Zitto adai alichosema Askofu Mwingira kiliwakumba Watanzania wengi wakati wa utawala wa Hayati Dkt. Magufuli

Kila anayeongea yaliyomo katika agenda zetu ni mwenzetu.

Chadema: Tunayo ya kujifunza kwa Askofu Tutu

Tuna agenda za kudumu lakini si marafiki.

Slaa, Lowassa, Sumaye, Mdee na wenzao au yule wa nyimbo za sayuni wanatujua vyema.
Dr, Slaa baada ya kutemeshwa ubalozi yuko kijiji cha makumbusho anacheza ngoma za kwao anaita eti ni utamaduni
 
Hivi tokea lini kanisa likawa na Bank.. Kwa utajiri wa bilioni 10 anao lalamika kutapeliwa na serikali alikuwa anaweza kusaidia yatima wangapi na wajane kwenye hii nchi lakini hakufanya hivyo??

Hizi chuki zinazoendelea kusambazwa Kwa nguvu dhidi ya marehemi zinafanya watu tuanze kuwaza mara mbili kama Kweli alituponyoka au alikwapuliwa[emoji23][emoji23][emoji23]

Hata biblia inasema ukifanya Jambo lililokileta duniani hutokaa upendwe na wanadamu.. tazama hata Yesu na kuponya viziwi na vipofu kote kule bado kunawatu walisema asulubiwe tuu..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Yani Bank ya kanisa itumike kutakatisha pesa kwelii.. alafu ujiite mchungaji eti si hatari hiyo..

Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
 
"...jawabu ni kuundwa tume ya uchunguzi itakayoongozwa na jaji wa mahakama ya rufani.." - Zitto.

Kwa hiyo ikishaundwa hiyo tume ndio tatizo litakuwa limepata ufumbuzi wa kudumu? au nae ameamua kuandika tu ili asomwe?

- Hapo Zitto ametoa solution ya kisiasa ili yeye na wajanja wenzake waendelee kuwepo "mchezoni" for a long time.

Hata kama tume ikiundwa ikaongozwa na malaika, ikiwa tutabaki na Katiba hii mbovu iliyopo, mwenyekiti wa CCM aendelee kuwateulia watanzania Rais wa kuwaongoza kila baada ya miaka mitano, hilo tatizo lililowakumba baadhi ya watu huenda likajirudia.

Litajirudia kwasababu huko CCM siku hizi hakuna vetting, wanajiokotea wanaowataka wanawapa madaraka makubwa, wengine wakimbizi, wengine vichaa, wanawapa tu dhamana ya kutuongoza mbuzi wa kafara.

Watanzania kwa ujinga wetu wa kuchelewa kuchukua maamuzi stahiki kwa wakati, sasa tumegeuzwa kichwa cha mwendawazimu na CCM, kila wanayejiskia wanampa nafasi ya kutuongoza, na kondoo hawajawahi hata siku moja kumsumbua mchungaji, ni kuwaswaga tu...
 
Acha roho mbaya ,Hizo Hela ni za kwako?roho mbaya tu za kimaskini.Kwanini msingemuacha aendelee na mtaji wake Ili hao yatima mnaodai wapate na yeye aendelee na biashara zake.Una roho mbaya kama huyo mungu wenu aliyetangulia jongomeo!
 
Hivi tokea lini kanisa likawa na Bank.. Kwa utajiri wa bilioni 10 anao lalamika kutapeliwa na serikali alikuwa anaweza kusaidia yatima wangapi na wajane kwenye hii nchi lakini hakufanya hivyo??

Hizi chuki zinazoendelea kusambazwa Kwa nguvu dhidi ya marehemi zinafanya watu tuanze kuwaza mara mbili kama Kweli alituponyoka au alikwapuliwa[emoji23][emoji23][emoji23]

Hata biblia inasema ukifanya Jambo lililokileta duniani hutokaa upendwe na wanadamu.. tazama hata Yesu na kuponya viziwi na vipofu kote kule bado kunawatu walisema asulubiwe tuu..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Yani Bank ya kanisa itumike kutakatisha pesa kwelii.. alafu ujiite mchungaji eti si hatari hiyo..

Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
Acha roho mbaya ,Hizo Hela ni za kwako?roho mbaya tu za kimaskini.Kwanini msingemuacha aendelee na mtaji wake Ili hao yatima mnaodai wapate na yeye aendelee na biashara zake.Una roho mbaya kama huyo mungu wenu aliyetangulia jongomeo
 
JPM aliwaweka wana dini karibu lakini kati ya watu ambao awamu ya tano haikuwaentertain kabisa ni hawa wafa maji matapeli waliotumia dini na siasa kama mtaji. Wanasomeka kirahisi sana hawa maana ni pamoja na viongozi wa dini magumashi wanaotumia kichaka cha dini kujitarijisha kupitia kondoo maskini pamoja na wanasiasa ambao mtaji wao ni manenomaneno ya jukwaani. JPM kwa vile asivokuwa mtu wa bla bla hakutaka kuwasikia hawa matapeli na walipata tab kweli kweli.

