Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
Unataka kusema Zitto nae ni mtu wa idara? zitto juniorKwani Zitto ni mtu mdogo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka kusema Zitto nae ni mtu wa idara? zitto juniorKwani Zitto ni mtu mdogo?
ZZK atakubalije Lissu awe mgombea urais vyama vya upinzani? Yeye anataka Membe lazima Chadema ionekane iko chini na ACT iko juuuu!!!!1Zitto anajua fika kwamba Bara Chadema ni more popular kuliko chama chake lakini anafanya juu chini kutaka Membe ndiye awe mgombea wa Upinzani. Chadema wasikubali upuuzi wake. Anataka kuweka mgombea mmoja basi ni Lissu tu na si Membe.
ZZK atakubalije Lissu awe mgombea urais vyama vya upinzani? Yeye anataka Membe lazima Chadema ionekane iko chini na ACT iko juuuu!!!!1
Wewe unamuona Membe kuwa ni mpinzani kweli?Watazania kama tunataka mabadiliko tusipende sana kubeza jitihada za vyama vya upinzani, nashangaa upinzani kwa upinzani kubezana , hivi upinzani kuna nani ambaye anakubalika zaidi au anaweza kushindana na membe? ni wakati wa vyama vya upinzani kuungana na kusahau uchama wenu, mnabeza je juhudi za ACT wazalendo? unganeni mpitishe mgombea mmoja.
Hahahah yaani kweli kabisa Chama ambacho watu wake maarufu ni wawili tu Zitto na Baba Levoo ndio kiwe zaidi ya Chadema?Uko sawa kabisa ndiyo madhumuni yake hayo kuonyesha chama chake ni zaidi ya Chadema ili imsaidie pia kuongeza idadi ya wanachama.
Membe atakula aliko peleka mboga mzee baba.Watazania kama tunataka mabadiliko tusipende sana kubeza jitihada za vyama vya upinzani, nashangaa upinzani kwa upinzani kubezana , hivi upinzani kuna nani ambaye anakubalika zaidi au anaweza kushindana na membe? ni wakati wa vyama vya upinzani kuungana na kusahau uchama wenu, mnabeza je juhudi za ACT wazalendo? unganeni mpitishe mgombea mmoja.
Teh teh Teh Ngosha upo vizuri kwenye kuchochea kuni....CCM hoyeeWewe unamuona Membe kuwa ni mpinzani kweli?
Membe atakula aliko peleka mboga mzee baba.
You can repeat the same statements a million times [emoji1420][emoji1420][emoji1420]
Ni mpinzani.
Acheni kulalamika miaka yote tunalalamika badala ya kukaaa vyama vyote na kuamua mgombea, bila muungano wa vyama vyote kusimamisha mgombea mmoja ni kupoteza muda kudhani ccm mtaishinda.
Membe wakati akiwa mnufaika wa mfumo wa CCM aliwahi kweli kuhoji kuhusu u huru wa tume ya uchaguzi?
Au kaanza majuzi hapa baada ya kutimuliwa?
Sawa lakini tunachosema Membe kuhamia upinzani July, 2020 na miezi mitatu baadaye apewe nafasi ya kupeperusha bendera ya upinzani kugombea Urais siyo sawa hata kidogo.
Time will tell, Membe sio wakumwamini, tena kwa kumpa nafasi ya kugombea kiti cha urais, alitakiwa abaki kama mwanachama if he really wanted to be in opposition side
Nimemsikiliza Zitto na sababu yake/ zake kwanini suala la Membe kuhamia kwenye chama chake halitokuwa kama ilivyokuwa kwa CHADEMA na Lowassa na Sumaye na wengineo.
Sababu zake kuu ni kwamba hao waliohamia CHADEMA kipindi kile hawakujiona au hawakuonekana kuwa ni sehemu ya ‘movement’.
Pia, eti hawakujiona au kuonekana kuwa walikuwa ni sehemu ya ‘familia’ ya CHADEMA.
Muda utazungumza tu. Ila Zitto inabidi awe mwangalifu na uchaguzi wa maneno yake.
Kwenye hili nadhani Bw. Zitto anaathiriwa na kuwa ‘prisoner of the moment’.
Natumaini yeye na ACT yake watakuwa na mipango baada ya uchaguzi ujao baada ya kushindwa.
Maana ushindi huwaunganisha watu na ushindwaji hugawanyisha.