utoto kuacha kujibu tuhuma na kuzusha tuhuma nyingine. Anapaswa kufanya utetezi wa tuhuma zinazoelekezwa kwake.
Mimi ni mbunge, bungeni nimekuwa nikichangia watu mbalimbali mimi kama Freeman, si ajabu watu wengine kunichangia. Hapa jambo la msingi ni kwamba unapewa pesa kwa sababu gani, kwa nia ipi? Kupewa pesa na Kikwete au CCM si tatizo lakini unapewa pesa kwa sababu zipi, kwa malengo gani? alihoji Mbowe.
Mbowe alilaumu baadhi ya vyombo vya habari kushiriki kumchafua kwa taarifa za kutunga kutoka kwa watu anaodhani wamekuwa na uhusiano na Zitto.
apo kwny red, Wew ulichokiandika kinatofautigani na mwezio unayemtukana?kuna watz mandondocha kweli , hivi mtu na akili yako unapost huu uharo.Pengine huna hata nyumba,huna kitanda ,unalala kitanda kimoja na wadogo zako! ukipewa 1,000,000 unasema ni 10,000,000.Kuna watu wanakera sana fanyeni kazi acha kushabikia ujinga.
hii kauli ya mbowe kusema "kupewa pesa na kikwete
au ccm si tatizo lakini unapewa pesa kwa
sababu zipi, kwa malengo gani?".
Katika kampeni nyingi za uchaguzi wa serikali za mitaa na hata mkuu,mara nyingi viongozi wa chadema wa ngazi zote hupenda kuwahimiza wananchi wasikatae pesa za hongo lakini kura wapeleke chadema,ni kitu cha kawaida sana na sio akili kuliweka kipropaganda bila ya kuangalia pande zote bila kuegemea upande fulani.we better be freethinkers wana-jamii#
AMA KWELI FADHILI MBUZI UTAMLA NYAMA.............
Nampa pole sana Mh Freeman Mbowe, mwenyekiti wa Chadema Taifa kwa kutukanwa na kukosewa adabu na kijana mdogo, Msaliti Zitto Kabwe, ambaye leo mafanikio yake yametokana na yeye Mh Mbowe, lakini kasahau na kaamua kukutuna ati wewe ndo kamati kuu!
vile vile nimpe pole Mh Tundu Lissu Mbunge wa Singida mashariki na Mwanasheria wa chama, kwa kuitwa Kifaranga na huyu kijana ----- asiye na Adabu, we mpuuuze kwani leo amewadhihirishia watanzania kuwa hafai hata kuwa Balozi wa nyumba kumi......
Zitto Z Kabwe mpaka sasa hujakanusha tuhuma za kweli kabisa kwamba ulihongwa Magari mawili na Mh mkono iliusimsimamishe mgombea Msoma Vijijini, badala yake uliishia kujitoa ufahamu na kuwatukana Viongozi mtandaoni kuonyesha ulivyofilisika mawazo kama si kufilisika hoja!
Zitto Kabwe amejitoa ufahamu na kudai eti mtu asiyemuheshimu mke wake aliyewazalia watoto wake hawezi kumfundisha mtu maadili.......
Zitto, kabla ujanyoosha kidole kwa mwenzako embu jaribu kujitazama wewe mpaka leo una umri miaka 37 umeshindwa kuoa, na kinacho kusumbua ni uzinzi, embu kumbuka April tukio la aibu ulilolifanya pale Mount Meru Arusha, baada ya kunywa KONYAGI, mbona sisi hatusemi..........
Si jambo jema kujadili misha ya Binafsi ya Kiongozi, kwani hakuna aliye mkamilifu Chini ya Jua.......
SI VEMA MAAMUZI YA KAMATI KUU KUMBEBESHA MH MBOWE NA LISSU PEKE YAO..