Zitto: CHADEMA walifanya makosa haya ndiyo maana Lowassa akawakimbia, sisi hatutayafanya kwa Membe

Zitto: CHADEMA walifanya makosa haya ndiyo maana Lowassa akawakimbia, sisi hatutayafanya kwa Membe

Membe ni mtu mkubwa sana idarani na huko Act amekwenda kufanya kazi ya idara kwa uaminifu mkubwa

Zitto utakuja juta na chama chako chenye wanachama 6
Hilo ndiyo issue itaimaliza ACT maana haina base imara ya wanachama ili wahimili hayo mawimbi
 
Zitto hafai kabisa maana ubinafsi umemjaa na matokeo yake yupo tayari hata kuuza siri za washindani wenzake kwa maadui wa upinzani.
Thank you [emoji1431] [emoji1420][emoji1420][emoji1420] Huyo Zitto kaanza kuongea ujinga ujinga Chadema wamuangalie kwa umakini mkubwa sana.
 
Wakati cdm ndiyo wanazidi kuimarika wewe unauliza kitu gani bhana? Cdm kwa sasa ndiyo ugonjwa unawaumiza ccm
Nyani Ngabu,

Zitto anataka kuinua chama chake kwa gharama yoyote kwa madhila aliyowatendea Lowasa na wahamiaji wenzake huko Chadema sioni kwama Chadema watarudia tena.
 
Labda washirikiane na TLP, NCCR, NLD, na upuuzi mwingine siyo cdm
Kabisa kabisa mkuu,na sasa hivi kila wakiongea Membe/Zitto ni lazima waseme inabidi kusimamisha mgombea mmoja.

Naona wana agenda yao wale.
 
Hilo ndiyo jambo la msingi, Zitto hana wapiga kura wa kuifanya cdm iwapigie magoti wana ACT.

Cdm wakifanya huo ujinga ni afadhali watu tuwache siasa tukalime tu
Zitto anajua fika kwamba Bara Chadema ni more popular kuliko chama chake lakini anafanya juu chini kutaka Membe ndiye awe mgombea wa Upinzani. Chadema wasikubali upuuzi wake. Anataka kuweka mgombea mmoja basi ni Lissu tu na si Membe.
 
Ni haki yake kutaka chama chake kiwe juu lkn kwa cdm ni kubwa kuliko act ya Zitto
ZZK atakubalije Lissu awe mgombea urais vyama vya upinzani? Yeye anataka Membe lazima Chadema ionekane iko chini na ACT iko juuuu!!!!1
 
Labda atawapat wanachama wa kutoka mwandiga tu
Uko sawa kabisa ndiyo madhumuni yake hayo kuonyesha chama chake ni zaidi ya Chadema ili imsaidie pia kuongeza idadi ya wanachama.
 
Nyani Ngabu hakuanzisha haya maneno bali yametokea mdomoni mwa Zitto kabwe hapo hakuna cha kumtupia sifa au lawama mleta uzi.

Cdm haina haja ya kuungana na watu mamluki kama kina Zitto na kundi lake.
Yaani ninavyowajua wafuasi wa Mwamba (Mbowe) watalikuza hili jambo kupita kiasi. Na linaweza chochea vita kubwa sana kati ya Chademana ACT na kuondoa uwezekano wa kuungana kwenye uchaguzi huu. Hapo Nyani Ngabu (the Sukuma Genious) atakuwa amefanikiwa sana kufanya 'divide and rule'. Na CCM itapita katikati kiulanii. CCM Hoyee.....
 
Hakuna mtu wa kuungana na ACT, Zitto ni state agent tunamjua fika.

Watanzania tunataka upinzani wa ukweli ili kutetea maslahi ya wananchi wetu
Watazania kama tunataka mabadiliko tusipende sana kubeza jitihada za vyama vya upinzani, nashangaa upinzani kwa upinzani kubezana , hivi upinzani kuna nani ambaye anakubalika zaidi au anaweza kushindana na membe? ni wakati wa vyama vya upinzani kuungana na kusahau uchama wenu, mnabeza je juhudi za ACT wazalendo? unganeni mpitishe mgombea mmoja.
 
Act ni kikundi cha kufifisha upinzani hapa Tanzania, jaribuni kujiuliza namna ilivyo anzishwa na kipindi ilicho anzishwa
Tatizo la ACT wamekusanyana woote ni wasaliti ebu angalia historia yao:

1. Maalim alisaliti "Lumumba" Baba wa Taifa akumuweka Pembeni...akakimbilia kwao zbr.
2. Zitto alitaka kusaliti na kumpindua Mwenyekiti wake tena kwa ila na ghiliba wakamstukia mapema wakamtimua
3. Membe alitaka kumuondoa madarakani mwenyekiti wake akawahiwa..akatimuliwa
4. Saed Kubenea na wenzake walitaka kuiga matendo ya Zitto alipokuwa Chadema wakawahiwa ni kupewa adhabu kali ikiwa ni pamoja na "kutengwa"..wenzake wameshatangulia vyama vingine vya upinzani alikuwa anasubiriwa yeyeye..e.t,c

Sasa 1. Msaliti+2.Msaliti+3.Msaliti+Msaliti= MTAJAZA WENYEWE MAJIBU
 
Back
Top Bottom