Zitto amsifia Hayati Magufuli kuleta nidhamu ya kazi kwa kipindi chake

Zitto amsifia Hayati Magufuli kuleta nidhamu ya kazi kwa kipindi chake

Mwangalie alivyomsifia kinafiki baada ya kubanwa maswali na wanahabari.

Amekubali kuwa watanzania walitaka Rais dikteta tangu awali kutokana na ufisadi na uzembe kazini ila kwa unyonge sana...
Hivi ndo mnavyotaka. Yaani kuwe kunawekwa mada za kusifu tu hilo shetani la Chato. Si wengine tukitumia uhuru wetu kuelezea madhila tulipitia kipindi cha utawala wake mnakuja juu oooh mwacheni apumzike. mara ooh vyeti feki nyie
 
Hamia Afghanistan kwa Taliban au Korea kwa Kiduku kama unahitaji ukatili ili uwajibike.
Jiwe aka Mwamba aka Nzilakende Muyango. Lile jamaa kuna mahala lingeifaa sana hii nchi na huko mbele baada ya yeye nchi ingeenda vizuri sana na wengine Africa wangejifunza kitu....
 
Hivi ndo mnavyotaka. Yaani kuwe kunawekwa mada za kusifu tu hilo shetani la Chato. Si wengine tukitumia uhuru wetu kuelezea madhila tulipitia kipindi cha utawala wake mnakuja juu oooh mwacheni apumzike. mara ooh vyeti feki nyie
Ipo faida kwenye kueleza yale mazuri ya marehemu kwa sababu tunaweza kuyaiga na kupata manufaa, ila tutapata faida gani kwa muda wote kumlaani na kusema alikuwa ndio shetani mwenyewe na yupo motoni? Si ni kauli tu za watu wenye hasira ambazo hazina manufaa yeyote kwa wengine zaidi ya wenyewe wenye kuzisema.
 
Mwangalie alivyomsifia kinafiki baada ya kubanwa maswali na wanahabari.

Amekubali kuwa watanzania walitaka Rais dikteta tangu awali kutokana na ufisadi na uzembe kazini ila kwa unyonge sana...
Kama Zito Kamsifia sisi tufanyeje
 
Mwangalie alivyomsifia kinafiki baada ya kubanwa maswali na wanahabari.
Wewe fikra zako juu ya zitto ni za hovyo na zimejaa uadui usiokuwa na msingi.

Zitto anapompinga Magufuli mnamuona hafai hapohapo akimsifia mnamgeuzia kibao na kumuita mnafiki !!-- sasa kwenu jambo jema ni lipi??!!😏

Kumbuka hakuna mtu mbaya duniani akakosa mambo mema kabisa, Historia inamtaja na kumuhukumu Adolf Hitler kuwa ni miongoni mwa watu wabaya waliowahi kutokea duniani lakini huwezi kupinga kwamba ni yeye aliyejenga misingi ya nguvu za ujerumani hii tunayoiona leo hivyo licha ya mabaya yake mengi lakini pia anayo mazuri yake.

Mtu anatakiwa afanye mazuri mengi ili mazuri hayo yafunike mabaya machache na akumbukwe kwa hayo mazuri kinyume chake mtu akifanya 50/50 mazuri na mabaya jamii itamuhukumu hivyo hivyo 50/50 kwa mazuri na mabaya, kwa.mtazamo wangu Magufuli alifanya 50/50 mazuri na mabaya hivyo kama nitampenda kwa mazuri basi usilalamike na kuniita mnafiki pale nitakapo mchukia kwa mabaya yake na ndicho hicho Zitto anachofanya, basi usimshutumu Zitto kwa kuyasema maovu ya Magu na wala usimshutumu kwa kumuita mnafiki anapotaja mema ya Magu.

Huyo Magu anamzidi nini Josef Stalin wa USSR??-- mbona warusi nao wamegawanyika kuhusu Josef Stalin.

Lazima upevuke na uvumilie juu ya mitazamo na fikra huru za watu wengine kwani huyo Magu hakuwa Rais wa watu fulani tu bali alikuwa Rais wa watz wote na wapo waliofaidika na wapo walioumizwa naye kisiasa, kijamii na kiuchumi.
 
Mwangalie alivyomsifia kinafiki baada ya kubanwa maswali na wanahabari.

Amekubali kuwa watanzania walitaka Rais dikteta tangu awali kutokana na ufisadi na uzembe kazini ila kwa unyonge sana.

Zitto anaumia sana kuona watu hata hao wanahabari bado wanamuona Magufuli kama shujaa anakosa amani kabisa hata michango ya wanajf inamuumiza.

Anashauri mazuri ya Magufuli yafanyiwe kazi akiyaita kwa English (gains) anaona sasa uzembe umerejea kwa kasi.

Kiufupi simuoni mwanasiasa wa kupambana na legacy ya Magufuli.

USSR

View attachment 2523990
Endeléeni kumtukana tu mitandaoni, ila if you know you know
 
Mwangalie alivyomsifia kinafiki baada ya kubanwa maswali na wanahabari.

Amekubali kuwa watanzania walitaka Rais dikteta tangu awali kutokana na ufisadi na uzembe kazini ila kwa unyonge sana.

Zitto anaumia sana kuona watu hata hao wanahabari bado wanamuona Magufuli kama shujaa anakosa amani kabisa hata michango ya wanajf inamuumiza.

Anashauri mazuri ya Magufuli yafanyiwe kazi akiyaita kwa English (gains) anaona sasa uzembe umerejea kwa kasi.

Kiufupi simuoni mwanasiasa wa kupambana na legacy ya Magufuli.

USSR

View attachment 2523990
Lucifer Magufuli ana legacy gani ya maana? Kuua na unyang'anyi wa pesa na mali za watu au kubambikia watu makesi na kuficha pesa za plea Bargain Uchina ndio unaitwa legacy?!
Kichaa wewe kama yeye mwenyewe Lucifer JPM! Nyau wewe!
 
Magufuli alikua ni messenger of God to Tanzanians.
So you mean God sent Lucifer Magufuli to still, maim and kill citizens in the name of miundombinu! So you mean God ni Jambazi kama Lucifer Magufuli?! Nonsense, Nyau wewe!
 
Back
Top Bottom