Zitto hana chama, chama ni cha Wapemba na wafuasi wa Maalimu Seif

Zitto hana chama, chama ni cha Wapemba na wafuasi wa Maalimu Seif

Acheni maneno cdm jengeni ofisi mnatuchangisha sana aisee wafuwasi wenu sio wajinga acheni mapambio
 
ACT - Wazalendo haina wanachama wala jengo la ofisi inalomiliki Bara. ACT inategemea nguvu ya wanachama kutoka Zanzibar wengi wakiwa ni wale waliokuwa wafuasi wa CUF- Maalimu Seif.

ACT -Wazalendo haina Jengo la Chama kwa maana ya umiliki, jengo walilopewa na Maalimu Seif Foundation ni lile walilokuwa wanatumia waliokuwa Wabunge watiifu wa Maalimu Seif, linamilikiwa na familia ya Seif.

ACT Wazalendo haina mtandao Bara mtandao wake uko Zanzibar. Kwa mtu makini ataelewa hapa mwenye nguvu ya chama ni nani kati ya Zitto, Wazanzibari na familia ya Seif.

Siku wenye chama chao wakiamua kuondoka na jengo lao chama kitakufa Zitto atabaki na makaratasi ya Msajili wa vyama vya siasa tu. Jifunze kutoka kwa Lipumba na CUF yake.

Najua wafuasi wa Zitto hawapendi kusikia haya lkn, Ukweli ndio huo.

Zitto and others, Keep this short Thread you will thank me later.
Zzk anachojali kwa sasa ni kusukuma siku huku akisikilizia kutoka kwa waajili wake lumumba.
 
Nyepesi Nyepesi, ofisi ya bwana yule "ALIYEJITEKA" kilikuwa chumba cha SINDNO...
Hahaa inawezekana maana nyumba hiyo ilikuwa hospitali ya Mikumi.

74562C68-C61E-4E4C-85EE-12387A4D5606.jpeg
 
ACT - Wazalendo haina wanachama wala jengo la ofisi inalomiliki Bara. ACT inategemea nguvu ya wanachama kutoka Zanzibar wengi wakiwa ni wale waliokuwa wafuasi wa CUF- Maalimu Seif.

ACT -Wazalendo haina Jengo la Chama kwa maana ya umiliki, jengo walilopewa na Maalimu Seif Foundation ni lile walilokuwa wanatumia waliokuwa Wabunge watiifu wa Maalimu Seif, linamilikiwa na familia ya Seif.

ACT Wazalendo haina mtandao Bara mtandao wake uko Zanzibar. Kwa mtu makini ataelewa hapa mwenye nguvu ya chama ni nani kati ya Zitto, Wazanzibari na familia ya Seif.

Siku wenye chama chao wakiamua kuondoka na jengo lao chama kitakufa Zitto atabaki na makaratasi ya Msajili wa vyama vya siasa tu. Jifunze kutoka kwa Lipumba na CUF yake.

Najua wafuasi wa Zitto hawapendi kusikia haya lkn, Ukweli ndio huo.

Zitto and others, Keep this short Thread you will thank me later.
huu ni ukweli mchungu ambao hata zitto wenyewr hatotaka kuhusikia
 
Nyepesi nyepesi ofisi ya bwana "ruyagwa" ilikuwa maabara ya kupima (POOP)
 
Kwanza naona mleta mada na Baadhi ya wachangiaji kama wameanzisha huu uzi kutoa stress zao.

Ukiacha lugha za chuki kwa Zitto. Kilicho muhimu ni kujua namna ya kwenda na wazanzibari.

Hakuna chama chochote Tanzania hii ambacho hakitamani kupendwa na Wazanzibari. Si chama tawala wala Upinzani.

Mara ngapi CCM kinajaribu kutumia ushawishi wake ili kipendwe hiki ni chama Tawala.
Sikwambii Chadema na vyengine. Kule kuna malengo ya kisiasa na kuna ajenda za kudumu za kufanya siasa kuwa hai.

Nampongeza Zitto na Wenzake kwa kuona fursa cha msingi ni kujua namna za kuitumia ili kujenga mtandao wa chama mkubwa bara na visiwani. Unapozungumzia Wazanzibari (mnawaita wapemba) wameenea kote nchini na ni wafuasi wazuri wa kile wanachokiamini hawa ukiwachanganya na wanachama wengine wa huko Bara unapata ulezi na msingi mzuri wa mashina na ngome za chama. Hii ilikuwa siri ya CUF ambayo imekosa hio imani kwa sasa.

