Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Kuna uchonganishi anataka kuufanyaKitendo cha kukaa kimya awamu hii ni kiashiria kuwa ni msaka tonge. Awamu ya 5 aliwaka sana, ukiangalia kwa jicho la tatu utagundua huyu jamaa ana element za udini ndio maana awamu hii hata tozo haziongelei.
Kama mnavyojua kulifanyika uchaguzi wa wabunge la Africa Mashariki na ACT kuwa na mgombea wao ambaye alikuwa Addo Shaibu
Cha kushangaza ni kuwa wabunge wa CCM walimtosa Addo, ambaye ni Katibu Mkuu wa ACT na kumchagua mgombea wa CUF
Imefichuliwa kuwa huo ulikuwa ni
Mpango wa wabunge wahafidhina ndani ya CCM wa kundi la mwendazake JPM kumkomoa ACT na Zitto Kabwe kwa kuwa karibu na Samia na kundi hilo halitaki maridhiano ya Samia na Upinzani
View attachment 2366002
View attachment 2366005
ZZK anataka kuuaminisha umma kuwa demokrasia inafungamana na kuchagulika kwa watu wake badala ya kukubali ukweli kwenye kura kuna kupata na kukosa [emoji1787][emoji1787][emoji1787].Kama mnavyojua kulifanyika uchaguzi wa wabunge la Africa Mashariki na ACT kuwa na mgombea wao ambaye alikuwa Addo Shaibu
Cha kushangaza ni kuwa wabunge wa CCM walimtosa Addo, ambaye ni Katibu Mkuu wa ACT na kumchagua mgombea wa CUF
Imefichuliwa kuwa huo ulikuwa ni
Mpango wa wabunge wahafidhina ndani ya CCM wa kundi la mwendazake JPM kumkomoa ACT na Zitto Kabwe kwa kuwa karibu na Samia na kundi hilo halitaki maridhiano ya Samia na Upinzani
View attachment 2366002
View attachment 2366005
Kama mnavyojua kulifanyika uchaguzi wa wabunge la Africa Mashariki na ACT kuwa na mgombea wao ambaye alikuwa Addo Shaibu
Cha kushangaza ni kuwa wabunge wa CCM walimtosa Addo, ambaye ni Katibu Mkuu wa ACT na kumchagua mgombea wa CUF
Imefichuliwa kuwa huo ulikuwa ni
Mpango wa wabunge wahafidhina ndani ya CCM wa kundi la mwendazake JPM kumkomoa ACT na Zitto Kabwe kwa kuwa karibu na Samia na kundi hilo halitaki maridhiano ya Samia na Upinzani
View attachment 2366002
View attachment 2366005
Zito bhaana [emoji12]Kama mnavyojua kulifanyika uchaguzi wa wabunge la Africa Mashariki na ACT kuwa na mgombea wao ambaye alikuwa Addo Shaibu
Cha kushangaza ni kuwa wabunge wa CCM walimtosa Addo, ambaye ni Katibu Mkuu wa ACT na kumchagua mgombea wa CUF
Imefichuliwa kuwa huo ulikuwa ni
Mpango wa wabunge wahafidhina ndani ya CCM wa kundi la mwendazake JPM kumkomoa ACT na Zitto Kabwe kwa kuwa karibu na Samia na kundi hilo halitaki maridhiano ya Samia na Upinzani
View attachment 2366002
View attachment 2366005
Ndio ajue sasa ule Mnyororo wa 2020Kama mnavyojua kulifanyika uchaguzi wa wabunge la Africa Mashariki na ACT kuwa na mgombea wao ambaye alikuwa Addo Shaibu
Cha kushangaza ni kuwa wabunge wa CCM walimtosa Addo, ambaye ni Katibu Mkuu wa ACT na kumchagua mgombea wa CUF
Imefichuliwa kuwa huo ulikuwa ni
Mpango wa wabunge wahafidhina ndani ya CCM wa kundi la mwendazake JPM kumkomoa ACT na Zitto Kabwe kwa kuwa karibu na Samia na kundi hilo halitaki maridhiano ya Samia na Upinzani
View attachment 2366002
View attachment 2366005
Hahahaaa..Zitto mwenzio ana uhakika wa ajira na ulaji wa miaka kadhaa, kwenye kile kikosi cha katiba,' nyie endeleeni kupiga majungu tu... ... Akina Mbowe, Lema na Lissu, wao nao naona wameona isiwe tabu,wamewaacha watz na unafiki wenu, na kila mtu sasa na ashinde mechi zake, manake walipambana miaka yote na kuumizwa bure, sasa ngoja nao wajali maisha yao aiseee....Wajuvi walimwambia Zitto Kabwela akishatumika atatupwa chooni na kuflashiwa kama toilet paper. By the way hivi nchi hii ina upinzani tena? Kina Mbowe, Lema na Lissu wako wapi?
Wapunguze kulia Lia waliwaona CHADEMA wajinga. Unataka maridhiano na CCM ili upate Nini?.
Tatizo kubwa sana kwenye siasa za Tanzania.ZZK anataka kuuaminisha umma kuwa demokrasia inafungamana na kuchagulika kwa watu wake badala ya kukubali ukweli kwenye kura kuna kupata na kukosa