Zitto akiwa mwenyekiti; naahidi kuipa CHADEMA kura zangu zote!

Ta.ko litabaki kuwa t.ako tu. kweli unatumika dada..
 
Kwa sababu zito ni muislamu na ni mkigoma hawezi kuongoza chama cha wachaga na wakristo ilo tu mzee
Hivi ilikuwaje mpaka Zitto akawekewa kizuizi ili asigombee uenyekiti, nikumbushe ni kikao gani kilifanyika kumkataa Zitto asiwe mwenyekiti wa CHADEMA!
 
Nyerere alishawahi kusema: Mtu mwerevu akikushauri jambo la kipumbavu huku yeye akijua ni la kipumbavu halafu wewe ukalikubali atakudharau!
 
Mkuu, nina ushawishi kwenye jamii, hivyo sio tu mimi ambae nitapigania CHADEMA ishinde (endapo Zitto akiwa mwenyekiti), bali hata vijana na wazee watajumuika na mimi kuhakikisha hilo linafanikiwa.

Sasa si umwombe Zitto awe mwenyekiti wa familia yako?
 
Ubakie huko huko Magambani,Huku hatukutaki!

na kweli hatumuhitaji kwani yeye haangalii sera anaangalia mtu sasa sijui mumewe huyo anayempigia upatu hatuwezi jua bwana yasije kuwa yale ya mama mugabe.....DORAHA
 
Chadema,hatudanganyiki! Ukombozi wa nchi hii utapatikana kwa nguvu ya umma,maana tumegundua adui wa nchi hii ni system nzima ya utawala wa ccm! So tunapambana na hawa mashetani (ccm) magamba chadema inawanyima usingizi maana mmetusingizia kesi za kila aina na ugaidi ! Lkn bado tupo imara na mtaongea yote yataisha.! Mmebakia kama mfa maji.....maskini siku za utawala wenu zimeisha hamjastuka tu!.?
 
Leo "mateja" hawana maana kwenu?, mbona mnyika alikuwa akiwasomba kwenye malori ili wakampigie kura awe mbunge wa jimbo la Ubungo?

Astakafirulah! Unampa kura zote?! na za wapi nyingine? au unampa na nini kingine?
 
Swali la kujiuliza; Ni kwanini Mbowe, Mtei, Ndesamburo, Dr Slaa, Lema, Mnyika Nassary et al hawataki Zitto awe mwenyekiti CHADEMA?

Swali la kujiuliza ni kwa nini miaka ya 2005-2008 tulikuwa tunataja Mbowe,ZItto, Slaa, Mtei; sasa tunataja Mbowe, Mtei, Ndesamburo, Dr Slaa, Lema, Mnyika,Msigwa, Lissu, Sugu, Wenje, Mdee, Nassary et al na Zitto kajitoa kwenye hii list?. Siasa za akina Lyatonga siyo nzuri kweli!.
 
jipange kwanza...............then andikisha jina lako ktkt kitabu cha wapiga kura
 
Nimesha tolea ufafanuzi hilo kwenye post yangu ya kwanza, nimesema Zitto ndio sababu ya CHADEMA kuwa hapa ilipo kwani alijitoa sana kwenye hicho chama, wewe soma post kuu utaelewa tu.

kwa hiyo zitto peke yake ndio kaifanya CDM kuwa hapo ilipo?if that is not the case,how about other fellows?
 


Nakukumbusha:Jana kwa siku nzima ulisahau kumtaja Dr Slaa,utafutiwa ajira.
 
hivi hi ID wanatumia wangapi? maana uwa simuelewi au ubongo wake unabadilika kila mara, hivi bungeni siku hizi anatumia ID ipi? maana akili zao zinafanana. si lazima agombee cdm kuna vyama vingi, kwanini usishauri aende chausta agombee huko umpe kura yako, inaonesha jinsi gani unalikubali chama la cdm.
 
 
Mwanzisha uzi huwa ana kura zaidi ya moja (Magamba tupu)
 

Zito yupi huyo unayemsema? Ni Yule wa 2007 aliyekomaa na sakata la Buzwagi au ni huyu wa cku hizi anayebwabwaja tu hasa baada ya kukubali Kuwa mjumbe wa tume iliyopitia mkataba mibovu ya madini, Huko ndo kuna agenda ya Siri dhidi ya zito wako.
 
sasa utabigaje kula wakati wewe si mwan CDM, ndo maana tunasema hatukutaki

Sijasema naamia CHADEMA, nimeahidi kuipigia kura CHADEMA endapo Zitto akiwa mwenyekiti. Naomba ieleweke hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…