Nyangomboli
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 3,501
- 1,956
Tujiandae kwa maajabu mengine ya vyombo vyetu vya kutoa haki na kutafsiri sheria.
Alikuwa akiwaachia upinzani wale ruzuku watakavyo Sijui walikuwa wakimgawia ?Asad kastaafu juzi tuu njaa imeanza kuuma na anatuma vijana wake ili wafanye jitihada wamrudishe kazini? umri!!! baba umri !!!baba
ALIIMBA MR.EBO
Njaa inauma...... chunga usichinje njau...........njaa inauma.........
Hujaacha majungu?Anamtishia nyau CAG mpya asifanye special audit ya matumizi ya pesa za ACT wazalendo
CAG mpya nenda kagua miaka ya nyuma upya ikiwezekana Rudi hata Saba nyuma .Tuma kikosi kazi.Hilo.ni tishio la kutaka umuogope ukae mbali na ulaji ruzuku wake
Special Audit report ndio itaongea Kama ninalosema Ni jungu au la.CAG mpya wahi Tia timu ya Special Audit ACT wazalendoHujaacha majungu?
Naomba unitajie Majina ya CAG mpya na Majina ya Mwanasheria wa Zitto huyo anaemuwakilisha labda sijaelewaAnamtishia nyau CAG mpya asifanye special audit ya matumizi ya pesa za ACT wazalendo
CAG mpya nenda kagua miaka ya nyuma upya ikiwezekana Rudi hata Saba nyuma .Tuma kikosi kazi.Hilo.ni tishio la kutaka umuogope ukae mbali na ulaji ruzuku wake
Aache! Hawezi kushinda hiyo kesi. Uwanja wa mapambano ya kisheria hautakua level na kwa mwanasiasa wa kaliba yake nashangaa kama hataelewa hilo
Na umefutiwa zaidi ya moja... Kuna nyingine umeniqoute kabla sijajibu ikafutwa... Hii inaonyesha hujatulia hata... Kiufupi una mihemko ya kisiasa... Sijaona hoja uliyojenga hata moja... Yaani unafanya kama ninyi mnavyosutana... Achana na siasa,you are an adult but it seems you're still a kid in politics.
I concurAre you trying to scare him?
Taking risk in anything positive in life is part and parcel of any successful person!!
By the way, whether be it a lost or win battle; the precedence must be recorded for a future generation...!!
Majungu na fitina vitakusaidia nini?Special Audit report ndio itaongea Kama ninalosema Ni jungu au la.CAG mpya wahi Tia timu ya Special Audit ACT wazalendo
Anamtishia nyau CAG mpya asifanye special audit ya matumizi ya pesa za ACT wazalendo
CAG mpya nenda kagua miaka ya nyuma upya ikiwezekana Rudi hata Saba nyuma .Tuma kikosi kazi.Hilo.ni tishio la kutaka umuogope ukae mbali na ulaji ruzuku wake
Mleta mada kajichanganya muda mrefu alikuwa hayuko mtandaoni baada ya chadema kumpiga chini kwenye chaguzi zao za ndani naona kapost mbio.mbio.akiwa na hang over ya frustration kichwani za kupigwa chini na chadema chaguzi zao za ndaniNaomba unitajie Majina ya CAG mpya na Majina ya Mwanasheria wa Zitto huyo anaemuwakilisha labda sijaelewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mtu yeyote yule ambaye ni makini na mwenye kujali, kamwe hawezi kuacha katiba ikikiukwa kwa makusudi na wale ambao wamepata madaraka kupitia kitiba hiyo hiyo. Mh. Zito ni lazima aungwe mkono, kwa kuwa ameonyesha njia.Kiongozi wa ACT Wazalendo.,Zitto Kabwe, amefungua kesi ya Kikatiba dhidi ya mosi; Sheria ya Ukaguzi namba 11 ya mwaka 2008 kukiuka Katiba na pili Uteuzi wa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali(CAG) uliofanywa na Rais Magufuli kuwa kinyume na masharti ya Katiba.
Kesi hiyo ya Kikatiba namba 1 ya mwaka 2020 ambayo Ndugu Zitto anawakilishwa na Wakili Nyaronyo Kicheere, imefunguliwa Masjala Kuu ya Dar Es Salaam na imepangiwa Majaji Mlacha, Masoud na Masabo.
