Zitto akiwa mwenyekiti; naahidi kuipa CHADEMA kura zangu zote!

WanaJF!

Binafsi nina amini katika 'uongozi' na sio hali ya taasisi, hii ni kwa kumaanisha kuwa endapo akipatikana kiongozi bora, basi hata taasisi iwe hoi namna gani itanyooka tu na kuwa yenye tija na yenye manufaa makubwa kwa umma.

Nina yasema haya kwa kutambua kuwa hivi karibuni una tarajiwa kufanyika uchaguzi wa ndani ya CHADEMA ambao umekuwa ukifanyika kwa kila baada ya miaka mitano, hivyo mimi kama mwananchi mpenda amani, haki na usawa, nimeona nitoe yaliyo moyoni kuhusu uchaguzi huo.

Zitto ni kijana ambae amehusika kwa kiasi kikubwa katika haya mabadiliko tunayo yaona hivi sasa kwa CHADEMA na taifa kwa ujumla wake, ni kijana ambae amejitoa kuhakikisha haki ina tolewa, usawa una kuwepo na sheria zinafuatwa, na hayo amekuwa akihakikisha yanafanywa na kuonekana kufanyika.

Zitto ndiye amekuwa tanuru la vuguvugu lenye kutoa hamasa na ujasili kwa vijana kuamka na kuhoji juu ya mambo mbalimbali yanayogusa mstakabali wa taifa letu, kwani itakumbukwa vijana wengi walijiunga na CHADEMA kwa kuvutiwa na ushawishi wa Zitto, uwezo wa kujenga hoja na uzalendo wake.

Aidha, itakumbukwa kuwa Zitto ndiye aliye ifyeka njia na kuwaandalia mazingira ya kuaminiwa na wananchi hawa wabunge wapya wa CHADEMA, kwani ni Zitto ndiye aliyekuwa akiibua mambo mbalimbali ya kifisadi serikalini, hii ilijenga imani kuwa ya wananchi kwa kijana huyu na kupelekea CHADEMA kujulikana nchini.

CHADEMA (nikiwa na maana ya wanachama) kama itajivika ujasiri na kukataa hali ya kuendeshwa na kikundi cha watu wachache na ikathubutu kumpa ridhaa ndugu Zitto nafasi ya uenyekiti wa chama hicho, binafsi nitatoa kura zangu kuanzia ya urais, ubunge mpaka udiwani kwa CHADEMA bila kujali ni nani aliye simamishwa kugombea nafasi hizo (soma aya ya kwanza).

ANGALIZO: USHABIKI WA ITIKADI ZA KISIASA NI KIKWAZO KWA MAENDELEO YA NCHI.

ni haki yako kutoa maoni ila nina swali
1. Unasema CHADEMA inaendeshwa na kikundi je unamaanisha ni kikundi gani hicho na ni kina nani?
Otherwise, una wazo zuri ila kuchaguliwa uenyekiti ni maamuzi ya wanachama kupitia kamati kuu.
Nipe jibu la swali langu
Sent From My BlackBerry 9860 using Jamiiforums
 
Last edited by a moderator:
No research no right to speak,ninyi niwapika majungu,wewe unawezaje jua ya Zitto pasipo yeye kusema,tna matamshi yake hapa akikishutumu chadema,hakuna asiejua mpo mrengo gani unaowasukumu,kame wewe wasema basi we ni mnafki au mkewe na Zitto utuambie alikupea chumbani hizi issue..
Orodha ni ndefu ila hapa ni wale walioficha zaidi ya USD $3.5 mmilion kila moja. Wamo wanasiasa pamoja na wafanyabiashara kadhaa maarufu. Imebainikwa kwamba fedha nyingi za wanasiasa zimewekwa na makampuni ya nje yenye shughuli Tanzania. Wamo hata Makatibu Wakuu Wizarani na wakurugenzi ila hawajafikia USD3.5million ndio maana majina yao hayamo.
Orodha kamili ni:
Jakaya M. Kikwete, January Makamba, Abdalla Kighoda, Nimrod Mkono, Nazir Karamagi, Andrew Chenge, Yusuf Makamba, Edward Lowassa, Rostam Aziz, Yusuf Manji, Ridhiwani Kikwete, Mohamed Dewji, Bernard Membe, Paul Chagonja , Zitto Kabwe, William B. Mkapa, Said Mwema, Abdulrahman Shimbo, Edward Hosea, Daudi T.S Balali, Basil Mramba,Mustapha Mkullo, Grey Mgonja, Patrick Rutabanzibwa,Tanil Somaiya, Jeetu Patel, Onoko Okesukwu mwenye asili ya Kinigeria, Awadh Mohamed (mwenye uraia wa msomalia) na Subhash Patel"
 
Swali la kujiuliza ni kwanini ccm wanapigania zitto awe mwenyekiti chadema?
Jibu hili: Zitto amewezeshwa. Hivyo atawalinda. Soma hapa:

Orodha walioficha zaidi ya USD $3.5 mmilion kila moja. Wamo wanasiasa pamoja na wafanyabiashara kadhaa maarufu. Imebainikwa kwamba fedha nyingi za wanasiasa zimewekwa na makampuni ya nje yenye shughuli Tanzania. Wamo hata Makatibu Wakuu Wizarani na wakurugenzi ila hawajafikia USD3.5million ndio maana majina yao hayamo.

Orodha kamili ni:
Jakaya M. Kikwete, January Makamba, Abdalla Kighoda, Nimrod Mkono, Nazir Karamagi, Andrew Chenge, Yusuf Makamba, Edward Lowassa, Rostam Aziz, Yusuf Manji, Ridhiwani Kikwete, Mohamed Dewji, Bernard Membe, Paul Chagonja , Zitto Kabwe, William B. Mkapa, Said Mwema, Abdulrahman Shimbo, Edward Hosea, Daudi T.S Balali, Basil Mramba,Mustapha Mkullo, Grey Mgonja, Patrick Rutabanzibwa,Tanil Somaiya, Jeetu Patel, Onoko Okesukwu mwenye asili ya Kinigeria, Awadh Mohamed (mwenye uraia wa msomalia) na Subhash Patel"
 
Swali la kujiuliza; Ni kwanini Mbowe, Mtei, Ndesamburo, Dr Slaa, Lema, Mnyika Nassary et al hawataki Zitto awe mwenyekiti CHADEMA?
Orodha ni ndefu ila hapa ni wale walioficha zaidi ya USD $3.5 mmilion kila moja. Wamo wanasiasa pamoja na wafanyabiashara kadhaa maarufu. Imebainikwa kwamba fedha nyingi za wanasiasa zimewekwa na makampuni ya nje yenye shughuli Tanzania. Wamo hata Makatibu Wakuu Wizarani na wakurugenzi ila hawajafikia USD3.5million ndio maana majina yao hayamo.
Orodha kamili ni:
Jakaya M. Kikwete, January Makamba, Abdalla Kighoda, Nimrod Mkono, Nazir Karamagi, Andrew Chenge, Yusuf Makamba, Edward Lowassa, Rostam Aziz, Yusuf Manji, Ridhiwani Kikwete, Mohamed Dewji, Bernard Membe, Paul Chagonja , Zitto Kabwe, William B. Mkapa, Said Mwema, Abdulrahman Shimbo, Edward Hosea, Daudi T.S Balali, Basil Mramba,Mustapha Mkullo, Grey Mgonja, Patrick Rutabanzibwa,Tanil Somaiya, Jeetu Patel, Onoko Okesukwu mwenye asili ya Kinigeria, Awadh Mohamed (mwenye uraia wa msomalia) na Subhash Patel"
 
Mkuu, nina ushawishi kwenye jamii, hivyo sio tu mimi ambae nitapigania CHADEMA ishinde (endapo Zitto akiwa mwenyekiti), bali hata vijana na wazee watajumuika na mimi kuhakikisha hilo linafanikiwa.
wewe Juliana Shonza ni nani aliyekuroga?,uliondoka kwa mbwembwe CHADEMA leo unasema utaipa kura sasa tukueleweje wewe? au ndiyo kusema wewe ni......................wa kisiasa?
 
WanaJF!

Binafsi nina amini katika 'uongozi' na sio hali ya taasisi, hii ni kwa kumaanisha kuwa endapo akipatikana kiongozi bora, basi hata taasisi iwe hoi namna gani itanyooka tu na kuwa yenye tija na yenye manufaa makubwa kwa umma.

Nina yasema haya kwa kutambua kuwa hivi karibuni una tarajiwa kufanyika uchaguzi wa ndani ya CHADEMA ambao umekuwa ukifanyika kwa kila baada ya miaka mitano, hivyo mimi kama mwananchi mpenda amani, haki na usawa, nimeona nitoe yaliyo moyoni kuhusu uchaguzi huo.

Zitto ni kijana ambae amehusika kwa kiasi kikubwa katika haya mabadiliko tunayo yaona hivi sasa kwa CHADEMA na taifa kwa ujumla wake, ni kijana ambae amejitoa kuhakikisha haki ina tolewa, usawa una kuwepo na sheria zinafuatwa, na hayo amekuwa akihakikisha yanafanywa na kuonekana kufanyika.

Zitto ndiye amekuwa tanuru la vuguvugu lenye kutoa hamasa na ujasili kwa vijana kuamka na kuhoji juu ya mambo mbalimbali yanayogusa mstakabali wa taifa letu, kwani itakumbukwa vijana wengi walijiunga na CHADEMA kwa kuvutiwa na ushawishi wa Zitto, uwezo wa kujenga hoja na uzalendo wake.

Aidha, itakumbukwa kuwa Zitto ndiye aliye ifyeka njia na kuwaandalia mazingira ya kuaminiwa na wananchi hawa wabunge wapya wa CHADEMA, kwani ni Zitto ndiye aliyekuwa akiibua mambo mbalimbali ya kifisadi serikalini, hii ilijenga imani kuwa ya wananchi kwa kijana huyu na kupelekea CHADEMA kujulikana nchini.

CHADEMA (nikiwa na maana ya wanachama) kama itajivika ujasiri na kukataa hali ya kuendeshwa na kikundi cha watu wachache na ikathubutu kumpa ridhaa ndugu Zitto nafasi ya uenyekiti wa chama hicho, binafsi nitatoa kura zangu kuanzia ya urais, ubunge mpaka udiwani kwa CHADEMA bila kujali ni nani aliye simamishwa kugombea nafasi hizo (soma aya ya kwanza).

ANGALIZO: USHABIKI WA ITIKADI ZA KISIASA NI KIKWAZO KWA MAENDELEO YA NCHI.
karibu kwenye hii post [h=3]Meneja wa Bandari Kavu (ICD) atiwa mbaroni[/h]sijauona mchango wako kule
 
Kwa hiyo kwa wewe Chadema ni zitto tu basi! Any way hata mimi nitaipa ccm kura zote tatu kama lowassa atafukuzwa ccm mchana kweupe!
 
Nimeshindwa kuelwa logic yako kabisa !....Kwanza swali limeulizwa kwa nini CCM wanataka Zitto awe mwenyekiti wa Chadema !? Swali ambalo lina logic kubwa kwani katika hali ya kawaida kama mimi ningekuwa m_chadema ingekuwa ni kigezo kikubwa cha kumtilia mashaka Zitto. Wewe badala ya kujibu swali hilo unauliza swali lingine na tena hilo swali lingine halimake sense yeyote kwa sababu wote uliowataja hapo i.e Mbowe, Slaa, Mnyika and others ni wanachama wa Chadema na kila mmoja wao ana haki yake ya kutaka nani awe mwenyekiti wake...Sasa kosa lao nini kumkataa Zitto kuwe mwenyekiti wao...!?

Swali la kujiuliza; Ni kwanini Mbowe, Mtei, Ndesamburo, Dr Slaa, Lema, Mnyika Nassary et al hawataki Zitto awe mwenyekiti CHADEMA?
 
WanaJF!

Binafsi nina amini katika 'uongozi' na sio hali ya taasisi, hii ni kwa kumaanisha kuwa endapo akipatikana kiongozi bora, basi hata taasisi iwe hoi namna gani itanyooka tu na kuwa yenye tija na yenye manufaa makubwa kwa umma.

