Zitto hana chama, chama ni cha Wapemba na wafuasi wa Maalimu Seif

Acheni maneno cdm jengeni ofisi mnatuchangisha sana aisee wafuwasi wenu sio wajinga acheni mapambio
 
Zzk anachojali kwa sasa ni kusukuma siku huku akisikilizia kutoka kwa waajili wake lumumba.
 
Uko sahihi, kulikuwa hakuna haja ya kutangaza uongo kuwa wamekenga na kuusambaza kwa vyombo vya habari, hawajui uongo kidogo tu unaweza kuondoa trust ya wanachama kwa chama.
Upo sawa kabisa
 
huu ni ukweli mchungu ambao hata zitto wenyewr hatotaka kuhusikia
 
Nyepesi nyepesi ofisi ya bwana "ruyagwa" ilikuwa maabara ya kupima (POOP)
 
Zito hana lengo lolote zaidi ya kutumikia malengo ya ccm ambayo ni kuvuruga cdm.

Zito ni kibaraka wa ccm..kumbuka sikio haliwezi zidi kichwa.

Hao wapemba wameingia mkenge wenyewe..na ndio wanaenda kumalizwa kisiasa kama wasiposhitukia mchezo mapema.

Zito hana lengo la kupeleka chama chochote ikulu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Toka enzi za mwenda zake hata aongee vipi wala hawana habari naye kifupi hana "MADHARA".....
 
Namkumbuka rafiki yangu James Mapalala baada ya kudhulumiwa CUF alianzisha CHAUSTA alihangaika sana hadi kifo chake.

Siasa ni ngumu sana.

NDIO UFAHAMU KUWA CUF HAIKUWA YA MAPALALA BALI ILIKUA YA MAALIM SEIF.

MAPALALA ALIPOFUKUZWA CUF CHAMA HAKIKUTETEREKA BALI YEYE ALIPOTEA KWENYE RAMANI YA SIASA.
MAALIM SEIF ALIPONYANG'NYWA CUF CHAMA KILIKUFA KABISA NAYEYE AKAENDELEA KUTAMBA KWENYE SIASA MPAKA UMAUTI WAKE.
 

Ujanja wake wote utamalizika siku akikosana na Ismail Jussa. Ismail Jussa ndio alnaeliongoza kundi la Maalim Seif.
 

Wameanzisha Maalim Seif foundation, nahisi hio ndio inasimamia kila kitu, usishangae hilo jengo likawa linamilikiwa na hio Taasisi ya Maalim Seif Foundation.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…