Hivi tokea lini kanisa likawa na Bank.. Kwa utajiri wa bilioni 10 anao lalamika kutapeliwa na serikali alikuwa anaweza kusaidia yatima wangapi na wajane kwenye hii nchi lakini hakufanya hivyo??
Hizi chuki zinazoendelea kusambazwa Kwa nguvu dhidi ya marehemi zinafanya watu tuanze kuwaza mara mbili kama Kweli alituponyoka au alikwapuliwa[emoji23][emoji23][emoji23]
Hata biblia inasema ukifanya Jambo lililokileta duniani hutokaa upendwe na wanadamu.. tazama hata Yesu na kuponya viziwi na vipofu kote kule bado kunawatu walisema asulubiwe tuu..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yani Bank ya kanisa itumike kutakatisha pesa kwelii.. alafu ujiite mchungaji eti si hatari hiyo..
Sent from my M2006C3MG using
JamiiForums mobile app