Elections 2010 ZITTO: CHADEMA isipoangalia itakosa mbunge kigoma 2015

Elections 2010 ZITTO: CHADEMA isipoangalia itakosa mbunge kigoma 2015

Zitto anasema kweli na kweli tupu! Kwa nini wale wanne wa NCCR waliondoka Chadema? Jibu: wameona ni chama kinachoendeshwa Kidikteta na Kidini, kama ni muIslam huna thamani Chadema, kama yanayomkuta Zitto sasa hivi na karibuni tutasukia Arfi nae hayo hayo.

Hizi pumba hata kuku wa kienyeji hawaziokoti.
 
..chadema walili-mishandle suala la kafulila na wenzake.

..waache kuhangaika na majimbo yaliyochukuliwa na nccr.

..wanachopaswa kufanya sasa hivi ni kujaribu kupokonya yale majimbo yaliyochukuliwa na ccm.

kafulila atafulia sio muda mrefu kwa sababu nccr inahitaji kujengwa. Mtu binafsi ni ngumu kuushawishi umma. Na huyo zitto asifikiri atakubaliwa huko nccr mageuzi kwani hakuna anye pebnda vurugu za kina mrema.
 
Watu wa kigoma wote uraia wao una utata na ndio maana watata...kazi ubishi tuu na kujiona wanajua kila kitu,kajitu kafupi,kichwa kibaya...aagh...taabu kwelikweli

confirmed! huwa tunasema kila siku kuwa , CDM=CHAGA=CHRISTIANITY, sio chama cha siasa na kitakufa muda si mrefu
 
Kwanza kabisa siamini kama Zitto alisema hivyo. Hata hivyo Zitto siku hizi haaminiki sana maana ana tabia ya kutoa matamshi yanayotiliwa mashaka. Kama kweli ametamka hivyo, yeye ndiye anayetakiwa kutoa majibu sababu ya hilo kutokea.

Kama Zitto hakutoa matamshi hayo basi ni mbinu zile zile za kutaka kukivuruga Chadema na mwanya wameuona kuwa unapatikana kwa kupitia Zitto. Wakati mwingine tunaweza kuamini kuwayeye amekubali kutumika kuhujumu Chadema.

Kuhusu kauli ya Zitto kuwa wabunge 4 wa NCCR kutoka mkoa wa Kigoma ambao wametokea Chadema na hivyo mwaka 2015 kunaweza kukawa na uwezekano wa kutokuwa na mbunge wa Chadema ninaona yafuatayo:
1. Inaaminika kuwa Zitto mwenyewe ndiye aliyewasaidia watu kama kina Mh. Kafulila katika kupata ubunge kupitia NCCR. Ni yeye Zitto aliyeahidi kuwa atamsaidia Kafulila katika kampeni. Hili liliwafanya watu kujiuliza itakuwaje pale Chadema itakapomsimamisha mgombea ubunge katika Jimbo hilo hilo ambalo Kafulila anagombea kupitia NCCR? Ni wazi naibu katibu mkuu wa Chama anapotoa matamshi ya kumsaidia mbunge wa chama kingine hata kama ni cha upinzani bila sababu zinazoeleweka tafsiri yake ni kukihujumu chama. Ikumbukwe kuwa Kafulila kabla ya kuondoka Chadema aliwahi kumpigia debe Zitto wakati anawania Uenyekiti wa Chadema. Hivyo Zitto alikuwa sababu ya hao wabunge wa NCCR kuondoka toka Chadema.

2. Kuna mwenekano wa haraka ambao unaweza kutafsiriwa kuwa Zitto ana lengo la kuendelea kuleta chokochoko ndani ya Chadema ili awe na sababu ama ya kuondolewa( kitu ambacho ni kigumu) au kujiondoa mwenyewe. Baada ya kuondoka Chadema atakuwa amejiandilia mahali pa kutua. Hapo anaandaa mazingira.

3. Zitto anaonekana kujaribu kila mbinu ambayo inawezeka kufanya kazi katika kufikia malengo yake binafsi aliyonayo. Kila mara anataka watu wasahau kitu kimoja pale anapoleta kitu kipya. Bado mashaka yetu yataendelea kuwepo kuhusu mambo ambayo Zitto anayafanya na malengo yake katika Chadema.

