Zitto adai alichosema Askofu Mwingira kiliwakumba Watanzania wengi wakati wa utawala wa Hayati Dkt. Magufuli

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
Screenshot_20211227-235013.png
 
Tukiweka "umataga" pembeni na tukatumia akili zetu na macho yetu yaliyoshuhudia mambo yaliyotendeka tangu January 2016 hadi Desemba 2020 hakika tutaungana na Mwingira na Zitto.
Tazama:
1. Maiti kuokotwa kwenye viroba
2. Watu kupotea Ben Wa Saanane, Azory
3. Nyumba kuungua moto kimiujiza ... Nyumba ya Zitto
4. Mashamba kuharibiwa ...shamba la Mbowe, Zitto, ..
5. Magazeti kupigwa ban
6. Sabaya kupora mamilioni ya wafanyabiashara
7. Wanasiasa wa Uwanja wa Fisi kununuliwa kama njungu
8. Lissu kupigwa risasi mchana kweupe katika makazi yenye ulinzi mkali
9. Kupimana mikojo kusiko na tija
10. Clouds FM kuvamiwa na makiri kiri
11. Vifo vilivyotokana na stress za kutumbuliwa, kufukuzwa vyuoni na kuitwa vilaza huku malaika wa vilaza Jesi akiendelea kusoma
 
Uchadema umekujaa mwili mzima..huu uchochezi mnaouunga mkono ipo siku mtaujutia..maana mpo kama abunuwasi.......tawi tuliokalia sote...mnataka kulikata ili msalimike....
Upumbavu tu..
 
Tukiweka "umataga" pembeni na tukatumia akili zetu na macho yetu yaliyoshuhudia mambo yaliyotendeka tangu January 2016 hadi Desemba 2020 hakika tutaungana na Mwingira na Zitto.
Tazama:
1. Maiti kuokotwa kwenye viroba
2. Watu kupotea Ben Wa Saanane, Azory
3. Nyumba kuungua moto kimiujiza ... Nyumba ya Zitto
4. Mashamba kuharibiwa ...shamba la Mbowe, Zitto, ..
5. Magazeti kupigwa ban
6. Sabaya kupora mamilioni ya wafanyabiashara
7. Wanasiasa wa Uwanja wa Fisi kununuliwa kama njungu
8. Lissu kupigwa risasi mchana kweupe katika makazi yenye ulinzi mkali
9. Kupimana mikojo kusiko na tija
10. Clouds FM kuvamiwa na makiri kiri
11. Vifo vilivyotokana na stress za kutumbuliwa, kufukuzwa vyuoni na kuitwa vilaza huku malaika wa vilaza Jesi akiendelea kusoma
Haya yote uliyotaja yanauthibitisho kuwa awamu ya tano ilishiriki?
 
JPM aliwaweka wana dini karibu lakini kati ya watu ambao awamu ya tano haikuwaentertain kabisa ni hawa wafa maji matapeli waliotumia dini na siasa kama mtaji. Wanasomeka kirahisi sana hawa maana ni pamoja na viongozi wa dini magumashi wanaotumia kichaka cha dini kujitarijisha kupitia kondoo maskini pamoja na wanasiasa ambao mtaji wao ni manenomaneno ya jukwaani. JPM kwa vile asivokuwa mtu wa bla bla hakutaka kuwasikia hawa matapeli na walipata tab kweli kweli.

Sasa naona wanaanza kujipanga ili warudi kwa upya kwa kufikiri mama ni soft.
 
Hiyo tume ianze kazi Pemba wakati wa awamu ya 3 mpaka awamu hii ya sasa ili tupate idadi ya matukio yote nchi nzima.

Zito ana Hasira ya kukosa ubunge so tuanze 1995 kuja mpaka 2020.

Wahusika wafikishwe kwenye mkono wa sheria.
Weye ni mpumbavu sisi tunataka mahojiano ya polisi na askofu mwingira yawe mubashara tujuwe ukweli wote isiwe kama ule uchunguzi uliofanywa benki kuu juu ya fedha zilizochotwa wakati magufuli yuko sarakatul mauti.
 
Back
Top Bottom