Zitto ajutia kuingia kwenye siasa?

Zitto ajutia kuingia kwenye siasa?

Huyu Zitto kwisha habari yake. Toka alipoleta ule wazimu wa dowans humu ndani na kujifamnya ana msimamo binafsi ambao hayumbishwi, wengine tuliondoa kabisa mategemeo kwake.

Zitto alikuwa atusaidie sana watanzania, lakini sijui ni kwamba he became big headed au ni immaturity ya siasa, lakini mweleka aliopiga ni mkubwa sana.

Yaani wewe mwanasiasa unataka kujifanya at the same time una misimamo binafsi ambayo inapingana kwa asilimia kubwa na electorate, wapi huu wazimu umeshafanywa dunia hii??

All the best Zitto

- Zitto a good man aliyewa-underestimate wananchi wa Tanzania, all the best, maana kama uongozi bora ni kuwepo kwenye media kila kukicha, then mkuu ni kiongozi of the year 2009 in Tanzania, I mean hands down!

- At onetime idea kwamba CCM ndio wanaoleta vurugu za Chadema na Zitto, made a lot of sense, lakini not anymore! maana sisi wananchi wa Tanzania sio mabwege tena!

Respect.

FMEs!
 
Halafu pia maswali yafuatayo:

1. Je Zitto anataka kumpigia kampeni huyo Kafulila kwa kuwa tu ni rafiki yake?

2. Utaratibu wa kuomba nafasi ya kugombea ukoje NCCR? kwani Kafulila ni mgombea tayari? Si kuna mchakato au?

3. Zitto kabwe kafanya research gani kuonyesha kuwa Kafulila anakubalika kwenye jimbo? au kwa kuwa tu yeye anamtaka?

4.Kwa akili ile ya Kafulila na maneno yale aliyosema siku anaondoka Chadema je ni kweli Kafulila ni kiongozi wa maana? wa kupiganiwa kuwa mbunge?

5. Kwa nini kama Zitto ana mapenzi na Chadema asiwaombe NCCR wawaachie jimbo Chadema badala ya yeye kusema eti anamuunga mkono mgombea wa NCCR!! wa Chadema je? au kwa kuwa ni rafiki? je NCCR na Chadema Zitto anapenda chama gani?

6. Ina maana Zitto anaweka mbele urafiki kuliko chama? je ana tofauti gani na Kikwete?

7. Kwa nini Zitto asikubali tu kuwa Kafulila sasa yuko NCCR na kwamba urafiki wao unaendelea lakini wanaamini itikadi tofauti?

8. Kafulila amekwenda NCCR kwa ajili ya kupewa nafasi ya kugombea ubunge? Je akishindwa kwenye uchaguzi ndani ya NCCR hatima yake itakuaje? manake mind you sio lazima agombee yeye! na je akishindwa kwenye uchaguzi mkuu atafanya nini? atabaki NCCR?

9. Je Zitto haoni kwamaba natumia issue ya Kafulila kutaka tu kupimana ubavu na viongozi ndani ya Chadema?

10. kwa hiyo kampeni zikianza huko kigoma Zitto atakuwa jukwaa gani NCCR au Chadema?

11. Je Zitto anatambua kuwa suala zima hapa si la Kafulila na Zitto bali ni Chadema na NCCR? Yani it is not about individuals it is about the party , the team teamwork?

12.Chadema for now will be better without Zitto than with him.BUT please msimfukuze..msifanye kosa walilofanya wabunge wa CCM la kumfukuza Zitto bungeni na hatimaye kumpa public symphathy ya bure kabisa ambayo ndio inamlinda hadi leo japo imeshuka sana kwa sasa.
 
maswali mazuri,

1. Umeonyesha NCCR na Chadema hawawezi kuweka mgombea mmoja jimbo moja? si wote wapinzani?

2. Umeonyesha kuwa hata NCCR kumkaribisha Kafulila kwa lengo la kugombea ubunge nao hawajafanya assignment yao vizuri

3. Nilishasema kuondoka kwa watu kama akina Kafulila na Kupiga domo ubaya waliofanyiwa ndani ya Chadema ni ujinga na utoto!