Nina yasema haya kwa kutambua kuwa hivi karibuni una tarajiwa kufanyika uchaguzi wa ndani ya CHADEMA ambao umekuwa ukifanyika kwa kila baada ya miaka mitano, hivyo mimi kama mwananchi mpenda amani, haki na usawa, nimeona nitoe yaliyo moyoni kuhusu uchaguzi huo.

Zitto ni kijana ambae amehusika kwa kiasi kikubwa katika haya mabadiliko tunayo yaona hivi sasa kwa CHADEMA na taifa kwa ujumla wake, ni kijana ambae amejitoa kuhakikisha haki ina tolewa, usawa una kuwepo na sheria zinafuatwa, na hayo amekuwa akihakikisha yanafanywa na kuonekana kufanyika.

Zitto ndiye amekuwa tanuru la vuguvugu lenye kutoa hamasa na ujasili kwa vijana kuamka na kuhoji juu ya mambo mbalimbali yanayogusa mstakabali wa taifa letu, kwani itakumbukwa vijana wengi walijiunga na CHADEMA kwa kuvutiwa na ushawishi wa Zitto, uwezo wa kujenga hoja na uzalendo wake.

Aidha, itakumbukwa kuwa Zitto ndiye aliye ifyeka njia na kuwaandalia mazingira ya kuaminiwa na wananchi hawa wabunge wapya wa CHADEMA, kwani ni Zitto ndiye aliyekuwa akiibua mambo mbalimbali ya kifisadi serikalini, hii ilijenga imani kuwa ya wananchi kwa kijana huyu na kupelekea CHADEMA kujulikana nchini.

CHADEMA (nikiwa na maana ya wanachama) kama itajivika ujasiri na kukataa hali ya kuendeshwa na kikundi cha watu wachache na ikathubutu kumpa ridhaa ndugu Zitto nafasi ya uenyekiti wa chama hicho, binafsi nitatoa kura zangu kuanzia ya urais, ubunge mpaka udiwani kwa CHADEMA bila kujali ni nani aliye simamishwa kugombea nafasi hizo (soma aya ya kwanza).

ANGALIZO: USHABIKI WA ITIKADI ZA KISIASA NI KIKWAZO KWA MAENDELEO YA NCHI.

peleka pumba zako kawape nguruwe.slaa ndiye aliyeipaisha chadema hata bila zito kuhudhuria kampeni zake.we ni mnafiki ka zito.
 
Unayo kura moja tu. Zitto ni mnafiki. Mawazo yake ni kama ya Lipumba na Ponda. Watu kama wewe wana mfanya ajisikie ana wafuasi wengi kumbe hakuna lolote. Alishanunuliwa na Range lover akiwa mbunge, sasa akipewa madaraka makubwa itakuwaje?
 
Nimeshindwa kuelwa logic yako kabisa !....Kwanza swali limeulizwa kwa nini CCM wanataka Zitto awe mwenyekiti wa Chadema !? Swali ambalo lina logic kubwa kwani katika hali ya kawaida kama mimi ningekuwa m_chadema ingekuwa ni kigezo kikubwa cha kumtilia mashaka Zitto. Wewe badala ya kujibu swali hilo unauliza swali lingine na tena hilo swali lingine halimake sense yeyote kwa sababu wote uliowataja hapo i.e Mbowe, Slaa, Mnyika and others ni wanachama wa Chadema na kila mmoja wao ana haki yake ya kutaka nani awe mwenyekiti wake...Sasa kosa lao nini kumkataa Zitto kuwe mwenyekiti wao...!?
Zitto hawezi kuwa mwenyekiti kwa sababu ni mnafiki (political prostitute). Alidhani anao mchango mkubwa kwa chama. Akajaribu kuwasaliti wenzake yakashindikana. Sasa akajifanya kuwasusa akidhani italeta effect yoyote...sasa nao wanamsusa. Yaani ajiue taratibu. Bado ni mtoto. Alidhani yeye tu ndo anaweza kuwa Katibu wa chama na wengine hawastahili. Kama Zitto angekuwa kiongozi wa Chadema, basi CCM wangeishakisambalatisha. Wameshindwa kufanya hivyo kwa sababu kuna watu makini.
Zitto akihama chama ndo siasa zake zitakuwa ukingoni. Msikilizeni akiwa anahutubia sehemu yoyote. Matamshi yake hayaendani na chama cha Chadema. Kwanza huwa anaanza kwa kuwapinga. Msikilizeni sana.
 
