Zitto: CHADEMA walifanya makosa haya ndiyo maana Lowassa akawakimbia, sisi hatutayafanya kwa Membe

Zitto: CHADEMA walifanya makosa haya ndiyo maana Lowassa akawakimbia, sisi hatutayafanya kwa Membe

Hujajibu swali.

Wapi nimeandika hakuna mabadiliko yaliyopatikana kutokana na juhudi za kuondoa wakoloni?
Sijajibu swali kivipi, au hutaki jibu?

Basi ngoja nikupe jibu ambalo nililihifadhi maksudi:
Rudi kwenye bandiko lako hapo #152.

Bila kunifahamisha kwamba pengine unatatizo la uandishi na uwasilishi wa maoni yako yaeleweke vizuri kwa msomaji, bandiko hilo linaeleza hayo unayonizimisha hapa nithibitishe kwamba hujaandika kwamba "hakuna mabadiliko yaliyopatikana kutokana na juhudi za kuondoa wakoloni."
Kama wewe huyaoni hivyo, basi huo ni upungufu wako, na sio upungufu wangu kuelewa ulichoandika.

Sioni mipaka uliyoizungushia hoja yako nzima uliyoiweka hapo ambayo inaondoa tafsiri ambayo sasa hutaki ueleweke kwamba ulikuwa na maana hiyo.
Katikati ya 'cynicism' katika kila jambo, matokeo yake ndiyo huwa kama haya.
 
That is an ignorant and lazy statement that lacks any meaningful context.

Mabadiliko ya nini? Kupika maandazi?

Weka nukuu verbatim hapa.

Ama sivyo kubali wewe mvivu wa kusoma kwa ufahamu au ni mzushi tu.

Kukusaidia tu, niliandika hivi kama ninavyonukuu hapa chini.

Nieleze ni wapi nimeandika hakuna mabadiliko yaliyotokana na juhudi za kuondoa wakoloni?

"Mfumo wowote unaotegemea mabadiliko ya kuletwa na watawala utakuwa umeshindwa kabla haujaanza.

Nyerere kawapinga wakoloni mpaka kachukua nchi.

Kapinga sheria za kikoloni. Mpaka kapewa kesi. Akashinda. Akawa rais.

Alivyochukua nchi akazitumia zile zile sheria za wakoloni kuminya uhuru. Akawafungia kina Kassela Bantu na Kasanga Tumbo. Akafuta vyama vingi.

Utawala mtamu. Madaraka matamu.

Hao wanaolilia tume huru leo, wakipewa madaraka bila mabadiliko ya mindset kwa Watanzania, watakosa incentive ya kubadilisha mfumo na watakuwa na incentive ya kuendeleza status quo.

Hapo ndipo umuhimu wa mindset kwa watu inapokuja."
 
Let me take this conversation one level forward.

Nilikuwa naongea na kiongozi mmoja mkubwa na maarufu wa CHADEMA.

Anakijua chama nje ndani si kama sisi tunaokisoma tu.

Yeye anasema tatizo kubwa Tanzania ni mindset. Kwamba, hata CHADEMA ikichukua nchi leo, bila kubadilisha mindset za Watanzania na CHADEMA, CHADEMA kitapata matatizo yaleyale ya CCM.

Sasa hapo utaona naweza kueleza matatizo yatakayotokea kwa vyama vya upinzani kuungana kwa a shallow cause ya kuitoa CCM bila kuwa na a cohesive and comprehensive plan ya nini kifanyike baada ya hapo. Na hata chama kimoja kikiitoa CCM, kama hakuna mabadiliko ya mindset, tutazidi kuogelea kwenye matatizo yaleyale.

Mimi nafikiri ni makosa kufikiri kwamba tatizo letu ni CCM, tukiwaondoa CCM mambo yetu yataenda sawa.

Tuna matatizo ya kiutamaduni, yaliyovuka kiwango cha vyama vya siasa, ndiyo maana vyama vyetu vyote vya siasa vina matatizo.

Sasa, katika mazingira kama hayo, kuondoa CCM tu kutatusaidia vipi?
Wewe mtu huwa unaandika point sana.
Huwa nakuelewa sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujajibu swali.

Wapi nimeandika hakuna mabadiliko yaliyopatikana kutokana na juhudi za kuondoa wakoloni?
Umeniuliza swali:
"Najua kusoma kwa ufahamu"?

