mangikule
JF-Expert Member
- Jun 11, 2012
- 6,369
- 5,866
Ni kweli mkuu Ben saa8 alimzoom vizuri hata alipopewa hela na Kimei kutoka CRDB na nyingine zikawekwa account za Ujerumani!Ukiona Zitto yuko kwenye press elewa akaunti tayari ina soma hela za kuhongwa na kuelekezwa cha kwenda kuongea.
Zitto yuko kimaslahi zaidi chawa huyu.
Ben ameuawa na wengi!