Mkuu nakubaliana na wewe kabisa......

Nimeshindwa kuelwa logic
yako kabisa !....Kwanza swali limeulizwa kwa nini CCM wanataka Zitto awe
mwenyekiti wa Chadema !? Swali ambalo lina logic kubwa kwani katika
hali ya kawaida kama mimi ningekuwa m_chadema ingekuwa ni kigezo
kikubwa cha kumtilia mashaka Zitto. Wewe badala ya kujibu swali hilo
unauliza swali lingine na tena hilo swali lingine halimake sense yeyote
kwa sababu wote uliowataja hapo i.e Mbowe, Slaa, Mnyika and others ni
wanachama wa Chadema na kila mmoja wao ana haki yake ya kutaka nani awe
mwenyekiti wake...Sasa kosa lao nini kumkataa Zitto kuwe mwenyekiti
wao...!?

Yaani CDM tukijichanganya tukampa uenyekiti Zito bas CDM itakufa rasmi kabla ya uchaguzi mkuu ujao, Zito ni chadema jina tu ila ccm walishamnunua kwa gharama kb na ndo anatakiwa atumike kuisambaratisha chadema! Tukifikiri mara 2 kabla hatujaamua hili.
 
Zitto hawezi kuwa
mwenyekiti kwa sababu ni mnafiki (political prostitute). Alidhani anao
mchango mkubwa kwa chama. Akajaribu kuwasaliti wenzake yakashindikana.
Sasa akajifanya kuwasusa akidhani italeta effect yoyote...sasa nao
wanamsusa. Yaani ajiue taratibu. Bado ni mtoto. Alidhani yeye tu ndo
anaweza kuwa Katibu wa chama na wengine hawastahili. Kama Zitto angekuwa
kiongozi wa Chadema, basi CCM wangeishakisambalatisha. Wameshindwa
kufanya hivyo kwa sababu kuna watu makini.
Zitto akihama chama ndo siasa zake zitakuwa ukingoni. Msikilizeni akiwa
anahutubia sehemu yoyote. Matamshi yake hayaendani na chama cha Chadema.
Kwanza huwa anaanza kwa kuwapinga. Msikilizeni sana.

Asante kwa umakini wako! Zitto hafai keshawekwa mfukoni, waliomdanganya bila yy chadema haiendi mbele ndo waliompoteza.
 
Mwigulu acha kuzingua unaura ngapi ? Nyinyi ccm ZZk si pandikizi lenu.Tunajua mnatafuta uchochoro.Thubutu
 
Huyo tunamjua mkuu na wanaomtumia ndiyo watakaomtoa roho kwa sababu ya siasa
Aisee, siku moja fungukeni kwa kuwataja hawa watu wanaofikiria matumbo yao tu na kusahau vizazi vijavyo vya Tanzania, naamini hivi, kuendelea kuiacha ccm madarakani, kizazi cha tatu toka hiki chetu kitakuta nchi imefirisika already.
 
Sijasema naamia CHADEMA,
nimeahidi kuipigia kura CHADEMA endapo Zitto akiwa mwenyekiti. Naomba
ieleweke hivyo.

Hiyo kura yako hatuitaki! kura za wanafiki kawape waganga njaa wenzio ccm.
 
WanaJF!
endapo akipatikana kiongozi bora, basi hata taasisi iwe hoi namna gani itanyooka tu na kuwa yenye tija na yenye manufaa makubwa kwa umma.
Hamy-D,
Kwa hiyo unatuthibitishia kuwa CCM hakina kiongozi bora? Maana upo ushahidi wa kutosha juu ya kuyumba kwa chama hiki na kukosa tija hivyo kupoteza heshima na mvuto kadri siku zinavyopita!
 
Back
Top Bottom