Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amethibitisha huu uongo wake?Kuongea ukweli ni uchochezi?
Enyi watu wa Lumumba nani aliyewaroga?
Sent using Jamii Forums mobile app
Malaya WA kisiasa
Uchadema umekujaa mwili mzima..huu uchochezi mnaouunga mkono ipo siku mtaujutia..maana mpo kama abunuwasi.......tawi tuliokalia sote...mnataka kulikata ili msalimike....Tukiweka "umataga" pembeni na tukatumia akili zetu na macho yetu yaliyoshuhudia mambo yaliyotendeka tangu January 2016 hadi Desemba 2020 hakika tutaungana na Mwingira na Zitto.
Tazama:
1. Maiti kuokotwa kwenye viroba
2. Watu kupotea Ben Wa Saanane, Azory
3. Nyumba kuungua moto kimiujiza ... Nyumba ya Zitto
4. Mashamba kuharibiwa ...shamba la Mbowe, Zitto, ..
5. Magazeti kupigwa ban
6. Sabaya kupora mamilioni ya wafanyabiashara
7. Wanasiasa wa Uwanja wa Fisi kununuliwa kama njungu
8. Lissu kupigwa risasi mchana kweupe katika makazi yenye ulinzi mkali
9. Kupimana mikojo kusiko na tija
10. Clouds FM kuvamiwa na makiri kiri
11. Vifo vilivyotokana na stress za kutumbuliwa, kufukuzwa vyuoni na kuitwa vilaza huku malaika wa vilaza Jesi akiendelea kusoma
Haya yote uliyotaja yanauthibitisho kuwa awamu ya tano ilishiriki?Tukiweka "umataga" pembeni na tukatumia akili zetu na macho yetu yaliyoshuhudia mambo yaliyotendeka tangu January 2016 hadi Desemba 2020 hakika tutaungana na Mwingira na Zitto.
Tazama:
1. Maiti kuokotwa kwenye viroba
2. Watu kupotea Ben Wa Saanane, Azory
3. Nyumba kuungua moto kimiujiza ... Nyumba ya Zitto
4. Mashamba kuharibiwa ...shamba la Mbowe, Zitto, ..
5. Magazeti kupigwa ban
6. Sabaya kupora mamilioni ya wafanyabiashara
7. Wanasiasa wa Uwanja wa Fisi kununuliwa kama njungu
8. Lissu kupigwa risasi mchana kweupe katika makazi yenye ulinzi mkali
9. Kupimana mikojo kusiko na tija
10. Clouds FM kuvamiwa na makiri kiri
11. Vifo vilivyotokana na stress za kutumbuliwa, kufukuzwa vyuoni na kuitwa vilaza huku malaika wa vilaza Jesi akiendelea kusoma
Vipi kuhusu uchaguzi wa Zanzibar uliofutwa na Jecha haukuleta majeraha kwanini hawakuomba tume
Lala wewee TAGA
Weye ni mpumbavu sisi tunataka mahojiano ya polisi na askofu mwingira yawe mubashara tujuwe ukweli wote isiwe kama ule uchunguzi uliofanywa benki kuu juu ya fedha zilizochotwa wakati magufuli yuko sarakatul mauti.Hiyo tume ianze kazi Pemba wakati wa awamu ya 3 mpaka awamu hii ya sasa ili tupate idadi ya matukio yote nchi nzima.
Zito ana Hasira ya kukosa ubunge so tuanze 1995 kuja mpaka 2020.
Wahusika wafikishwe kwenye mkono wa sheria.