Zitto awataka wanachama wa ACT-Wazalendo Manispaa ya Kigoma waende kumsikiliza Tundu Lisu leo

Siasa ni kushirikiana. Kwa upande wa Bara wameona chama pinzani chenye nguvu ni CHADEMA, na kule Zanziba ni ACT, hivyo wameamua huku bara ACT waunge mkono CHADEMA, na kule ZanzibarCHADEMA waunge mkono ACT
Muda wa kisheria umeisha!
 
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo mh Zitto Kabwe amewataka wanachama wake kwenda kumsikiliza mgombea urais wa Chadema Tundu Lissu katika viwanja vya Mwanga Community Centre leo.

Zitto amesema Tundu Lissu ni rafiki yake hivyo mkoa wa Kigoma umpe heshima anayostahili.

My take; Mbona Zitto Kabwe kaacha kumzungumzia Membe?

Maendeleo hayana vyama!
Membe mwenyewe sasa hivi anahamasisha WaTz wamsikilize Lissu
 
Zitto amesema Tundu Lissu ni rafiki yake hivyo mkoa wa Kigoma umpe heshima anayostahili.

My take; Mbona Zitto Kabwe kaacha kumzungumzia Membe?

Maendeleo hayana vyama!
Kwani Membe yupo Kigima leo?
 
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo mh Zitto Kabwe amewataka wanachama wake kwenda kumsikiliza mgombea urais wa Chadema Tundu Lissu katika viwanja vya Mwanga Community Centre leo.

Zitto amesema Tundu Lissu ni rafiki yake hivyo mkoa wa Kigoma umpe heshima anayostahili.

My take; Mbona Zitto Kabwe kaacha kumzungumzia Membe?

Maendeleo hayana vyama!
Membe hela zake zimetaifishwa, alimpa punda wake milnzi wake ambebee Sasa Hana kitu. Zitto mnafiki Sana.
 
Mungu ni pendo.Vyama vya upinzani ni vyama vya Mungu ndiyo maana vimejaa upendo
Eti vyama vya upinzani ni vyama vya Mungu!
Kwa hiyo Mbowe ni mungu, Lipumba ni mungu, mrema ni mungu,???
Una matatizo kichwani.
 
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo mh Zitto Kabwe amewataka wanachama wake kwenda kumsikiliza mgombea urais wa Chadema Tundu Lissu katika viwanja vya Mwanga Community Centre leo.

Zitto amesema Tundu Lissu ni rafiki yake hivyo mkoa wa Kigoma umpe heshima anayostahili.

My take; Mbona Zitto Kabwe kaacha kumzungumzia Membe?

Maendeleo hayana vyama!
Zzk anapigania hali yake , hivyo priority yake sasa hivi ni ubunge wake nao atapata kupitia Saccos na za Act, kinyume cha hapo hapati kitu
 
Membe hela zake zimetaifishwa, alimpa punda wake milnzi wake ambebee Sasa Hana kitu. Zitto mnafiki Sana.

Kwa hiyo Zitto ndiyo ametaifisha pesa za Membe? Membe kweli kachero mbobezi amewafanyia CCM diversion mmeingia chaka. Wenzenu wameshaungana technically mlitengemea watatangaza ili muitume NEC na Msajili wawashughulikie.

Imekula kwenu MATAGA.
 
Zzk anapigania hali yake , hivyo priority yake sasa hivi ni ubunge wake nao atapata kupitia Saccos na za Act, kinyume cha hapo hapati kitu

Kama priority yake ni ubunge wake mbona anapita kuzindua kampeni za wagombea ubunge wa ACT nchi mzima?

Wenzenu wameungana technically sasa nyinyi mlitengemea watangaze ili muwatume msajili na NEC wawashughulikie. Membe Nazi yake ni kufanya diversion,anajambisha kule Twitter anatulia wala hapigi kampeni. Kama aliweza kupiga kampeni mama Anna 2015 unafikiri Membe anashindwa kupiga kampeni.
 
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo mh Zitto Kabwe amewataka wanachama wake kwenda kumsikiliza mgombea urais wa Chadema Tundu Lissu katika viwanja vya Mwanga Community Centre leo.

Zitto amesema Tundu Lissu ni rafiki yake hivyo mkoa wa Kigoma umpe heshima anayostahili.

My take; Mbona Zitto Kabwe kaacha kumzungumzia Membe?

Maendeleo hayana vyama!
Ungejiuliza kwanza, mbona Membe hafanyi kampeni?
 
Saisa ndio hii sasa. CCM imebaki yenyewe kama mganga wa kienyeji.
 
Ni bora wakasikilize uenda wakapata kitu kipya, sababu mabilioni madaraja,rsg umeme,elimu bure nk tayari yamejaa hata kabla ya kampeni!
 
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo mh Zitto Kabwe amewataka wanachama wake kwenda kumsikiliza mgombea urais wa Chadema Tundu Lissu katika viwanja vya Mwanga Community Centre leo.

Zitto amesema Tundu Lissu ni rafiki yake hivyo mkoa wa Kigoma umpe heshima anayostahili.

My take; Mbona Zitto Kabwe kaacha kumzungumzia Membe?

Maendeleo hayana vyama!
Baada ya Membe kukosa pesa
 
Back
Top Bottom