Nimeshakwambia na nakwambia tena, hujui unachoandika unaleta ubishi wa kitoto tu.
- Zitto kukutana na JK usiku akiulizwa anasema JK ni sawa na baba yake halafu mchana anautaka uenyekiti wa CDM haikuwa hearsay.
- Baada ya kuona haaminiwi, akaanzisha mkakati wa kumpindua Mbowe uliokuja kujulikana baadae mpaka wakafukuzwa na wenzake kina Kitila nayo haikuwa hearsay.
- Zitto kutamka awamu hii hatakuwa anapinga haikuwa hearsay, ni kauli yake.
- Zitto kusema ianze Tume Huru badala ya Katiba Mpya baada ya Samia kusema Katiba Mpya isubiri kwa wenye akili timamu walijua Zitto anamaanisha nini, nayo haikuwa hearsay, labda wewe kiazi ndio hukuelewa.
So, usiniletee ligi ya kitoto hapa katafute wa saizi yako ucheze nao. Zitto ni tapeli.