4. with that crazy passion still Nccr wanamchukua kama mtu wao

5. Zitto naye kusema(sijathibitisha) kuwa anampigia kampeni chadema-kawa individual zaidi yuko kivyake!this is serious case

6.Umeonyesha pamoja na kupiga kelele kote huko kwa zito bado chama chake hakijamchukulia hatua mpaka leo hii!!!-Kwa nini JK hawachukulii hatua watu wa chini? si kwa sababu naye ni fisadi? this is serious kwa naibu katibu mkuu wa chama ku-act kama Zitto! inanyesha chama chote kimeoza na atakayemgusa Zitto lazima ajiulize mara mbili!!!

7. Mwisho nasikitika kama siyo kukupa pole kuwa uko biased na sio mkweli kusema Zitto alipewa sympathy na wananchi alipofukuzwa bungeni-Please kua kidogo na uwe mkweli, hata kama zama zile ulikuwa unampenda kiri kwa lile alilolifanya acha sanaa na chuki hapa

8. Nashangaa unatoa solution ya ajabu kabisa pamoja na maswali yako mazuri kuwa Zitto abaki chamani, at the sama time unalaumu anaweka urafiki kuliko chama, hii solution ni nzuri? na inakisaidiaje chama?

Maoni yangu.

1. Kama chama cha chadema wanaona Zito kawakosea na yuko kinyume nao, solution ni kumfukuza-Ukimfukuza unaleta sense ya chama kama watu na sio chama kama individual!

2. Chadema kutomchukulia hatua zito, kunaonyesha kuna udhaifu wa chadema kama chama, humo ndani inaonyesha kuna makundi makundi na pengine wanaona wakimfukuza Zitto basi kuna kuvunja chama! kesho atatokea Zito mwingine na kumchukulia hatua itakuwa haiwezekani kwani kuna wengine hawachukuliwi hatua!

3. Inaonyesha pengine haya yote unayoyasema na kujadili humu, uongozi unaona kama mnamzushia Zitto kwa hiyo Zitto ni safi kabisa, japo Lukule unatoka povu humu

4. Kumpa uongozi mkubwa kama huo Zitto na kuonyesha utovu wa nidhamu(kama unavyomuona wewe!) kunaonyesha chama kizima hakina nidhamu, intelligence, wala hakiwachunguzi watu kabla ya kuwapa uongozi, hatari yake ni kuwa kesho kama kuna pandikizi la CCM litaingia na kukiharibu chama na kutokomea, hii ni hatari na si kitu cha kuchezewa mkuu!

5. Naona kuna haja ya vyama vya upinzani kuwa na special contract na viongozi wake kama akina kafulila, na katika contract ieleze kabisa ni mwiko kusema ubaya wa chama kupitia media, kama wasiporidhika na utendaji wondoke kimyakimya-upo hapo?

nimetoa point sita,
wewe unasemaje ishu ya kafulila kutoka chadema na kwenda nccr kisa anataka ubunge unafikiri anataka nini?-ulaji au sio

kwa nini leo mimi nisihitimishe kuwa vyama vyote hivi vya upinzani wanatafuta kula??

1. Kwa nini mtu anang'ang'ania kuwa lazima we mwenyekiti wa chama? refer Mrema, Mbowe n.k

2. Kwa nini hamna demokrasia ndani ya hivi vyama?( refer uchaguzi wa chadema)

3. Kwa nini NCCR kama wanamoyo na nia moja na Chadema kwa nini walimkaribisha Kafulila? wao ni safi kuliko chadema? (refer kafulila kuhamia NCCR), je kitendo kile watu wa kawaida si wanaona usanii fulani na kutoa conclusion kuwa hivi vyama kuna haja ya kivumulika mpaka kwenye mifupa yao???

hold on...

Zito, chadema, mbowe wenu , slaa....nccr, mrema...cuf, name it..... I real doubt naona hakuna seriousness katika vyama na watu, kiasi cha kusema why dont we think another option! utasema na kuvitetea hivi vyama mpaka unatoka mvi nyeupe kwapani wapi!!!

kisaikolojia Zitto amekuwa kwenye weak point kiasi cha kumtupia lawama zote kumbe tatizo si yeye , chama makini, chenye watu wakali na walio serious na swala linaloitwa upinzani, Zito asingepiga kelele zake hizo, siku ya pili alitakiwa awe amekwisha jiuzulu,! mbona naona ishu zile zile za CCM chadema, am I blind???

ebu tujiangalie tena
 
Lukule,

Umeuliza swali ambalo nimekuwa najiuliza bila kupata majibu. Zitto anasema anasukumwa na spirit ya ushirikiano wa vyama kumfanyia kampeni Kafulila ili wapinzani waweze kupata wabunge wengi. NCCR kama chama cha siasa kinao wanachama huko Kigoma kusini ambao kama Kafulila wanayo haki ya kuomba kugombea ubunge. Zitto ana ushawishi gani ndani ya chama hicho kiasi cha kuwa na uhakika kuwa Kafulila ndiye atateuliwa na chama? Na vipi muda muafaka ukifika hivi vyama vingine anavyotaka kushirikiana navyo vikatoa wagombea bora zaidi kuliko Kafulila, atageuka na kumkubali mgombea mwingine tofauti na Kafulila? Majibu yote anayo Zitto mwenyewe na kadri muda unavyosogea yatakuwa wazi!
 
sidhanui kama anajutia,kwa mtizamo wangu anazuga tuuu..
 
well said,

Ila tunachokosa kuangalia ni, je chanzo cha matatizo ya Zito ni nini?!
Vyanzo maana siyo )Chanzo tu) vya matatizo yake ni, Kiburi, dharau, kujikweza, kujifanya kujua na kama ilivyoelezwa huko nyuma, kuongea kwanza halafu anafikiria baadaye.

Pili je kiondoka athari zake ni zipi?!
Hakuna athari yeyote. Tangu lini kansa ikiondolewa kunakuwa na athari zaidi ya kupona? Zito is a Cancer that must be removed.

Tuwe wakweli jamani nchi ya wote hii, kila mtu apewe haki yake! kuwa mkweli ndani ya chama sio usaliti, na kama hawakusikii piga kelele usikike kilio chako zito kimesikika! mkisema hivyo-mkimnyamazisha basi kesho chadema nayo itakuwa na akina Sheikh Yahaya kumi, watakaosema ukiuliza swali unakatika ulimi!
Wewe ndio umemsikia mimi namwona kuwa ni opportunist tu. Siasa siyo chaguo lake halafu eti anataka kuwa mwenyekiti hii mbona kali. Wazee waliona mbali sana maana kwa mwendo huu Kafulila angekuwa Katibu mkuu.
Baada ya upuuzi wake wa DOWANS nitageuka nguzo ya Chumvi lakini kitu kimoja ni kuwa I DON'T LIKE THE DUDE.
 
Maoni yangu.

1. Kama chama cha chadema wanaona Zito kawakosea na yuko kinyume nao, solution ni kumfukuza-Ukimfukuza unaleta sense ya chama kama watu na sio chama kama individual!

2. Chadema kutomchukulia hatua zito, kunaonyesha kuna udhaifu wa chadema kama chama, humo ndani inaonyesha kuna makundi makundi na pengine wanaona wakimfukuza Zitto basi kuna kuvunja chama! kesho atatokea Zito mwingine na kumchukulia hatua itakuwa haiwezekani kwani kuna wengine hawachukuliwi hatua!

Wamchukulie hatua nani, CHADEMA ni chama makini sana, Zitto amejipa adhabu mwenyewe na sasa anatapatapa, hakuna haja ya kukaa kikao kumjadili mtu kama huyu ni waste.... ni sawa na kumfumania mkeo anazini then unamwangalia na kum-ignore hapo ni adhabu tosha sana, katoka ujerumani alitegemea kuitwa kwenye timu ya maadili ya chama ili kufafanua tuhuma lakini wapi kila mmoja na kazi yake, yeye anajikuta naibu katibu mkuu hana kazi - sijui akifika ofisini pale kinondoni anafanya nini kila siku.

