Zitto afungua kesi ya kikatiba kupinga uteuzi wa CAG mpya

Zitto afungua kesi ya kikatiba kupinga uteuzi wa CAG mpya

Chadema mkuje huku
Mleta mada salary Slip alikuwa mwanachama wenu katimkia ACT wazalendo baada ya kupigwa chini chaguzi zenu za ndani.Alikuwa kinara wenu humu Jamii forums kuwatetea kwa nguvu zote .Kupigwa chini tu kwenye chaguzi zenu kaehuka
Kwa uzushi na propaganda,CCM hamjambo!!!
 
Kwani ana ulazima wa kuwa mwanachama wa cdm? Ana haki ya kuhamia chama chochote akitakacho na hajavunja sheria yoyote ya nchi.
Mkuu,huyu jamaa ni mzushi na muonga maana wala hatufahamiani!!

Hizo ni propagada na hii ndio kazi yao humu mitandaoni.
 
Kiongozi wa ACT Wazalendo.,Zitto Kabwe, amefungua kesi ya Kikatiba dhidi ya mosi; Sheria ya Ukaguzi namba 11 ya mwaka 2008 kukiuka Katiba na pili Uteuzi wa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali(CAG) uliofanywa na Rais Magufuli kuwa kinyume na masharti ya Katiba.
EPIFBLXWAAAxXjv.jpg

Kesi hiyo ya Kikatiba namba 1 ya mwaka 2020 ambayo Ndugu Zitto anawakilishwa na Wakili Nyaronyo Kicheere, imefunguliwa Masjala Kuu ya Dar Es Salaam na imepangiwa Majaji Mlacha, Masoud na Masabo.

Zitto anaiomba Mahakama kutamka kuwa kifungu cha 6(1) cha Sheria ya Ukaguzi No.11/2008 inaenda kinyume na Katiba kwa kukiuka Ibara ya 144(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na pia kupingana na kifungu 62(a) cha Sheria ya Ukaguzi ambacho kinaendana na Katiba.

Aidha Zitto anaiomba Mahakama kutamka pia kuwa uamuzi wa Rais Magufuli wa kumwondoa Ofisini Prof. Assad ulikuwa kinyume na Katiba kwani Prof. Assad hakuwa ametimiza miaka 65 ya kisheria wala miaka 60 ya Kikatiba. Pia uteuzi wa Bwana Kicheere hukufuata Katiba ufutwe.

Zitto Kabwe anasema baada ya kutafakari kwa kina ameonelea kuwa uvunjifu wa Katiba uliofanywa na Rais Magufuli haupaswi kukaliwa kimya. Kama Mtanzania, kwa miaka 8 aliyehudumu ktk Kamati za Bunge za Uwajibikaji, itakuwa dhambi kutotaka tafsiri ya Mahakama kuhusu uteuzi wa CAG.

"Nalifanya hili kulinda ma CAG wajao kwani tukiacha Katiba ikichezewa Ofisi ya CAG inayopaswa kuwa Huru KIKATIBA itakuwa dhaifu mno na kuhatarisha usimamizi bora wa Fedha za Umma. Kwa maoni yangu CAG akishateuliwa haondokeki mpaka afikie umri wa kustaafu kisheria." Zitto Kabwe.

Shauri hili la Zitto Kabwe litaitwa kwa mara ya kwanza Januari 28, 2020 saa 3 Asubuhi, ambapo Wajibu shauri ni Rais Magufuli kupitia Mwanasheria Mkuu wa Serikali, CAG Mussa Assad na Bw. Charles Kicheere.

Imetolewa na;
Suphian Juma, Afisa Habari, ACT Wazalendo.
Jan 25, 2020.
Ndugu yangu Zitto Kabwe, maadam kwa mujibu wa katiba yetu, mahakama ndio pekee yenye mamlaka ya kutafsiri sheria, na kutoa haki, naunga mkono juhudi zozote za kupeleka jambo lolote mahakamani kupata tafsiri rasmi ya kisheria, ila sheria ziko wazi kwa kila mtu kuzisoma, hili la CAG pia liko wazi kuwa CAG atashika madaraka kwa kipindi cha miaka mitano tuu but shall be eligible for reappointimen, hiyo re appointment ni "shall" subject to eligibility, and not "will" ambayo ni direct.

