Zitto ajianika alivyotumika jana kumuombea msamaha Mbowe

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
20211216_141556155476.jpg

Tumeshakwambia Mbowe hahitaji kusamehewa anahitaji kuachiwa huru kwa sababu kesi ni ya kubumba. Mbona huelewi wewe wakala?

Wa kuomba msahama ni Rais Samia sio Mbowe
 
Samia atuambie wazi, anatawala Tanzania kidikteta au kidemokrasia, haiwezekani atuambie anatawala kwa kufuata sheria halafu akiambiwa ukweli anakiuka sheria anakuwa mkali na kuwaita wanaomwambia ukweli hawana heshima, kama anatawala kidikteta atueleze ili tusimsumbue.
 
View attachment 2046053

Tumeshakwambia Mbowe hahitaji kusamehewa anahitaji kuachiwa huru kwa sababu kesi ni ya kubumba. Mbona huelewi wewe wakala?

Wa kuomba msahama ni Rais Samia sio Mbowe
Acheni upuuzi wenu, mmetulia majumbani mwenu na familia zenu mwezenu anasota jela. Mnazani Mbowe atatoka kwa hashtag zenu! Chadema imeshapoteza mwelekeo, mpo disorganized sana katika hili, mwezenu anateseka nyie mnapiga porojo tu.
 
Yaan hawa wapuuzi bora hata MBOWE atoke anaeleweka.

Maana Tangu Mbowe awe ndani haieleweki wanataka nin?
 
Back
Top Bottom