Kutetea legacy ya HAYAWANI ngumu sana.Unakaa na familia yako eti unaamini maneno ya zito?
Itatakiwa upimwe akili kwa afya ya badae.
Tatizo la zitto ni unafiki, akipata nafasi ya kukutana na watawala anabadilika mazima. Umesahau juzi huyuhuyu alimuombea Mbowe msamaha kwa kosa ambali halipo badala ya kuwaambia watawala wamuachie MboweTukiweka "umataga" pembeni na tukatumia akili zetu na macho yetu yaliyoshuhudia mambo yaliyotendeka tangu January 2016 hadi Desemba 2020 hakika tutaungana na Mwingira na Zitto.
Tazama:
1. Maiti kuokotwa kwenye viroba
2. Watu kupotea Ben Wa Saanane, Azory
3. Nyumba kuungua moto kimiujiza ... Nyumba ya Zitto
4. Mashamba kuharibiwa ...shamba la Mbowe, Zitto, ..
5. Magazeti kupigwa ban
6. Sabaya kupora mamilioni ya wafanyabiashara
7. Wanasiasa wa Uwanja wa Fisi kununuliwa kama njungu
8. Lissu kupigwa risasi mchana kweupe katika makazi yenye ulinzi mkali
9. Kupimana mikojo kusiko na tija
10. Clouds FM kuvamiwa na makiri kiri
11. Vifo vilivyotokana na stress za kutumbuliwa, kufukuzwa vyuoni na kuitwa vilaza huku malaika wa vilaza Jesi akiendelea kusoma
Hiyo ndio shida kubwa aliyonayo-hili liko wazi sana.Tatizo la zitto ni unafiki, akipata nafasi ya kukutana na watawala anabadilika mazima. Umesahau juzihuyuhuyu alimuombea Mbowe msamaha kwa kosa ambali halipo badala ya kuwaambia watawala wamuachie Mbowe
Marehemu.. alikuwa mtu wa kadhiya nyingi sana .. Any way kife chake ni furaha kwa wengi ..,
Dhalimu akifa furaha utawala moyoni..
Hapa Nami Nakaa Kimya......Naona kumekucha huku.
Ngoja nivute popcorn na soda nitulie zangu!
NdumilakuwiliHiyo ndio shida kubwa aliyonayo-hili liko wazi sana.
Ulaaniwe zitto kabwe. Tume ya nini wakati awamu ya nne watu walilia kwa ufisadi kupora haki na mali ya umma. Ufisadi ulitawala hadi kwa majaji mahakamani.
Haakwa jinsi munavyokwenda tutasikia bashite nayeye analia kwamba alitishiwa na utawala wa mwendazake.
na mbuzi watamuunga mkono.
Wewe binafsi ulifanyiwa unyama gani? Hebu tueleze. Labda ni chuki zako tu dhidi ya hayati JPM.
Ahaaa, acha hasira. Kwa hiyo yaliyotokea Uganda wakati wa Amin yalitokea hapa Tanzania wakati wa JPM?
Wote wenye chuki na Magufuli ni kwa vile aliwagusa in one way or the other. Na ni ubinafsi wa kiwango cha kutisha kwamba kiongozi wa nchi akigusa maslahi yako basi umchukie, akipendelea maslahi yako basi huyo mtu ni malaika. Maslahi ya mtu binafsi yakiwa kinyume na maslahi mapana ya nchi na watu wake, na ukaguswa, msitupigie makelele siye. Rais alikuwa akifanya kazi yake, hakwenda pale kuimba kumbaya na kudance na matapeli.Mwingira ana chuki na magufur kwa sababu alifunguia kibenki chake chaki tapeli na viongoz wengi wa dini wana jificha kwenye dini kuwa tapeli Mali nyingi za mwingira kadhulumu wananchi na ata akifa Leo Mali zote liki wemo na kanisa watagawa familia yake mke na watoto
Sent using Jamii Forums mobile app
Ujinga mtupu, puppet liko kazini
Waliosema YESU asulubiwa,walipoona yaliyotokea wakati YESU anakata roho walikili kuwa YESU alikuwa mtu mwenye haki.Hivi tokea lini kanisa likawa na Bank.. Kwa utajiri wa bilioni 10 anao lalamika kutapeliwa na serikali alikuwa anaweza kusaidia yatima wangapi na wajane kwenye hii nchi lakini hakufanya hivyo??
Hizi chuki zinazoendelea kusambazwa Kwa nguvu dhidi ya marehemi zinafanya watu tuanze kuwaza mara mbili kama Kweli alituponyoka au alikwapuliwa[emoji23][emoji23][emoji23]
Hata biblia inasema ukifanya Jambo lililokileta duniani hutokaa upendwe na wanadamu.. tazama hata Yesu na kuponya viziwi na vipofu kote kule bado kunawatu walisema asulubiwe tuu..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yani Bank ya kanisa itumike kutakatisha pesa kwelii.. alafu ujiite mchungaji eti si hatari hiyo..
Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app