Sasa naona wanaanza kujipanga ili warudi kwa upya kwa kufikiri mama ni soft.
To me mtu anayemuentertain Sabaya ni mtu wa hovyo mara 100 zaidi ya hao uliowataja hapo juu
 
Amethibitisha huu uongo wake?

Magufuli alikuwa rais muovu, na wanaojaribu kuficha uovu wake ni hawa waliofaidika na uovu ule. Hawa ni wachache wanathubutu kusema ukweli sasa hadharani, lakini uovu ule uko wazi kwa watu wengi. Iko siku kila kitu kitakaa hadharani.
 
JPM aliwaweka wana dini karibu lakini kati ya watu ambao awamu ya tano haikuwaentertain kabisa ni hawa wafa maji matapeli waliotumia dini na siasa kama mtaji. Wanasomeka kirahisi sana hawa maana ni pamoja na viongozi wa dini magumashi wanaotumia kichaka cha dini kujitarijisha kupitia kondoo maskini pamoja na wanasiasa ambao mtaji wao ni manenomaneno ya jukwaani. JPM kwa vile asivokuwa mtu wa bla bla hakutaka kuwasikia hawa matapeli na walipata tab kweli kweli.

Sasa naona wanaanza kujipanga ili warudi kwa upya kwa kufikiri mama ni soft.

Pole yako, unadhani hizi hekaya zako ndio zitatutoa kwenye ukweli kuwa Magufuli alikuwa rais muovu? Andika hata biblia, lakini huna uwezo wa kubadili punje ya ukweli kuwa alikuwa rais muovu.
 
Legacy ya JPM ni very controversial, sometimes napata shida sana kumwelewa huyu mwamba lakini nashukuru kwa barabara na madaraja aliyotuachia, RIP JPM
 
"...jawabu ni kuundwa tume ya uchunguzi itakayoongozwa na jaji wa mahakama ya rufani.." - Zitto.

Kwa hiyo ikishaundwa hiyo tume ndio tatizo litakuwa limepata ufumbuzi wa kudumu? au nae ameamua kuandika tu ili asomwe?

- Hapo Zitto ametoa solution ya kisiasa ili yeye na wajanja wenzake waendelee kuwepo "mchezoni" for a long time.

Hata kama tume ikiundwa ikaongozwa na malaika, ikiwa tutabaki na Katiba hii mbovu iliyopo, mwenyekiti wa CCM aendelee kuwateulia watanzania Rais wa kuwaongoza kila baada ya miaka mitano, hilo tatizo lililowakumba baadhi ya watu huenda likajirudia.

Litajirudia kwasababu huko CCM siku hizi hakuna vetting, wanajiokotea wanaowataka wanawapa madaraka makubwa, wengine wakimbizi, wengine vichaa, wanawapa tu dhamana ya kutuongoza mbuzi wa kafara.

Watanzania kwa ujinga wetu wa kuchelewa kuchukua maamuzi stahiki kwa wakati, sasa tumegeuzwa kichwa cha mwendawazimu na CCM, kila wanayejiskia wanampa nafasi ya kutuongoza, na kondoo hawajawahi hata siku moja kumsumbua mchungaji, ni kuwaswaga tu...
NOTED
 
JPM aliwaweka wana dini karibu lakini kati ya watu ambao awamu ya tano haikuwaentertain kabisa ni hawa wafa maji matapeli waliotumia dini na siasa kama mtaji. Wanasomeka kirahisi sana hawa maana ni pamoja na viongozi wa dini magumashi wanaotumia kichaka cha dini kujitarijisha kupitia kondoo maskini pamoja na wanasiasa ambao mtaji wao ni manenomaneno ya jukwaani. JPM kwa vile asivokuwa mtu wa bla bla hakutaka kuwasikia hawa matapeli na walipata tab kweli kweli.

Sasa naona wanaanza kujipanga ili warudi kwa upya kwa kufikiri mama ni soft.
Mwingira ana chuki na magufur kwa sababu alifunguia kibenki chake chaki tapeli na viongoz wengi wa dini wana jificha kwenye dini kuwa tapeli Mali nyingi za mwingira kadhulumu wananchi na ata akifa Leo Mali zote liki wemo na kanisa watagawa familia yake mke na watoto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom