Zitto ashauri iundwe kampuni ya ubia kati ya DP World na Tanzania kuendesha bandari

Usipoitaja Chadema hupungukiwi na kitu
 
Cdm imewahi toa mapendekezo yapi unayoyajua wewe?

Au Kuna Chadema nyingine tofauti na hii ya walalamishi wasio na suluhisho? Nitajie mapendekezo Yao ya kuhoresha Ufanisi wa Bandari
Mapendekezo yangu kama Rai suluhisho baada yac ccm kushindwa kuisimamia malizetu inatosha kukaa pembeni kuwapisha vyama vingine kusimamia mali zetu.
 
Kwani Kwa mkataba wa Sasa Mali inakuwa ya nani mbona unaongea vitu ambavyo ndio itakavyokuwa?
 
Mtazamo wa ACT ni wakizanzibari zaidi, hao waarabu wachache wanaakili kuliko watanzania milioni 15? Kama ni hivyo tufunge chuo cha bandari cha nini?
 
Kwani Kwa mkataba wa Sasa Mali inakuwa ya nani mbona unaongea vitu ambavyo ndio itakavyokuwa?
Tofauti ya shares na BTO/BOT contracts kwa hela hiyo hiyo ya uwekezaji.

Shares anavuna bila ya muda wa kupangwa, halafu 50/50 ata management mnaamua pamoja. Na kumtoa mmbia inabidi ununue shares zake upya aijalishi amevuna miaka mingapi.

Kama kununua shares leo ambazo bandari mapato yake tsh 700 billion kwa mwaka excluding taxes. Huko mbele labda mapato ya bandari ni tsh 3 trillion inabidi ununue shares hizo kwa 1.5 trillion jumlisha na miaka yote aliyokuwa akivuna nusu ya mapato kila mwaka.

Ili uweze kununua shares za mtu mwingine kwenye kampuni inabidi we mwenyewe umiliki zaidi ya 51% majority shareholder. At 50/50 alazimishwi kukuuzia hizo hisa.

Ni ushauri wa ovyo, BTO/BOT nimeshakuelezea. Uhitaji akili ya rocket science kuona kipi bora.
 
 
wana wazo la msingi
 
Hili pendekezo halina mantik. Kinachopigiwa kelele ni mkataba mama(IGA) ambao umepitishwa kati ya serikali ya Tanzania na Dubai ambayo wengi wanaona inaipa Dubai upendeleo kupita kiasi. Haya anayopendekeza yatafanyika katika HGA ambazo hazitabadili lolote katika IGA. Kuanzishwa kwa TDPL hakutabadilisha kipengele kuwa mkataba wa IGA na hivyo nafasi ya DP World katika uendeshaji wa bandari, epz n.k. hautaweza kuvunjwa na Tanzania milele hata kama Dubai/DP World wataonekana kuukiuka kwa namna yeyote.
Hilo la kuitaka DP World ijadiliane kwanza na Tanzania kabla ya kuwekeza katika bandari za nchi jirani ni wishful thinking. Kujadiliana tu bila ya kuwa na nguvu ya kuzuia haina maana yeyote. Itakuwa ajabu sana kama DP World ataacha kuwekeza kwenye bandari ya Beira au Dry Port Malawi kama ataona inalipa hata kama serikali ya Tanzania.

Amandla...
 
Hivi ili la mkataba kutokuwa na muda maalum au kutoweza kuvunjwa; mmelitoa wapi kutoka katika yale makubaliano?

Ni article zipi hizo zinazo sema hayo. Vinginevyo kwa sababu mmeamua kuamini hivyo aina maana huo ndio ukweli wenyewe.
 
Mnaanza kunyunyiza oil baada ya kupigwa spana, siyo?

Hicho anachosema zitto yote yalishaongelewa humu hakuna jipya hapo. After all, TPA alishaingia mkataba na TICTS kuendesha shughuli za bandari, kwa hiyo hakuna jambo geni hapo na katika utaratibu huo huo anaweza kuingia mkataba na DP world.

Mambo ya kuingiza nchi kwenye mikataba ya kitapeli na kampuni binafsi ni kuidharaulisha nchi kimataifa.​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…