Zitto Kabwe: ACT sio chama cha kupiga kelele na kubwabwaja-bwabwaja, tutashiriki uchaguzi hata kama hakuna Katiba mpya

Duuuh!eti "...kwanza si rafiki yangu na wala sina mazoea naye, sijawasiliana naye tangu aondolewe kwenye nafasi yake ili kumfariji na sitafanya hivyo."
Huyu bwanamdogo Uchawi umemharibia kila kitu.
 
Kauli hii inathubitisha wazi kuwa aliingilia....

He is stupid fellow anayejiona mwerevu
 
Huyo ndio mwanasiasa sasa, sio wale waropokaji, wapingaji kila kitu hata kama kina tija kwenye taifa.

Mwaka nikiamua kupiga kura, basi nitaipigia ACT wazalendo.
 
Udini, udini, udini.
Mutaacha lini hiliswala?
Mbona Dr Slaa kipindi cha mwenda zake alikua kimya na ubalozi juu alilamba. Je, nae alikua akimkingia kifua mkatoliki mwenzake?

Huko makanisani munafundishwa chuki tu juu ya Waislam, hamna lolote.
 
Ukifa ukiwa muilsmau moja kwa moja motoni mana Allah siyo mungu ni kitu kingine kabisa. Tubuni na kuiamni injili na yesu alisema yeye ndiye njia ukweli na Uzima mtu hatokuja kwa baba ispokuwa kwa njia yake
 
Zitto namkubali sana siku zote ni mtu wa kujenga hoja, habwabwaji, Chadema wanamchukulia Tundu Lissu kama ndio msemaji wao wa mwisho na analoongea hawezi kupingwa hata mbowe anamuogopa Lissu, nimefurahi Zitto alipohoji kwani Tundu Lissu ni nani?

Chadema sasa ndio tunaweza kuwaita CCM B, mbowe anashinda Ikulu muda wote na alitoka jela breki ya kwanza akatua Ikulu ndio kwenda kuona familia yake anaendeshwa na ccm kama pia, Tundu Lissu mpaka leo hajaongea walichoongea na Samia alipotembelewa kule Belgium

Viongozi wa chadema woote waliosaliti Chadema wote wamejiunga na CCM na wengine wana nafasi za juu za uwaziri na naibu mawaziri ndani ya CCM hakuna aliyetoka chadema akaenda chama kingine zaidi ya CCM
 
Hata ww huna utofauti na uliyemkosoa
 
Zitto kabwe ni kibaraka asiyeaminika! Sasa hivi, kwa vile rais ni mdini, Zitto lazima ajiunge naye kwa jina la kiislamu! Msaliti mkubwa na si wa kumuamini!
 
Tuache uongo, CHADEMA ni chama cha kipuuzi sana, hawana hoja, leo hii wanawaza wasusie uchaguzi wa 2024 na 2025, na wakijaribu hivyo basi wajue ndo story yao itakuwa imeisha, mana wanasiasa wengi wa upinzani ni wachumia tumbo (wataenda vyama vingine, either CCM au ACT, kisha CHADEMA itajizika, )

Wasithubutu kuacha kushiriki uchaguzi wa mwakani, kufanya hivyo ni kujizika
 
Hujui kitu ndio maana. Unaamka baa na unalala baa.

Ni watu wangapi watakaofufuliwa waishi mbinguni?​

Biblia inaonyesha kwamba watu 144,000 watafufuliwa waishi mbinguni. (Ufunuo 7:4)
Weye umo? Hawa si watu wa Mbagala tu?
Mbona hajamalizia Ni makabila 12 wa Israel ndo walionekana kwenye kitabu 😄😄😄
 
Moja ya Changamoto ya Chadema Ni kujitafutia maadui wasio wa lazima

Kuna haja ya gani ya kushindana na vyama vingine vya upinzani na kuwaita majina ya ajabu
 
Kwa hiyo “mungu” wenu atakuwa anauliza jina la kitabu na mtume wako ili uende mbinguni? Inachekesha
Sio kuchekesha tu zaidi inasikitisha kuendeleza utumwa wa dini za majahazi na biashara za kidini za watu, huku ukiacha asili yako, hata hiyo mbingu na moto havipo.
 
Zito mnafiki saaana Huyo,,alimtukana Sana Magufuri,,, Hana jipya.zito Huwezi Kuwa Kiongozi mzuri Ana elementi za Udini.
Zitto ni mshirikina wa kutupwa.
Sasa mnaposema Zitto ni mdini,kuna dini gani inaruhusu ushirikina!!??
 
Kwahio kama wana Kero au jambo la kusema wanatumia njia gani zaidi ya kupiga kelele na kubwabwaja ? (Kuna njia mbadala)?
 
Pamoja na kuwa watanzania walio wengi hatupendi siasa za kubwabwaja bwabwaja bado ni ngumu kumuami i mpinzani kutoka chama chochote kwa sasa maana huwa wanabadilika badilika kutokana na Raisi aliyepo wao hawaendeshwi na sera wanategemea matukio.
 
Huu unijinga unaongea kama umekatwa kichwa yeye kaweka madazake pambana nahoja sio imani yake wakati wakikwete nizito ndioaliokuwa nahoja nzito kwanza akisimama bunge linasikia hoja ikapelekea waziri mkuu kutoka tuishi kwakumbukumbu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…