Zitto usijihangaishe sana, kama una mapenzi ya kweli kwa Chadema tutayajua tu lakini mpaka sasa huaminiki. Hili wala lisihusianishwe na dini ya Zitto maana suala la udini limeonekana kama mtaji wa kuvuruga Watanzania na hasa pale Chadema ilipohusishwa na Ukristu. Kutokuaminika kwako kunaonekana katika baadhi ya matendo na maneno yako. Mifano michache ikiwa: moja, kukubali kuwa kwenye kamati ya rais ya madini. Tulihoji kama unaweza kuleta matunda yoyote kwani kamati hizi zilieleweka kama mbinu ya kuwapumbaza Watanzania. Hadi leo matunda ya kamati hiyo hatujayaona. Pili, ukasema Dowans inunuliwe. Wewe kama mpinzani na unaelewa kuwa Dowans ni dada yake Richmond. Iweje tuikatae Richmond lakini tuipokee Dowans? Hoja hiyo ilipingwa na baadhi ya wabunge wa CCM, huoni ulikuwa kioja? Hiyo Dowans hatuwafahamu wamiliki wake ingawaje wengine wanasema ni dili ya mafisadi watatu.Tatu, juzi juzi mlipiga kura kuhusu uamuzi wa kutoka bungeni JK atakapoingia na wewe ukapingana na uamuzi wa kikao cha kidemokrasia. Baada ya hapo ukaendelea kuropoka kwenye vyombo vya habari kwamba wewe unamheshimu JK ndiyo maana hukukubali uamuzi wa Chama chako. Jk na Chadema nani unamheshimu zaidi?

Namna ya kudhibiti watu kama kina zitto, mrema etc ziingiwe kwenye katiba mpya.
 
nachojua mimi hata vyama vya nchi za ulaya magharibi ambapoinaaminikia ndio mama wa demokrasia watu huwa wanatofautiaana mawazo....kwa mfano uk coalition gov walipopigakura na kupandisha ada ya vyuo vikuu watu wote waliokuwa wakiwapinga hadharani wajiuzulu.......kwangu mimi kama Zitto anapingana na baadhi ya mambo ndani ya chama wazi wazi then jambo hilolikipita ajiuzulu unaibu katibu mkuu....
 
Tathmini tayari iliishafanywa na kubaini kuwa Zitto ndiyo chanzo cha matokeo hayo, kwani ndiye alikuwa akiwapigia kampeni za chini chini wabunge hao wa NCCR. Kufuatia ugunduzi huo safari ijayo hatafanikiwa, kwasababu chadema itakuwa macho kuzima njama zake.
 
kwani hao wana akili waliohama chadema ,,,,,,,,,,,,,njaa tu,,,,,,,,,,akili kisoda,,,,,,,,,,,,,,,waulize sababu ya kuhama,,,,,,,,,,,,,,,,,,,ooooooooohh ukabila ,,,,,,,oooooooooooooh udini.................hivi ,,,,,,,,,chama hicho ni cha kidini au cha kisiasa huo udini wameuona wapi,,,,,,,,,,hawajui ni kiasi gani wanatumiwa na ccm,,,,,,,ndio maana nasema hawana akili badala ya kujenga hoja za msingi wanakimbilia upuuzi,,,,,,,,,,,waangalie wote waliohama watoto wa baba mmoja,,,,,,,,,,,,,,,,,,NASEMA WANATUMIWA VIBAYA NA CCM BILA YA WAO KUJUA anyebisha na abishe mda ndio utaamua
 
kinacho nifurahisha kila kukicha Zitto anajipunguzia nafasi ya kuwania uongozi wa nchi. I wish I could have been his political strategist!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
mwaka huu mapambano humo humo


mkitaka salama yenu mbowe aondoke muone chama kinavyosonga mbele
 
anamaanisha akienda nccr ataongeza idadi ya wabunge wa nccr na kupunguza wa cdm au?
 
Kwa nini kila siku Zitto anajaribu kuinstigate machafuko ndani ya chama, kwa nini kila siku anaanzisha mambo ambayo mwisho wa siku yatakibomoa chama? There is something profoundly wrong with this guy!
 
Amesema Chadema ifanye tathimini, yeye sio Chadema?
Nina wasiwasi na habari yako mkuu, source pls!

mkuu itafakari kwa kina hiyo red,,.hujui kuwa yeye ni ccm kimawazo,..kimwili chadema
 
Ni wakati wa kufanya tathmini haraka ili kujua kiini cha matatizo lakini Zito anajua CHADEMA haijawahi kuwa na wabunge wengi kiasi cha mwaka huu
hivyo labda alitakiwa atoe pongezi kwa M/kiti Mbowe kwa alipokifikisha chama kwa kuwa na wabunge wengi kiasi hicho.
Pia anapaswa kujua wabunge hawatoki Kigoma tuu bali Tanzania nzimza,hivyo kufanyia tathmini mkoa wa Kigoma pekee sio sawa na anataka kupotosha umma.
Mwisho Zito atujulishe,Kigoma ilisha wahi kuwa na wabunge wangapi kutoka CHADEMA tangu mfumo wa vyama vingi uanze tena mwaka 1992 na uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi kufanyika 1995?
 
zanzibar tuna wabunge wangapi? Je Mtwara,lindi, dodoma tuna wabunge wangapi kwanini kigoma ambako tuna mbunge angalau mmoja..
 
Jana naibu katibu mkuu wa CDM Zitto kabwe amefanya mkutano wa hadhara katika viwanja vya kawawa mjini kigoma na kueleza haja ya kufanya tathnimini ndani ya chama juu ya uchaguzi uliopiita

Alisema katiak majimbo nane ya mkoa wa Kigoma CDM imepata kiti kimoja, NCCR mageuzi vinne na vilivyobaki vimekwenda kwa CCM

amesema jambo la kujiuliza kuwa kati ya wbaunge wanne wa NCCR mageuzi, watatu wametoka CDM na hadi mwaka jana walikuwa huko

amesema CDM ifanye tathimini kwani itacfika wakati hasa 2015 inaweza ikakosa ambunge katika mkoa wa Kigoma

Zitto atueleze yeye atakua chama gani wakati huo....
 
mwaka huu mapambano humo humo


mkitaka salama yenu mbowe aondoke muone chama kinavyosonga mbele

Tangu lini ukakitakia mema chadema?tangu lini ukatoa ushauri wa kukijenga?
Hata siku moja adui hawezi kukupa mbinu za kujijenga,kwa hiyo unajua kuwepo kwa mbowe ndo mwiba kwenu kwa sababu hafumbii macho wasaliti.
Mnataka rafiki wa R.A ndo awe mw/k wa chadema.hahaha...day dream !!!!!
 
zanzibar tuna wabunge wangapi? Je Mtwara,lindi, dodoma tuna wabunge wangapi kwanini kigoma ambako tuna mbunge angalau mmoja..


Yeye anahesabu ubunge wake kama mgombea binafsi,na si kama nguvu ya chama ndo imemsaidia.
Aangalie ni asilimia ngapi alishinda halafu aendelee na majingambo,2015 si mbali.
 
Mnaboa watu wengine,Nani kawaambia Chadema chama cha udini na ukabila?kuna watu wa kabila na dini mbalimbali ndani ya Chadema,mijtu inayopandikiza chuki za udini na ukabila siipendi kabisa,hlf jitu kama hilo linajiita lisomi,yes unaweza ukawa msomi lkn haujaelimika ni sawa na mahindi yaliyopita kwenye mashine ya kusaga hlf yakatoka kama yalivyo wakati mengine yamegeuka kuwa unga.Tuzungumze ishu za msingi za kujenga nchi na sio udini na ukabila angalieni ishu ya umeme,maji hospitali ajira kwa vijana na ujira mdogo kwa waajiriwa na sio udini ukabila huko Tanzania hatuko wapumbaf ndo mnataka tupeleka huko.
 
Zitto kaongea upuuzi mtupu. Hamia CCM ukatetee kiti chako. Huyu dogo simpendi hivi si akaugane na Hashim Lundenga wa coordinate Miss Tanzania!!!
 
Back
Top Bottom