Zitto awajibu Maria na Mshaba akiwahusisha na 'Udini'

Udini udini hauna nafasi kabisa hapa Tz !! Hata hao wanaouzungumzia wanajua kuwa hapa Tz ni ngumu watu kukuelewa !! Hata kama hicho kitu kipo lakini kipo kwa kiwango kidogo sana !!!
 
Ww hujahitimu hata chekechea...maarifa yako kama ya mbuzi tu,natamani ungekuwa na akili hata ya kuvukia barabara.
 
Kwa comment hiyo wewe Zitto ndo unadhihirisha umejawa na udini na ujinga, na una hasira zingine ambazo obviously hazihusiani na hayo maoni ya akina Maria; we know mara nyingi they have put you in a cage and in your rightful corner. PATHETIC!
 
Lwiva do not give sweeping statement kuwa, Watanzania walimpenda JPM sema wewe ulimpenda JPM usiwasemee watanzania kwani Zitto, Nape na wengine pia ni watanzania. Tafakari.
 
Maria hajawahi kuongelea dini kabisa, huyu Zitto sasa anachanganyikiwa na ulaji.
 
Amelewa?Ila huyu kiumbe by nature ni Mdini mno,hafai nafasi yoyote.
Alitumia Agenda hiyo kuipasua Chadema akafeli akaondoka na dhambi hiyo akishangaa kuwa na Chama cha kiislamu.
Watu dhaifu huwa wanajificha kwenye huo utetezi wa Dini,Kanda,Kabila nk.
Ndiyo maana nilimshangaa sana Superwoman Fatma kutumia Silaha za Udini na Ukanda juzi kati.

By the way hao wanyama ni wa waislamu tu kwani?
 
Mbona aliojiwa kabisa na kuyasema hayo hatua kwa hatua, kuwa mama yake mzazi alimwita na kumwambia kuna kitu nataka lazima unifanyie wala usiwe na hofu ndipo akwamwambia nataka leo uniogeshe na upitishe mikono kila sehemu ya mwili wangu
 
mbona lodilofa aliuza mbuga kabisa ya GRUMETI.tena kwa miaka 99.
pale hadi uwanja wa ndege mkubwa upo.yaani ile grumet iko tanzania lakini mmiliki beberu
 
Mojawapo ya viashiria vya mtu aliyefilisika kisiasa ni kuingiza udini. Huyu mkoma naona safari yake ya kisiasa imeishia hapa.
 
Mbona aliojiwa kabisa na kuyasema hayo hatua kwa hatua, kuwa mama yake mzazi alimwita na kumwambia kuna kitu nataka lazima unifanyie wala usiwe na hofu ndipo akwamwambia nataka leo uniogeshe na upitishe mikono kila sehemu ya mwili wangu
Duh !
 
Post ya Zitto imenifanya niyaangalie haya mambo kwa mtazamo wa kidini, na inawezekana ni kweli yanafanyika kwa sababu hizo
naomba utufahamishe una elimu gani? na kimaisha umefikia level gani kiuongozi hapo ulipo?
 
naomba utufahamishe una elimu gani? na kimaisha umefikia level gani kiuongozi hapo ulipo?
Shahada ya Uzamili ya Tehama. Sijafika level yoyote ya kiuongozi (na pia sidhani kama uongozi una levels, maana huko Sri Lanka, aliyekuwa Rais wakati mmoja, Mahinda Rajapaksa, alikuja kuwa Waziri Mkuu wakati uliofuata, na sasa ni mbunge)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…