Cha msingi Wamwache tu atajua either kusuma au kunyoa, kashayavulia.
, CHADEMA wana kazi nyingi za kuimarisha chama chao hasa mikoani kabila ya uchaguzi Mkuu kwa hiyo hawana muda kumjadili just a single person tena Zitto -excuse me.

Maoni yangu - CHADEMA wana vision na nafikiri utabiri wa nyerere utatimia tu - Wote vipandilizi watatoka mmoja baada ya mwenzie...
 
Halafu pia maswali yafuatayo:

1. Je Zitto anataka kumpigia kampeni huyo Kafulila kwa kuwa tu ni rafiki yake?

2. Utaratibu wa kuomba nafasi ya kugombea ukoje NCCR? kwani Kafulila ni mgombea tayari? Si kuna mchakato au?

3. Zitto kabwe kafanya research gani kuonyesha kuwa Kafulila anakubalika kwenye jimbo? au kwa kuwa tu yeye anamtaka?

4.Kwa akili ile ya Kafulila na maneno yale aliyosema siku anaondoka Chadema je ni kweli Kafulila ni kiongozi wa maana? wa kupiganiwa kuwa mbunge?

5. Kwa nini kama Zitto ana mapenzi na Chadema asiwaombe NCCR wawaachie jimbo Chadema badala ya yeye kusema eti anamuunga mkono mgombea wa NCCR!! wa Chadema je? au kwa kuwa ni rafiki? je NCCR na Chadema Zitto anapenda chama gani?

6. Ina maana Zitto anaweka mbele urafiki kuliko chama? je ana tofauti gani na Kikwete?

7. Kwa nini Zitto asikubali tu kuwa Kafulila sasa yuko NCCR na kwamba urafiki wao unaendelea lakini wanaamini itikadi tofauti?

8. Kafulila amekwenda NCCR kwa ajili ya kupewa nafasi ya kugombea ubunge? Je akishindwa kwenye uchaguzi ndani ya NCCR hatima yake itakuaje? manake mind you sio lazima agombee yeye! na je akishindwa kwenye uchaguzi mkuu atafanya nini? atabaki NCCR?

9. Je Zitto haoni kwamaba natumia issue ya Kafulila kutaka tu kupimana ubavu na viongozi ndani ya Chadema?

10. kwa hiyo kampeni zikianza huko kigoma Zitto atakuwa jukwaa gani NCCR au Chadema?

11. Je Zitto anatambua kuwa suala zima hapa si la Kafulila na Zitto bali ni Chadema na NCCR? Yani it is not about individuals it is about the party , the team teamwork?

12.Chadema for now will be better without Zitto than with him.BUT please msimfukuze..msifanye kosa walilofanya wabunge wa CCM la kumfukuza Zitto bungeni na hatimaye kumpa public symphathy ya bure kabisa ambayo ndio inamlinda hadi leo japo imeshuka sana kwa sasa.

I support you on this ..Comrade.
 
Zitto kasema azma yake toka mwanzo ilikuwa ni kufundisha ..
ila anajisikia uchungu sana pale anapowafikilia walioingia kwenye siasa kupitia yeye

Bado sijaelewa hiyo kauli
 
Acha maneno mengi bwana Zitto, kama unataka achia ngazi we achia ngazi tu, hakuna anayekuzuia. kila mwanasiasa (ukiwepo wewe Zitto) hapa nchini tanzania anaingia kwa maslahi yake binafsi, kama usharidhika achia ngazi waachie wengine nafasi ili nao wale. ukiondoka hamna atakayekumiss. Aliondoka yule anayeitwa Baba wa Taifa na maisha yanasonga mbele, iweje mbunge mmoja atupigie kelele kila siku. kama una barua, ipeleke hata kwa njia ya Posta kama unaona aibu.
 
Jamani, always you can change your course on the way. Hata hivyo politicians wengi hawajaanza na politics right after school. Zitto did and that is what is now telling that it was too early for him to come into politics. he also needed to know workplace politics, etc. I don't agree kuwa yeye ni mamluki, la hasha... he is right.
 
..........-Prof.Ibrahim H. Lipumba kabla ya kujiunga C.U.F alikuwa ni mhadhiri na(kama sikosei) mshauri wa Rais wa masuala ya uchumi......

Nchi gani si useme tuuuuu ???? kama sijakose UGANDA kwa Museven,

JK nae alikuwa Mwanajeshi au??

Zitto malizia muda wako wa miaka 5 katika bunge,rekebisheni matatizo yenu ndani ya Chadema kwa wakati huu na msameheane kwa mambo yote na mjipange sasa kwaajili ya uchaguzi mkuu wa october 2010.

Huu si wakati mzuri wa kuongea ongea na vyombo vya habari kwa mambo ambayo si ya kujenga chama bali ni ya kubomoa.

Tunataka ushindani mzuri katika uchaguzi ujao ili hatimaye tupate wabunge wengi kutoka upinzani watakaoamsha hoja katika bunge lijalo badala ya bunge kuwe rubber stamp ya maamuzi ya serikali hata mabovu.
 
maswali mazuri,

1. Umeonyesha NCCR na Chadema hawawezi kuweka mgombea mmoja jimbo moja? si wote wapinzani?

2. Umeonyesha kuwa hata NCCR kumkaribisha Kafulila kwa lengo la kugombea ubunge nao hawajafanya assignment yao vizuri

3. Nilishasema kuondoka kwa watu kama akina Kafulila na Kupiga domo ubaya waliofanyiwa ndani ya Chadema ni ujinga na utoto!

4. with that crazy passion still Nccr wanamchukua kama mtu wao

5. Zitto naye kusema(sijathibitisha) kuwa anampigia kampeni chadema-kawa individual zaidi yuko kivyake!this is serious case

6.Umeonyesha pamoja na kupiga kelele kote huko kwa zito bado chama chake hakijamchukulia hatua mpaka leo hii!!!-Kwa nini JK hawachukulii hatua watu wa chini? si kwa sababu naye ni fisadi? this is serious kwa naibu katibu mkuu wa chama ku-act kama Zitto! inanyesha chama chote kimeoza na atakayemgusa Zitto lazima ajiulize mara mbili!!!

7. Mwisho nasikitika kama siyo kukupa pole kuwa uko biased na sio mkweli kusema Zitto alipewa sympathy na wananchi alipofukuzwa bungeni-Please kua kidogo na uwe mkweli, hata kama zama zile ulikuwa unampenda kiri kwa lile alilolifanya acha sanaa na chuki hapa

8. Nashangaa unatoa solution ya ajabu kabisa pamoja na maswali yako mazuri kuwa Zitto abaki chamani, at the sama time unalaumu anaweka urafiki kuliko chama, hii solution ni nzuri? na inakisaidiaje chama?

Maoni yangu.

1. Kama chama cha chadema wanaona Zito kawakosea na yuko kinyume nao, solution ni kumfukuza-Ukimfukuza unaleta sense ya chama kama watu na sio chama kama individual!

2. Chadema kutomchukulia hatua zito, kunaonyesha kuna udhaifu wa chadema kama chama, humo ndani inaonyesha kuna makundi makundi na pengine wanaona wakimfukuza Zitto basi kuna kuvunja chama! kesho atatokea Zito mwingine na kumchukulia hatua itakuwa haiwezekani kwani kuna wengine hawachukuliwi hatua!

3. Inaonyesha pengine haya yote unayoyasema na kujadili humu, uongozi unaona kama mnamzushia Zitto kwa hiyo Zitto ni safi kabisa, japo Lukule unatoka povu humu

4. Kumpa uongozi mkubwa kama huo Zitto na kuonyesha utovu wa nidhamu(kama unavyomuona wewe!) kunaonyesha chama kizima hakina nidhamu, intelligence, wala hakiwachunguzi watu kabla ya kuwapa uongozi, hatari yake ni kuwa kesho kama kuna pandikizi la CCM litaingia na kukiharibu chama na kutokomea, hii ni hatari na si kitu cha kuchezewa mkuu!

5. Naona kuna haja ya vyama vya upinzani kuwa na special contract na viongozi wake kama akina kafulila, na katika contract ieleze kabisa ni mwiko kusema ubaya wa chama kupitia media, kama wasiporidhika na utendaji wondoke kimyakimya-upo hapo?

nimetoa point sita,
wewe unasemaje ishu ya kafulila kutoka chadema na kwenda nccr kisa anataka ubunge unafikiri anataka nini?-ulaji au sio

kwa nini leo mimi nisihitimishe kuwa vyama vyote hivi vya upinzani wanatafuta kula??

1. Kwa nini mtu anang'ang'ania kuwa lazima we mwenyekiti wa chama? refer Mrema, Mbowe n.k

2. Kwa nini hamna demokrasia ndani ya hivi vyama?( refer uchaguzi wa chadema)

3. Kwa nini NCCR kama wanamoyo na nia moja na Chadema kwa nini walimkaribisha Kafulila? wao ni safi kuliko chadema? (refer kafulila kuhamia NCCR), je kitendo kile watu wa kawaida si wanaona usanii fulani na kutoa conclusion kuwa hivi vyama kuna haja ya kivumulika mpaka kwenye mifupa yao???

hold on...

Zito, chadema, mbowe wenu , slaa....nccr, mrema...cuf, name it..... I real doubt naona hakuna seriousness katika vyama na watu, kiasi cha kusema why dont we think another option! utasema na kuvitetea hivi vyama mpaka unatoka mvi nyeupe kwapani wapi!!!

kisaikolojia Zitto amekuwa kwenye weak point kiasi cha kumtupia lawama zote kumbe tatizo si yeye , chama makini, chenye watu wakali na walio serious na swala linaloitwa upinzani, Zito asingepiga kelele zake hizo, siku ya pili alitakiwa awe amekwisha jiuzulu,! mbona naona ishu zile zile za CCM chadema, am I blind???

ebu tujiangalie tena

Hapa nilipoweka nyekundu could speak volumes!
 
Mimi nilishasema huyu tangu aingie ile kamati ya madini alilishwa limbwata!!! ni mnafiki wa kufa, hafai kabisa. Chadema achaneni na huyu fisadi wenu ila mwacheni atoke peke yake. Anatapatapa huyu, anajua umaarufu wake ni kwisha kabisa.

Kama kweli ni jasiri kwa nini aandike barua za kauchana na siasa au chadema na asite kuziwasilisha?? Hajiamini huyu ndiyo maana mguu nje ndani tu. Wewe toka Chadema na Chadema itaendelea kupeta kama kawaida. Wewe siyo Mungu wa Chama.

Hata leo mini au mwingine akiamua kujishughulisha na siasa, si kwamba ni first priority, it is the second or third kabisa. Sasa kwani hilo linahitaji mjadala? Ondoka leo tena naona umechelewa sana.

Hivi unakumbuka na kufikiri maovu yote na siri za chama cha chadema ulizomwaga nje?? Ni nani katika Chadema anakupenda kwa sasa? Labda wale wanaokupenda ni wale wanafiki na wasaliti kama wewe. Wewe mpayukaji, mdomo hauna speed governor. Hata kama vyama vingine watakuchukua, particularly SSM bado watakuona wewe ni loose fulani na huna nidhamu ya mdomo. Ulianza vizuri siasa, usipokuwa makini utamaliza siasa vibaya. Pole young boy/politician.
 
Code:
Haya jamani wana Jf, jana na leo katika shirika la habari TBC1 kipindi cha jambo Tanzania Zito amekiri kuwa siasa halikuwa chaguo lake la kwanza, kwa maana hii mi natasfiri kwamba ni mamluki wa siasa, na anasema kuwa siasa hailipi anatamani kutoka lakini anashindwa.

Na amekiri kuwa ni kweli ameandika barua ya kujiuzulu ila tatizo ni kuwasilisha barua. Mambo mengi ameongea, ambayo amenishangaza lakini tutamchambua siku nyingine.

Kwa maana hii basi, wanasiasa wengi ni mamluki na ndo maana tunashindwa kufanya siasa.
Code:

Tunapoteza muda kujadili SISIMIZI!
 
Dah,kazi kwelikweli,yaani unamuwekea Zitto maneno mdomoni mkuu..lol

Kimsingi Siasa ni chaguo la pili la wanasiasa walio wengi,ndio maana wengi ama huanzia kwenye taaluma fulani na baadae huishia kwenye siasa,kwa mfano;

-Dk W.P. Slaa kabla ya kujiunga CHADEMA alikuwa ni padri wa kanisa Katoliki na Katibu mkuu wa T.E.C

-Prof.Ibrahim H. Lipumba kabla ya kujiunga C.U.F alikuwa ni mhadhiri na(kama sikosei) mshauri wa Rais wa masuala ya uchumi

-Freeman A. Mbowe yeye alikuwa mfanya biashara(na bado ni mfanya biashara mahiri tu)

Mifano ni mingi tu(hata viongozi wengi wa serikali iliyopo madarakani wengi wao ama walikuwa ni watumishi watendaji serikalini ama wafanya biashara)

So si vizuri na si sahihi kumuita Zitto ni mamluki wa kisiasa kwa vile tu amesema Siasa lilikuwa ni chaguo lake la pili

Si vibaya kutoka professional nyingine na kuingia katika siasa kama unawito na unapenda siasa. Hi haina tofauti sana na mtu kuhama kazi toka kampuni moja kwenda nyingine. Lakini kitendo cha Zitto kusema siasa sio chaguo lake la kwaza si kauli nzuri kama kweli aliitamka. Kauli hii inaonyesha anaibeza kazi iliyompa umaarufu pengine kwasababu sasa inamshusha umarufu huo.Kutokana na mwandishi hapo juu, kama kweli Zitto anataka kuacha siasa wala asisite kujiuzuru, wapo watu wengi sana wanaotaka nafasi hiyo atakua ametoa nafasi mhimu kwa watanzania wengine kushirika katika siasa. Namshauri hiyo barua aliyoandika aiwakilishe mapema tu na hakuna atakae mlazimisha kugombea tena.
 
ndio Geoff huu ni mtazamo wangu, lakini kwa mtu kama zito siasa ya miaka 4 leo kusema anatamani kutoka, dont you see the issue here? alikuja kujaribu? au he fears to loose election?

Zitto ni mnafiki tu kama walivyo wanasiasa wengine ambao walionekana wana nia ya kweli lakini njaa ilipowapiga wakasahau kundi linalokandamizwa walilokuwa wakilitetea na kukumbuka matumbo yao na kurudi CCM. Amenunuliwa na CCM huyo.
 
Si vibaya kutoka professional nyingine na kuingia katika siasa kama unawito na unapenda siasa. Hi haina tofauti sana na mtu kuhama kazi toka kampuni moja kwenda nyingine. Lakini kitendo cha Zitto kusema siasa sio chaguo lake la kwaza si kauli nzuri kama kweli aliitamka. Kauli hii inaonyesha anaibeza kazi iliyompa umaarufu pengine kwasababu sasa inamshusha umarufu huo.Kutokana na mwandishi hapo juu, kama kweli Zitto anataka kuacha siasa wala asisite kujiuzuru, wapo watu wengi sana wanaotaka nafasi hiyo atakua ametoa nafasi mhimu kwa watanzania wengine kushirika katika siasa. Namshauri hiyo barua aliyoandika aiwakilishe mapema tu na hakuna atakae mlazimisha kugombea tena.

Jamaa ana matatizo mengi, kwanza alisema aliingia chadema akiwa ana umri wa miaka 16, sasa iweje kwenye umri huo alikuwa kashatambua kwamba siasa si chaguo lake la kwanza?

Huyu jamaa mtata, nafikiri CHADEMA wamwangalie sana, hata kuchukua form kugombea uwenyekiti alikuwa na agenda yake moyoni. watu kama hawa ni hatari sana.

Tunamdharau kwa sababu kama angekuwa muugwana asingekwenda hadharani tena kusema upuuzi mbele ya vyombo vya habari tena kupingana na katibu wake mkuu, inaonyesha njisi asivyokomaa ki maadili.

Hata ningekuwa mimi, kufanya kazi na mtu kama huyu ni tatizo better he goes back to where he belong.... Acha watu wawatumikie wananchi yeye aende kwa ile unayoamini ilikuwa choice yako ya kwanza.
 
Back
Top Bottom