Kifungu hicho kinasema hivi
tenure of ofice of CAG, Tanzania

Section 6 of the Public Audit Act, 2008, the CAG shall hold office for the fixed term of five years and shall be eligible for renewal for one term only.

Hivyo renewal sio must, sio will, ni shall baada ya kukidhi vigezo vya eligibility, hivyo kigezo cha kwanza cha mahakama kuu wakati wa kutoa tafsiri ya kifungu chochote cha sheria, huangalia mtunga sheria alidhamiria nini?. Sheria ya CAG iko wazi kiwa CAG atahudumu kwa miaka 5!.

Kama ilivyo kwa presidential term kipindi cha urais ni miaka 5, ila anaweza kugombea vipindi viwili subject to reappointiment ya chama chake, iwapo CCM itaamua 2020 isimsimamishe tena rais Magufuli, for whatever reasons, watu watashangaa lakini ndivyo katiba inavyosema.

Tanzania tuna wanasheria wengi ila sio wote ni mahiri kote na wengine lengo lao ni kula pesa, niko kwenye process ya kusajili a Legal Opinion Firm na kuwashauri watu kabla hawajakimbilia kwa mawakili kwenda kukamuliwa fedha zao bure, seek kwanza a legal opinion, utashauriwa then proceed kwa wakili ukawape ukaji.

Hata ile kesi ya Zitto kuzuia kufukuzwa Chadema, it had genuine legal merits kwasababu CC ya Chadema haina mamlaka kusikiliza shauri la NKM ila kwa kutumia mawakili wetu hawa, wakafanya wrong filing kesi ikatupwa for legal technicalities and not for legal merits.

Watu wengi wanashindwa kesi kwa makosa ya mawakili, hivyo hiyo issue iko straight forward wakili wako should've saved your money.
P
 
Naam, utasaidia sana huyo ndugu naona anahangaika sana hata haijulikani wananchi wa jimbo lake anawasaidia vipi.

Japo anfetumia 10% ya pilika zake kusaidia jimbo, hakika KGM ingekuwa mbali sana kimaendeleo.
Ndugu yangu Zitto Kabwe, maadam kwa mujibu wa katiba yetu, mahakama ndio pekee yenye mamlaka ya kutafsiri sheria, na kutoa haki, naunga mkono juhudi zozote za kupeleka jambo lolote mahakamani kupata tafsiri rasmi ya kisheria, ila sheria ziko wazi kwa kila mtu kuzisoma, hili la CAG pia liko wazi kuwa CAG atashika madaraka kwa kipindi cha miaka mitano tuu but shall be eligible for reappointimen, hiyo re appointment ni "shall" subject to eligibility, and not "will" ambayo ni direct.

Kifungu hicho kinasema hivi
tenure of ofice of CAG, Tanzania

Section 6 of the Public Audit Act, 2008, the CAG shall hold office for the fixed term of five years and shall be eligible for renewal for one term only.

Hivyo renewal sio must, sio will, ni shall baada ya kukidhi vigezo vya eligibility, hivyo kigezo cha kwanza cha mahakama kuu wakati wa kutoa tafsiri ya kifungu chochote cha sheria, huangalia mtunga sheria alidhamiria nini?. Sheria ya CAG iko wazi kiwa CAG atahudumu kwa miaka 5!.

Kama ilivyo kwa presidential term kipindi cha urais ni miaka 5, ila anaweza kugombea vipindi viwili subject to reappointiment ya chama chake, iwapo CCM itaamua 2020 isimsimamishe tena rais Magufuli, for whatever reasons, watu watashangaa lakini ndivyo katiba inavyosema.

Tanzania tuna wanasheria wengi ila sio wote ni mahiri kote na wengine lengo lao ni kula pesa, niko kwenye process ya kusajili a Legal Opinion Firm na kuwashauri watu kabla hawajakimbilia kwa mawakili kwenda kukamuliwa fedha zao bure, seek kwanza a legal opinion, utashauriwa then proceed kwa wakili ukawape ukaji.

Hata ile kesi ya Zitto kuzuia kufukuzwa Chadema, it had genuine legal merits kwasababu CC ya Chadema haina mamlaka kusikiliza shauri la NKM ila kwa kutumia mawakili wetu hawa, wakafanya wrong filing kesi ikatupwa for legal technicalities and not for legal merits.

Watu wengi wanashindwa kesi kwa makosa ya mawakili, hivyo hiyo issue iko straight forward wakili wako should've saved your money.
P

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom