Zitto alalamika kundi la Magufuli ndani ya CCM kuihujumu maridhiano na kuinyima ACT mbunge EALA

Johnny Sack

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2017
Posts
8,984
Reaction score
19,288
Kama mnavyojua kulifanyika uchaguzi wa wabunge la Africa Mashariki na ACT kuwa na mgombea wao ambaye alikuwa Addo Shaibu
Cha kushangaza ni kuwa wabunge wa CCM walimtosa Addo, ambaye ni Katibu Mkuu wa ACT na kumchagua mgombea wa CUF

Imefichuliwa kuwa huo ulikuwa ni
Mpango wa wabunge wahafidhina ndani ya CCM wa kundi la mwendazake JPM kumkomoa ACT na Zitto Kabwe kwa kuwa karibu na Samia na kundi hilo halitaki maridhiano ya Samia na Upinzani
Screenshot_20220923-191528.png

Screenshot_20220923-190208.png
 
Kama mnavyojua kulifanyika uchaguzi wa wabunge la Africa Mashariki na ACT kuwa na mgombea wao ambaye alikuwa Addo Shaibu
Cha kushangaza ni kuwa wabunge wa CCM walimtosa Addo, ambaye ni Katibu Mkuu wa ACT na kumchagua mgombea wa CUF

Imefichuliwa kuwa huo ulikuwa ni
Mpango wa wabunge wahafidhina ndani ya CCM wa kundi la mwendazake JPM kumkomoa ACT na Zitto Kabwe kwa kuwa karibu na Samia na kundi hilo halitaki maridhiano ya Samia na Upinzani
View attachment 2366002
View attachment 2366005

Pengine kizungu au kimombo kilikuwa chepesi sana!
 
Kama mnavyojua kulifanyika uchaguzi wa wabunge la Africa Mashariki na ACT kuwa na mgombea wao ambaye alikuwa Addo Shaibu
Cha kushangaza ni kuwa wabunge wa CCM walimtosa Addo, ambaye ni Katibu Mkuu wa ACT na kumchagua mgombea wa CUF

Imefichuliwa kuwa huo ulikuwa ni
Mpango wa wabunge wahafidhina ndani ya CCM wa kundi la mwendazake JPM kumkomoa ACT na Zitto Kabwe kwa kuwa karibu na Samia na kundi hilo halitaki maridhiano ya Samia na Upinzani
View attachment 2366002
View attachment 2366005
ZZK anataka kuuaminisha umma kuwa demokrasia inafungamana na kuchagulika kwa watu wake badala ya kukubali ukweli kwenye kura kuna kupata na kukosa [emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Ni discretion ya wapiga kura kumpigia Kura mtu ambae either kawa-impress au wanadhani ana sifa kuliko mtu aliemtuma.

Toka akose ubunge 2020, amekuwa akihaha twitani na ushawishi wake kwenye jamii ya Tanzania umepungua sana.

Demokrasia ni kupokea matokeo kwa msingi wa wingi wa kura na sio vinginevyo.
Bahati nzuri kura zilikuwa wazi na kijana wake kashindwa.

Huyu angeweza hata kuzusha wameibiwa kura au kuna kuna kuchachuliwa kumbe, kuna wengine wana sifa za kuchagulika.

ZZK anataka kujifanya anasahau CDM walikosa nafasi ya mgombea wao Bunge EALA baada ya Mzee Masha wa UDP kumpiga bao Antony Komu 2007.

Siasa ni kama mpira, unaweza kucheza vizuri kama Liverpool kwenye UEFA champions League final ya May 2022, ila wajanja kama vijana wa Carlo Ancelote wakazuia magoli na nafasi moja ya Vinicios Jr, ikamaliza mchezo na wana wa Bernebeu 'wakabeba ndoo'.
 
Kama mnavyojua kulifanyika uchaguzi wa wabunge la Africa Mashariki na ACT kuwa na mgombea wao ambaye alikuwa Addo Shaibu
Cha kushangaza ni kuwa wabunge wa CCM walimtosa Addo, ambaye ni Katibu Mkuu wa ACT na kumchagua mgombea wa CUF

Imefichuliwa kuwa huo ulikuwa ni
Mpango wa wabunge wahafidhina ndani ya CCM wa kundi la mwendazake JPM kumkomoa ACT na Zitto Kabwe kwa kuwa karibu na Samia na kundi hilo halitaki maridhiano ya Samia na Upinzani
View attachment 2366002
View attachment 2366005

Wapunguze kulia Lia waliwaona CHADEMA wajinga. Unataka maridhiano na CCM ili upate Nini?.
 
Zito bhaana [emoji12]
 
Ndio ajue sasa ule Mnyororo wa 2020
 
Wajuvi walimwambia Zitto Kabwela akishatumika atatupwa chooni na kuflashiwa kama toilet paper. By the way hivi nchi hii ina upinzani tena? Kina Mbowe, Lema na Lissu wako wapi?
Hahahaaa..Zitto mwenzio ana uhakika wa ajira na ulaji wa miaka kadhaa, kwenye kile kikosi cha katiba,' nyie endeleeni kupiga majungu tu... ... Akina Mbowe, Lema na Lissu, wao nao naona wameona isiwe tabu,wamewaacha watz na unafiki wenu, na kila mtu sasa na ashinde mechi zake, manake walipambana miaka yote na kuumizwa bure, sasa ngoja nao wajali maisha yao aiseee....
 
Wapunguze kulia Lia waliwaona CHADEMA wajinga. Unataka maridhiano na CCM ili upate Nini?.

Si ndio hapo sasa, huu ujinga wa maridhiano ndio Mbowe kaanza kuupeleka CDM, matokeo yake hayo maridhiano yameishia kumpa Mama Samia na CCM yake political millage kuwa wanapenda maridhiano, ila kiuhalisia bado wapinzani wamewekwa kona ileile ya makatazo ya kufanya siasa kwa uhuru.
 
Back
Top Bottom