Ndebile JF-Expert Member Joined Sep 14, 2011 Posts 7,745 Reaction score 11,267 Sep 24, 2022 #41 Kila nikiangalia siasa za Zitto namuona Mkwere kama mchonga kinyago aliyemchonga Zitto ili amuuze na wateja wakakosa!
Kila nikiangalia siasa za Zitto namuona Mkwere kama mchonga kinyago aliyemchonga Zitto ili amuuze na wateja wakakosa!
Bemendazole JF-Expert Member Joined Nov 14, 2020 Posts 2,649 Reaction score 6,680 Sep 24, 2022 #42 Kati ya vitu vilivyowahi kuniuma maishani, ni Ado Shahibu kukosa ubunge wa EALA!