Inaonekana tatizo hilo unalo wewe. vinginevyo usingedai ujibiwe kwa nakili iliyowekwa.
 
Umeniuliza swali:
"Najua kusoma kwa ufahamu"?

Inaonekana tatizo hilo unalo wewe. vinginevyo usingedai ujibiwe kwa nakili iliyowekwa.
Wewe una utapiamlo wa ubongo uliochanganyika na bias zako, unasoma unachotaka kusoma wewe, si kilichoandikwa.

Nimekuomba unipe nukuu verbatim, ku suport madai yako, umeshindwa.

Na mimi siwezi kukurudisha shule ya msingi kuanza kukufundisha kusoma kwa ufahamu.

You are incapable of making sane logical connections, and you blame that on me.
 
Wewe una utapiamlo wa ubongo uliochanganyika nana bias zako, unasoma unachotaka kusoma wewe, si kilichoandikwa.

Nimekuomba unipe nukuu verbatim, ku suport madai yako, umeshindwa.

Na mimi siwezi kukurudisha shule ya msingi kuanza kukufundisha kusoma kwa ufahamu.

You are incapable of making sane logical connections, and you blame that on me.
EeeenHeeee,

Unaona unakokimbilia sasa?

Sina haja ya kukueleza kwamba shule uliyonayo wewe ni pungufu sana kulinganisha na niliyonayo, that is a fact.

Kwa hiyo haya mapya hangaika nayo mwenyewe, mimi hayanihusu.
 
Wekeni shule zenu tuone.

Ila Kiranga si mwepesi kichwani kama unavyofikiria.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
EeeenHeeee,

Unaona unakokimbilia sasa?

Sina haja ya kukueleza kwamba shule uliyonayo wewe ni pungufu sana kulinganisha na niliyonayo, that is a fact.

Kwa hiyo haya mapya hangaika nayo mwenyewe, mimi hayanihusu.
Fucktard idiot troll.

I can't waste my shells on your ignorant ass.

Go to my ignore list already.

I'm not gonna see any more of your bullshit posts.
 
Wekeni shule zenu tuone.

Ila Kiranga si mwepesi kichwani kama unavyofikiria.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama wewe ndiwe utakuwa 'judge', hapo sina shaka yeye atakuwa ndiye mshindi, si unajua hata CCM hupata ushindi kwa kutumia Tume Maalum ya Uchafuzi?

Sasa niwe 'serious' kukujibu juu ya Kiranga:

Sijaandika juu ya "wepesi" wake alionao kichwani.

Ninafahamu, na ninakubali kichwani siyo mwepesi, kwa sababu nami husoma michango yake mbalimbali hapa Jukwaani, na nikupe uhakika uwezo wa kujua nani mwepesi na nani si mwepesi ninao kabisa.

Nikuhakikishie tena jingine, Kiranga hawezi kuwa na elimu ya kudharau elimu niliyonayo mimi. Hilo hana.

Mwisho, Kiranga ni mbishi tu, kama walivyo wabishi wengiwengine humu JF, wanapobanwa mbavu, wanakimbilia kwenye hayo aliyokimbilia hapo mwisho.

Bado unataka kuwa refa kati yangu na mkuu Kiranga? Shule yako ikoje, inatosha kuwa mwamzi asiyependelea upande mmoja?

SAMAHANI St. Anne:
Naomba nikutume unifikishie ujumbe kwa mkuu Kiranga: Nilikuwa sijasoma aliyoniachia hapo juu nilipokuwa ninakujibu wewe.

Mwambie hivi, nitaendelea sana kuwa ninamsoma yeye, pamoja na yeye kukataa fursa toka kwangu. Mwambie siandiki humu kumfurahisha yeye. Maadam JF itaendelea kuwa ni mahali pa kila mtu kuweka mawazo yake huru, basi kugoma kwake hakuna hasara yoyote kwangu.
Tafadhali mfikishie ujumbe huo.
 
Fucktard idiot troll.

I can't waste my shells on your ignorant ass.

Go to my ignore list already.

I'm not gonna see any more of your bullshit posts.
EeenHeeeee!

Pole sana mkuu Kiranga.

Mwanzo nilidhani una nafuu kuliko Nyani Ngabu!

Hakuna taabu. Tutaendelea kuwa tunapishana vibega tu humu ndani, mradi JF liendelee kuwa jukwaa huru linalokusanya kila aina ya akili zilizomo nchini mwetu.
 
Back
Top Bottom