Inafahamika huna akili dadaMhe. Zito Kabwe ni Mzalendo wa kweli mwenye uchungu na kuipenda nchi yake kwa dhati ya moyo wake.
ACT ni chama ambacho nakikubali, chama cha siasa kinacho nadi sera mbadala kwa hoja sio matusi wala dhihaka kama walivyo Chadema na Nccr.
Siasa sio ugomvi wala uadui bali siasa ni kushawishi kwa hoja madhubuti.
vyama vingine vya upinzani viige mfano mzuri kutoka ACT
Kwa sasa ni kusifia na kuvunaSaiv yupo kwenye madili ya upigaji unadhani ataacha kuwa nao pamoja...magufuli mzee baba alibana upigaji Hadi akina zitto walipoteana ...
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo, Ndg. Zitto zuberi kabwe amesema chama hicho kitaunga mkono juhudi za serikali katika miradi mbalimbali ya maendeleo na amewataka wananchi na wanachama wa chama hicho, kuendelea kufuatilia kwa kina iliyotekelezwa ili kukamilika kwa wakati
Zito anaipenda kigoma awamu hii inaonesha kuifungua kigoma ugomvi wanini tena hapa nikuunga juhudi tu hatamimi nampongeza zito naunga mkono serekali pia serekali itukumbuke wavuvi tulifilisiwa kinyonge namwenda zake mama tutazame tuliozulumiwa na utawala ule sisi wavuvi kata yakalya (w) uvinzaHii ni mara ya sita anaongea kuhusu kuiunga mkono serikali hii nyizi na onevu kwa wananchi wake ,nikwamba anatafuta huruma ya mama apewe teuzi au?? Maana haeleweki.
Zitto anatapatapaKiongozi wa chama cha ACT Wazalendo, Ndg. Zitto zuberi kabwe amesema chama hicho kitaunga mkono juhudi za serikali katika miradi mbalimbali ya maendeleo na amewataka wananchi na wanachama wa chama hicho, kuendelea kufuatilia kwa kina iliyotekelezwa ili kukamilika kwa wakati
Anatafuta connection ili awe napakutokea.Ok tumemuelewa kuwa Zito tatizo lake ilikua Magufuli na sio yaliyokuwa yanafanyika.
Samia anafanya miradi ile ile ya Magufuli ambayo kipindi kile Zito alikua anaipinga ila sasa ameamua kuisupport.
Well hii tuite nini??
Lini chama chake kitashinda uchaguzi na kuunda Serikali kama ataendelea kuunga mkono juhudi ya chama kingine miaka miaka?!......Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo, Ndg. Zitto zuberi kabwe amesema chama hicho kitaunga mkono juhudi za serikali katika miradi mbalimbali ya maendeleo na amewataka wananchi na wanachama wa chama hicho, kuendelea kufuatilia kwa kina iliyotekelezwa ili kukamilika kwa wakati
Kupitia kuunga mkono juhudi hizo huenda ili akubalike na lolote linaweza kutokea na yeye kupata shavuLini chama chake kitashinda uchaguzi na kulinda Serikali kama ataendelea kuunga mkono juhudi ya chama kingine miaka miaka?!......
Tatizo hiloAnasikilizwa na yeye
Zitto anajiona amefikia level ya kuwa waziri wa fedha. Anachokitafuta ni uteuzi ili akaitumikie serikali.Hii ni mara ya sita anaongea kuhusu kuiunga mkono serikali hii nyizi na onevu kwa wananchi wake ,nikwamba anatafuta huruma ya mama apewe teuzi au?? Maana haeleweki.
Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo, Ndg. Zitto zuberi kabwe amesema chama hicho kitaunga mkono juhudi za serikali katika miradi mbalimbali ya maendeleo na amewataka wananchi na wanachama wa chama hicho, kuendelea kufuatilia kwa kina iliyotekelezwa ili kukamilika kwa wakati
Classic Zitto. Hapa insinuation ni kuwa kuna vyama ambavyo vinapinga juhudi za serikali katika miradi ya maendeleo. Kuwa kwa kusema, hebu ngoja kwanza tuangalie uratibu uliofuata kupatikana kwa hiyo miradi au kwa nini mradi huu wakati kuna mahitaji makubwa zaidi mengine ambayo yana umuhimu zaidi, n.k. ni kupinga juhudi za serikali kutokana na ubinafsi, sio uzalendo.Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo, Ndg. Zitto zuberi kabwe amesema chama hicho kitaunga mkono juhudi za serikali katika miradi mbalimbali ya maendeleo na amewataka wananchi na wanachama wa chama hicho, kuendelea kufuatilia kwa kina iliyotekelezwa ili kukamilika kwa wakati