Hivi ndo mnavyotaka. Yaani kuwe kunawekwa mada za kusifu tu hilo shetani la Chato. Si wengine tukitumia uhuru wetu kuelezea madhila tulipitia kipindi cha utawala wake mnakuja juu oooh mwacheni apumzike. mara ooh vyeti feki nyieMwangalie alivyomsifia kinafiki baada ya kubanwa maswali na wanahabari.
Amekubali kuwa watanzania walitaka Rais dikteta tangu awali kutokana na ufisadi na uzembe kazini ila kwa unyonge sana...
Magufuli was a PROPHET.Magufuli alikua ni messenger of God to Tanzanians.
100% correct na kila mtanzania anajua hiloMagufuli alikua ni messenger of God to Tanzanians.
Jiwe aka Mwamba aka Nzilakende Muyango. Lile jamaa kuna mahala lingeifaa sana hii nchi na huko mbele baada ya yeye nchi ingeenda vizuri sana na wengine Africa wangejifunza kitu....
Ni Yeye kavuta mafao kasepa!Hamia Afghanistan kwa Taliban au Korea kwa Kiduku kama unahitaji ukatili ili uwajibike.
Mtume wa LuciferAmen
Ipo faida kwenye kueleza yale mazuri ya marehemu kwa sababu tunaweza kuyaiga na kupata manufaa, ila tutapata faida gani kwa muda wote kumlaani na kusema alikuwa ndio shetani mwenyewe na yupo motoni? Si ni kauli tu za watu wenye hasira ambazo hazina manufaa yeyote kwa wengine zaidi ya wenyewe wenye kuzisema.Hivi ndo mnavyotaka. Yaani kuwe kunawekwa mada za kusifu tu hilo shetani la Chato. Si wengine tukitumia uhuru wetu kuelezea madhila tulipitia kipindi cha utawala wake mnakuja juu oooh mwacheni apumzike. mara ooh vyeti feki nyie
Kama Zito Kamsifia sisi tufanyejeMwangalie alivyomsifia kinafiki baada ya kubanwa maswali na wanahabari.
Amekubali kuwa watanzania walitaka Rais dikteta tangu awali kutokana na ufisadi na uzembe kazini ila kwa unyonge sana...
Wewe fikra zako juu ya zitto ni za hovyo na zimejaa uadui usiokuwa na msingi.Mwangalie alivyomsifia kinafiki baada ya kubanwa maswali na wanahabari.
Hata wakiandika kurasa milioni kumchafua JPM, haitasaidia kitu, kwani sio saizi yao, na kila mtu anamacho hahitaji aambiwe onaWalimhujumu na sasa karma imeanza kuwaumbua taratibu!
Hawa ni baadhi yao....View attachment 2524924
Endeléeni kumtukana tu mitandaoni, ila if you know you knowMwangalie alivyomsifia kinafiki baada ya kubanwa maswali na wanahabari.
Amekubali kuwa watanzania walitaka Rais dikteta tangu awali kutokana na ufisadi na uzembe kazini ila kwa unyonge sana.
Zitto anaumia sana kuona watu hata hao wanahabari bado wanamuona Magufuli kama shujaa anakosa amani kabisa hata michango ya wanajf inamuumiza.
Anashauri mazuri ya Magufuli yafanyiwe kazi akiyaita kwa English (gains) anaona sasa uzembe umerejea kwa kasi.
Kiufupi simuoni mwanasiasa wa kupambana na legacy ya Magufuli.
USSR
View attachment 2523990
Alikufanyeje mkuu?Akisifiwa hamsemi mwacheni apumzike ila ubaya wake ukiongelewa mnalia kama vitoto vya nguruwe
Lucifer Magufuli ana legacy gani ya maana? Kuua na unyang'anyi wa pesa na mali za watu au kubambikia watu makesi na kuficha pesa za plea Bargain Uchina ndio unaitwa legacy?!Mwangalie alivyomsifia kinafiki baada ya kubanwa maswali na wanahabari.
Amekubali kuwa watanzania walitaka Rais dikteta tangu awali kutokana na ufisadi na uzembe kazini ila kwa unyonge sana.
Zitto anaumia sana kuona watu hata hao wanahabari bado wanamuona Magufuli kama shujaa anakosa amani kabisa hata michango ya wanajf inamuumiza.
Anashauri mazuri ya Magufuli yafanyiwe kazi akiyaita kwa English (gains) anaona sasa uzembe umerejea kwa kasi.
Kiufupi simuoni mwanasiasa wa kupambana na legacy ya Magufuli.
USSR
View attachment 2523990
So you mean God sent Lucifer Magufuli to still, maim and kill citizens in the name of miundombinu! So you mean God ni Jambazi kama Lucifer Magufuli?! Nonsense, Nyau wewe!Magufuli alikua ni messenger of God to Tanzanians.