But for the sake of references Zitto is keeping records.. We know he will loose but in future Zitto will be a hero..He is fighting a losing battle. Wastage of time and resources.
Pole dada ndio maisha.Hilo jina nakuambia mara kibao halikufai
Hizi kesi mahakama isipojiangalia itajivua nguoTujiandae kwa maajabu mengine ya vyombo vyetu vya kutoa haki na kutafsiri sheria.
Mleta mada kajichanganya muda mrefu alikuwa hayuko mtandaoni baada ya chadema kumpiga chini kwenye chaguzi zao za ndani naona kapost mbio.mbio.akiwa na hang over ya frustration kichwani za kupigwa chini na chadema chaguzi zao za ndani
Hizi post anaonyesha wazi kahamia ACT wazalendo hayuko Tena chadema.Kaandika Akiwa na misongo ya mawazo msamehe bure
Zitto aachane na hilo linaloweza kupoteza muda muhimu tulip nao. Akili yote iwe kuibana serikali kupeleka muswada wa dharula kuhusu tume huru ya uchaguzi huku akishirikiana na wenzake katika mpambano huo na kuachana na personal kiki.Tujiandae kwa maajabu mengine ya vyombo vyetu vya kutoa haki na kutafsiri sheria.
Mkuu nadhani kweli Zitto asikatishwe tamaa Bali ashauriwe asishike mengi kwa wakati mmoja, apeleke nguvu zote kwenye kutaka Tume huru ya uchaguzi.
Nakuelewa sana kiongozi!Aache! Hawezi kushinda hiyo kesi. Uwanja wa mapambano ya kisheria hautakua level na kwa mwanasiasa wa kaliba yake nashangaa kama hataelewa hilo
Zitto ni mdini sana!
kwani lazima kiingereza?He is fighting a losing battle. Wastage of time and resources.
You are most definetly layman in constitutional law, let me give you enlightment before you futher go astray.He is fighting a losing battle. Wastage of time and resources.
Huko mahakamani anaenda kukutana na hiyo lughakwani lazima kiingereza?
He is fighting a losing battle. Wastage of time and resources.
Kwa nini yeye ndiye afanye kila jambo?Mkuu nadhani kweli Zitto asikatishwe tamaa Bali ashauriwe asishike mengi kwa wakati mmoja, apeleke nguvu zote kwenye kutaka Tume huru ya uchaguzi.
Kwanza bila tume huru hata akishinda uchaguzi wowote hawezi kutangazwa, sasa wa nini huo uchaguzi?
Sent using Jamii Forums mobile app