johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
-
- #21
Muda wa kisheria umeisha!Siasa ni kushirikiana. Kwa upande wa Bara wameona chama pinzani chenye nguvu ni CHADEMA, na kule Zanziba ni ACT, hivyo wameamua huku bara ACT waunge mkono CHADEMA, na kule ZanzibarCHADEMA waunge mkono ACT
Muda wa kufanyaje, Kupigia chama kingine kampeni au?Muda wa kisheria umeisha!
Kigoma siyo DodomaKigoma ni kijani bwashee!
Wapi nimesema Dodoma!Kigoma siyo Dodoma
Membe mwenyewe sasa hivi anahamasisha WaTz wamsikilize LissuKiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo mh Zitto Kabwe amewataka wanachama wake kwenda kumsikiliza mgombea urais wa Chadema Tundu Lissu katika viwanja vya Mwanga Community Centre leo.
Zitto amesema Tundu Lissu ni rafiki yake hivyo mkoa wa Kigoma umpe heshima anayostahili.
My take; Mbona Zitto Kabwe kaacha kumzungumzia Membe?
Maendeleo hayana vyama!
Sheria hairuhusu ya uchaguziZitto leo alitakiwa awepo hapo jukwaani leo ili waifute rami CCM hapo Kigoma
Afadhali umemwelewesha!Sheria hairuhusu
Kwani Membe yupo Kigima leo?Zitto amesema Tundu Lissu ni rafiki yake hivyo mkoa wa Kigoma umpe heshima anayostahili.
My take; Mbona Zitto Kabwe kaacha kumzungumzia Membe?
Maendeleo hayana vyama!
Membe hela zake zimetaifishwa, alimpa punda wake milnzi wake ambebee Sasa Hana kitu. Zitto mnafiki Sana.Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo mh Zitto Kabwe amewataka wanachama wake kwenda kumsikiliza mgombea urais wa Chadema Tundu Lissu katika viwanja vya Mwanga Community Centre leo.
Zitto amesema Tundu Lissu ni rafiki yake hivyo mkoa wa Kigoma umpe heshima anayostahili.
My take; Mbona Zitto Kabwe kaacha kumzungumzia Membe?
Maendeleo hayana vyama!
Eti vyama vya upinzani ni vyama vya Mungu!Mungu ni pendo.Vyama vya upinzani ni vyama vya Mungu ndiyo maana vimejaa upendo
Zzk anapigania hali yake , hivyo priority yake sasa hivi ni ubunge wake nao atapata kupitia Saccos na za Act, kinyume cha hapo hapati kituKiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo mh Zitto Kabwe amewataka wanachama wake kwenda kumsikiliza mgombea urais wa Chadema Tundu Lissu katika viwanja vya Mwanga Community Centre leo.
Zitto amesema Tundu Lissu ni rafiki yake hivyo mkoa wa Kigoma umpe heshima anayostahili.
My take; Mbona Zitto Kabwe kaacha kumzungumzia Membe?
Maendeleo hayana vyama!
Membe hela zake zimetaifishwa, alimpa punda wake milnzi wake ambebee Sasa Hana kitu. Zitto mnafiki Sana.
Ni kama wewe tu ulivyoacha kumzungumzia wejiMy take; Mbona Zitto Kabwe kaacha kumzungumzia Membe?
Zzk anapigania hali yake , hivyo priority yake sasa hivi ni ubunge wake nao atapata kupitia Saccos na za Act, kinyume cha hapo hapati kitu
Ungejiuliza kwanza, mbona Membe hafanyi kampeni?Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo mh Zitto Kabwe amewataka wanachama wake kwenda kumsikiliza mgombea urais wa Chadema Tundu Lissu katika viwanja vya Mwanga Community Centre leo.
Zitto amesema Tundu Lissu ni rafiki yake hivyo mkoa wa Kigoma umpe heshima anayostahili.
My take; Mbona Zitto Kabwe kaacha kumzungumzia Membe?
Maendeleo hayana vyama!
-Kwa kusomba watu kutoka vijijiniKigoma ni kijani bwashee!
Alishafungua pale Lindi bwashee!Ungejiuliza kwanza, mbona Membe hafanyi kampeni?
Baada ya Membe kukosa pesaKiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo mh Zitto Kabwe amewataka wanachama wake kwenda kumsikiliza mgombea urais wa Chadema Tundu Lissu katika viwanja vya Mwanga Community Centre leo.
Zitto amesema Tundu Lissu ni rafiki yake hivyo mkoa wa Kigoma umpe heshima anayostahili.
My take; Mbona Zitto Kabwe kaacha kumzungumzia Membe?
Maendeleo hayana vyama!