Kuna mtaji mwengine wa Elite walioko nje na wafanyabiasdhara . Wazanzibari wameeneo kila kona ya Dunia kutokana na historia yao ya visiwa.

Ushauri kwa akina Mh Zitto na wengine.

Tulizeni akili mjue vya kwenda na Wazanzibari ili mfikie malengo yenu. Kuna watu wanaitaka bahati hio hawajaipata kabisa. Zanzibar ndicho kitovu cha hamasa cha siasa za Tanzania na Mabadiliko kutokana na ajenda za kudumu za kimuungano na usawa, Uzalendo wa kiinchi na kujitawala, fursa za kiuchumi na ndoto za maendeleo ya ulimwengu ulivyo. Kule kuna kinyanganyiro (scramble) cha kuvutia mabwana wakubwa wa dunia kutokana na nafasi ya kijiografia ya Zanzibar. Zanzibar nafasi yake ipo kimkakati mno na ndio maana bila kuidhibiti Zanzibar unakosa utulivu wa kila kitu ki nchi. Sehemu kama hio ukawa na majority supporters inakuwa umeula kisiasa licha ya udogo wake na idadi ndogo ya watu.

Niishie hapo tu lakini Mh Zitto na wenzako jitahidinbi msikosee kama Lipumba. Kule wakishakosa imani nawe hutoboi. iulizeni CCM.

Nawasilisha
Zito hana lengo lolote zaidi ya kutumikia malengo ya ccm ambayo ni kuvuruga cdm.

Zito ni kibaraka wa ccm..kumbuka sikio haliwezi zidi kichwa.

Hao wapemba wameingia mkenge wenyewe..na ndio wanaenda kumalizwa kisiasa kama wasiposhitukia mchezo mapema.

Zito hana lengo la kupeleka chama chochote ikulu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Toka enzi za mwenda zake hata aongee vipi wala hawana habari naye kifupi hana "MADHARA".....
 
Namkumbuka rafiki yangu James Mapalala baada ya kudhulumiwa CUF alianzisha CHAUSTA alihangaika sana hadi kifo chake.

Siasa ni ngumu sana.

NDIO UFAHAMU KUWA CUF HAIKUWA YA MAPALALA BALI ILIKUA YA MAALIM SEIF.

MAPALALA ALIPOFUKUZWA CUF CHAMA HAKIKUTETEREKA BALI YEYE ALIPOTEA KWENYE RAMANI YA SIASA.
MAALIM SEIF ALIPONYANG'NYWA CUF CHAMA KILIKUFA KABISA NAYEYE AKAENDELEA KUTAMBA KWENYE SIASA MPAKA UMAUTI WAKE.
 
Siasa zetu za kuchaguana kwa kuangalia sura na mengineyo haziwezi kumfanya Zitto aachiwe makaratasi ya msajili.

Naona huyu ana bahati ya kuachiwa urithi wa wafuasi wa Maalim Seif, hivyo ataendelea kutembea nao mpaka pale naye atakapomuachia kiongozi mwingine huo urithi.

Ujanja wake wote utamalizika siku akikosana na Ismail Jussa. Ismail Jussa ndio alnaeliongoza kundi la Maalim Seif.
 
Quinine NAOMBA NIKUITE AKILI KUBWA. Umeleta hoja mbayo si rahisi mtu kuifikiria. Kwa wazazibari, hakuna chama kinaitwa ACT , Kiichojengwa kwenye mioyo yao ni chama kinaitwa "CUF_ MAALIM SEIF". Wao belief yao ni hiyo.

Kwa uzandiki wa Magufuli na Lipumba, akaiua CUF na Wazazibar wakabaki bila chama cha kuwaunganisha . Wafanyeje na walijua wakianzisha chama hakiwezi kusajiliwa. JISHIKIZE KWA ACT cum Zito.

Hivyo Zito Zanzibar hana chama wala wafuasi wa ROHONI, wanajishikiza... na bara hawa wafuasi. It is a matter of time when it is ripe to have their own identity cemented on the foundation of Maalim Seif.

Zito kwa Zanzibar anabebwa may be na dini! mwenzetu huyu katika Imani....

Wameanzisha Maalim Seif foundation, nahisi hio ndio inasimamia kila kitu, usishangae hilo jengo likawa linamilikiwa na hio Taasisi ya Maalim Seif Foundation.
 
Back
Top Bottom