Zitto anaiomba Mahakama kutamka kuwa kifungu cha 6(1) cha Sheria ya Ukaguzi No.11/2008 inaenda kinyume na Katiba kwa kukiuka Ibara ya 144(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na pia kupingana na kifungu 62(a) cha Sheria ya Ukaguzi ambacho kinaendana na Katiba.
Aidha Zitto anaiomba Mahakama kutamka pia kuwa uamuzi wa Rais Magufuli wa kumwondoa Ofisini Prof. Assad ulikuwa kinyume na Katiba kwani Prof. Assad hakuwa ametimiza miaka 65 ya kisheria wala miaka 60 ya Kikatiba. Pia uteuzi wa Bwana Kicheere hukufuata Katiba ufutwe.
Zitto Kabwe anasema baada ya kutafakari kwa kina ameonelea kuwa uvunjifu wa Katiba uliofanywa na Rais Magufuli haupaswi kukaliwa kimya. Kama Mtanzania, kwa miaka 8 aliyehudumu ktk Kamati za Bunge za Uwajibikaji, itakuwa dhambi kutotaka tafsiri ya Mahakama kuhusu uteuzi wa CAG.
"Nalifanya hili kulinda ma CAG wajao kwani tukiacha Katiba ikichezewa Ofisi ya CAG inayopaswa kuwa Huru KIKATIBA itakuwa dhaifu mno na kuhatarisha usimamizi bora wa Fedha za Umma. Kwa maoni yangu CAG akishateuliwa haondokeki mpaka afikie umri wa kustaafu kisheria." Zitto Kabwe.
Shauri hili la Zitto Kabwe litaitwa kwa mara ya kwanza Januari 28, 2020 saa 3 Asubuhi, ambapo Wajibu shauri ni Rais Magufuli kupitia Mwanasheria Mkuu wa Serikali, CAG Mussa Assad na Bw. Charles Kicheere.
Imetolewa na;
Suphian Juma, Afisa Habari, ACT Wazalendo.
Jan 25, 2020.
Ipo wapi ile post yako uliyoniqoute halafu mwisho ukaishia na emoji za kusonya...ilete..,nilimqoute mtu mwingine wewe sijui hukupendezwa nayo ukanijibu violently mod wakaifuta...ilete kama bado unaiona... Act kama unaelewa unachofanya.... Wewe unakuwa kama wale vijana wa bodaboda ambao wakiona bendera ya chama chao wanatoka na wazimu...Jibu mtu kiutashi wewe.... Sijui hayo majazba mnayatolea wapi sababu hata kiongozi wenu mkuu hayupo hivyo...Tatizo mnachanganywa na hao wanaogombea uwenyekiti serikali za mitaa na nyie mnajiona wajaaanja.Sijaandika kitu kibaya kikafutwa! Hata hyo comment yangu bado naiona! Ww ndo uache mihemko mkuu!
Ipo wapi ile post yako uliyoniqoute halafu mwisho ukaishia na emoji za kusonya...ilete..,nilimqoute mtu mwingine wewe sijui hukupendezwa nayo ukanijibu violently mod wakaifuta...ilete kama bado unaiona... Act kama unaelewa unachofanya.... Wewe unakuwa kama wale vijana wa bodaboda ambao wakiona bendera ya chama chao wanatoka na wazimu...Jibu mtu kiutashi wewe.... Sijui hayo majazba mnayatolea wapi sababu hata kiongozi wenu mkuu hayupo hivyo...Tatizo mnachanganywa na hao wanaogombea uwenyekiti serikali za mitaa na nyie mnajiona wajaaanja.
Huo uanachama wa ccm sijui ulinipa wewe.... Naona umekazana balaa.Ccm imechokwa jua hvyo!
Zitto ni mdini sana!Kiongozi wa ACT Wazalendo.,Zitto Kabwe, amefungua kesi ya Kikatiba dhidi ya mosi; Sheria ya Ukaguzi namba 11 ya mwaka 2008 kukiuka Katiba na pili Uteuzi wa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali(CAG) uliofanywa na Rais Magufuli kuwa kinyume na masharti ya Katiba.