Zitto awataka wanachama wa ACT-Wazalendo Manispaa ya Kigoma waende kumsikiliza Tundu Lisu leo

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Mhe. Zitto Kabwe amewataka wanachama wake kwenda kumsikiliza mgombea urais wa Chadema Tundu Lissu katika viwanja vya Mwanga Community Centre leo.

Zitto amesema Tundu Lissu ni rafiki yake hivyo mkoa wa Kigoma umpe heshima anayostahili.

My take; Mbona Zitto Kabwe kaacha kumzungumzia Membe?

Maendeleo hayana vyama!
 
Zito umepunguza manane ungejazia nendeni mkamsikilize na tare 28 October mpeni kura msimpe mwingine...
 
Mwambieni jamaa yenu aendelee kukutana na marais kwa sababu atakuwa rais aliyekutana na marais wachache tokea TZ iongozwe na Marais
 
Kwani Membe ana kampeni leo Kigoma?
 
Membe ameshakata tamaa, alizani kugombea nje ya CCM bado angeonekana, sasa keshachoka.
 

Siasa ni kushirikiana. Kwa upande wa Bara wameona chama pinzani chenye nguvu ni CHADEMA, na kule Zanziba ni ACT, hivyo wameamua huku bara ACT waunge mkono CHADEMA, na kule ZanzibarCHADEMA waunge mkono ACT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…