Zitto Kabwe: ACT sio chama cha kupiga kelele na kubwabwaja-bwabwaja, tutashiriki uchaguzi hata kama hakuna Katiba mpya

Zitto Kabwe: ACT sio chama cha kupiga kelele na kubwabwaja-bwabwaja, tutashiriki uchaguzi hata kama hakuna Katiba mpya

Zitto amekuwa akitumiwa na Tiss kwa muda mrefu sasa kuua upinzani na hilo liko wazi na utakuta tayari ameshaahidiwa viti kadhaa bungeni ili asigomee uchaguzi.

Watanzania wote wanajua fika kwamba nchi yao haina uwezo wa kuandaa uchaguzi huru na wa haki na ni wazi kama Chadema haitashiriki kwenye uchaguzi basi hakutakuwa na uchaguzi na hali itakuwa mbaya kuliko ya mwaka 2020.

Tanzania kama jeshi haliwezi kuingilia kati na kumaliza uhuni unaofanywa na ccm basi tutaendelea tu kuwa "Cannon Fodder" wa ccm daima na laiti kama nchi yetu ingekuwa iko Afrika Magharibi sasa hivi hii ccm ingeishabaki historia tu.
 
Umeandika nini? Lazima utaje uislam. Kwa taarifa yako uislam zaidi ya kabila. Uislam first priority hayo mengine baadae. Ukifa utaulizwa ulikua Chama gani? Utaulizwa Soma kifungu cha katiba? Maswali utaulizwa haya
1. Nani kiongozi wako- Mtume Muhammad S.A.W
2. Kipi kitabu chako'- Quran tukufu
3. Nani ndugu yako- muislam
Ukitaja sijui kiongozi wangu Letanyahu, kitabu chako ni katiba
Ndugu yako mwenye kadi moja ya Chama hapo utakuwa umeangamia na utakiona chamte makuni
Ukimuona mwanamke wa kiislam hata Hijab havai anaogopa watu huyo hajielewi

Ukimuona muislam haswali kwa kuhofu mtu huyo ashapata hasara
Muislam utembee kifua mbele . Ndio dini ya haki na ukifa ukiwa muislam umefaulu
AU NIMEKOSEA WADAU?

Upo brainwashed to the max,beyond repair.
 
Hakuna mtu mwenye akili timamu akamuamini zito na act wazalendo,hao ni matawi ya ccm kama ilivyo uwt na bakwata.

Chama kama act wazalendo ndio vyama vinavyotumiwa na ccm kuua nguvu ya upinzani.
 
"pale st.peters Kuna watu watafanya juhudi Ili ku delay upatikanaji wa katiba mpya kwa maslahi ya wakubwa,watakaushwa kimya kimya,na watafanya too late ya mama isiwe beyond mwakani" comment ya Tumia akili kwenye Uzi wake wa operation imesitishwa the state wamesema apewe muda!



"Uchaguzi wa 2024usubiri hadi katiba mpya ipatikane!! Tumia akili!

"Niguse ninuke"!!
 
Ukifa utaulizwa ulikua Chama gani? Utaulizwa Soma kifungu cha katiba? Maswali utaulizwa haya
1. Nani kiongozi wako- Mtume Muhammad S.A.W
2. Kipi kitabu chako'- Quran tukufu
3. Nani ndugu yako- muislam
Kwa hiyo ukitimiza hayo matatu ni sawa tu hata kama ulikuwa mwizi, muuaji, muasherati, mlevi, nk ?!
 
“Tunajiandaa na uchaguzi, tutashiriki chaguzi zote zinazokuja (2024, 2025) katika mazingira yoyote, miaka hii mitatu ya kukaa na Bunge la Chama kimoja tumeshuhudia masuala ya Wananchi hayajadiliwi ndani ya Bunge, hatuwezi kumuacha Nguruwe kwenye shamba la mihogo atamaliza mihogo yote shambani.

Tutashiriki ndani ya Bunge tupate wawakilishi ndani ya Bunge ili yale ambayo Watanzania wanayataka yanapatikana, hatutasusa.”
Naunga mkono hoja!, namuunga mkono Zitto Kabwe kwa asilimia 100% chini ya 100!. Ukisikia politics of engagement, politics of pragmatism ndio hizi.
View: https://youtu.be/RPpcwlnNJ0A?si=1-u4xg31HwPTjGtT
P
 
Maswali utaulizwa haya
1. Nani kiongozi wako- Mtume Muhammad S.A.W
2. Kipi kitabu chako'- Quran tukufu
3. Nani ndugu yako- muislam
- NukuuAma kwa hakika ulevi wa imani za kidini ni zaidi ya ule wa bange!
🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom