Zitto: CHADEMA walifanya makosa haya ndiyo maana Lowassa akawakimbia, sisi hatutayafanya kwa Membe

Zitto: CHADEMA walifanya makosa haya ndiyo maana Lowassa akawakimbia, sisi hatutayafanya kwa Membe

Hatuna muda kabisa wa cdm kujiunga na ACT chama cha mamluki
Ni mpinzani.
Acheni kulalamika miaka yote tunalalamika badala ya kukaaa vyama vyote na kuamua mgombea, bila muungano wa vyama vyote kusimamisha mgombea mmoja ni kupoteza muda kudhani ccm mtaishinda.
 
Inakuwaje leo hii Zitto ahitaji sana kuungana na cdm, cdm ambayo kwa sasa ina mtaji mkubwa sana wa wapiga kura?

Ilikuwaje mwaka 2015 Zitto hakuwa tayari kujiunga na wapinzani wenzao ili uitoa ccm madarakani?
Sawa lakini tunachosema Membe kuhamia upinzani July, 2020 na miezi mitatu baadaye apewe nafasi ya kupeperusha bendera ya upinzani kugombea Urais siyo sawa hata kidogo.
 
Ni dharau kwa wanachama waliotumia muda wao mwingi na pengine kuhatarisha maisha yao kwa ajili ya chama

Tukikumbuka ya Lowassa 2015, ndio mpaka leo CHADEMA ina changamoto nyingi maana alikirudisha chama nyuma
Hii ni mbinu chafu za ccm kila mwaka kumtoa kiongozi wao ili aonekane amefukuzwa au amehama ili aende upinzani ili kuudhoofisha
 
Misukule ni familia yako yoote
Kada La CCM limeanzisha Mada,

Special kwaajili ya "Kuyagonganisha Vichwa" Misukule ya Vyama halafu lenyewe limekaa kando lina SIP WINE.

Very stupid.

Tusubiri " Magu's Ubatizo wa Moto Part 2"

Kumbe Bado Hamjajitambua.
 
Act ni kikundi cha kufifisha upinzani hapa Tanzania, jaribuni kujiuliza namna ilivyo anzishwa na kipindi ilicho anzishwa
Kilizaliwa kipindi cha uchaguzi kikatulia kimeamka tena kipindi cha uchaguzi baada ya uchaguzi atabaki zitto na wale wanao nufaika na kuwepo kwake
 
Zitto analazimisha Vyombo vya habari vimuandike Membe,lakini aah wapi? Membe hauziki
 
Membe ni mtu mkubwa sana idarani na huko Act amekwenda kufanya kazi ya idara kwa uaminifu mkubwa

Zitto utakuja juta na chama chako chenye wanachama 6
Hakuna kitu kinachoniudhi nchi hii kama watu watu wa Idara, Wajeda, na mamwera kutumika kwa ajili ya chama! Hivi hawa ndio watawatetea wananchi kweli? Ni wazalendo wa Taifa au Chama?
 
Ni mistake kubwa sana nadhani kungekua na sheria ya kuwazuia kujihusisha na siasa
Hakuna kitu kinachoniudhi nchi hii kama watu watu wa Idara, Wajeda, na mamwera kutumika kwa ajili ya chama! Hivi hawa ndio watawatetea wananchi kweli? Ni wazalendo wa Taifa au Chama?
 
Ni mistake kubwa sana nadhani kungekua na sheria ya kuwazuia kujihusisha na siasa
Inaumiza sana kwa kweli watu ambao walitakiwa kuwa neutral lakini wanajidhihirisha kabisa kuwa upande fulani! Uzalendo utakuwepo kweli hapo?
 
Vyama pinzani bwana somo toka kwa Mzee Lowassa bado halijawaingia tu!!!
 
Back
Top Bottom