Zitto Kabwe: ACT-Wazalendo itaunga mkono juhudi za Serikali

Zitto Kabwe: ACT-Wazalendo itaunga mkono juhudi za Serikali

Mtu anadiriki kusema anaunga mkono chochote watakachofanya CCM huyu sio mtu bali ni baradhuli na fedhuli.

CcM ni mafisadi na madhurato wasio na huruma na wananchi ndio kusema Zitto anaunga mkono ufedhuli na ubaradhuli wa CcM.

Rais na mwenyekiti wa CCM anabariki ufisadi illi watanzania waibiwe na kufanywa wa wajinga. Zitto anaunaga mkono.k
 
Imagine ingekuwa kipindi cha Magu then Mbowe yupo ndani....jamaa angeimba udikteta kuliko kawaida.

Leo mama yetu, mtu wetu yupo madarakani so hawezi kumkosoa, anaunga juhudi.
 
Tunamjua, ameshapokea pesa huyo na kule Zanzibar wanapokea pesa maana chama chake ndio wameunda serikali ya umoja Sasa huo umoja wao huwezi kuita yeye ni mpinzani.

Kimsingi anatetea ugali wake anaoshea na CCM kule Zanzibar.
 
Mtu anadiriki kusema anaunga mkono chochote watakachofanya CCM huyu sio mtu bali ni baradhuli na fedhuli.

CcM ni mafisadi na madhurato wasio na huruma na wananchi ndio kusema Zitto anaunga mkono ufedhuli na ubaradhuli wa CcM.

Rais na mwenyekiti wa CCM anabariki ufisadi illi watanzania waibiwe na kufanywa wa wajinga. Zitto anaunaga mkono.k
Daaah unamkana mwenzenu?

IMG_20211029_105959.jpg
 
Zito anafanya siasa za kuwaridhisha CCM ili apewe hisani na CCM ya kuwa chama kikuu cha upinzani. Siasa zake zote anazofanya sasa ni zile ambazo CCM huwa unataka zifanywe na CCM.

Kuna mzee mwingine nimemsikiliza jana Star TV kwenye kipindi cha medani za siasa, alikuwa mgombea wa kiti cha urais kupitia NCCR, anaitwa Yeremia Manganja. Aliwahi kuwa mwanachama wa ACT kisha wakahitilafiana akahamia NCCR, yeye anaponda vyama vyote vya upinzani, ila anasema haisemi CCM, kwani kwa mtazamo wake CCM iko sawa! Na anasema kuna vyama vingine vitaanzishwa kabla ya uchaguzi wa 2025 ambavyo vitafanya siasa zinazotakiwa na watanzania!
 
Hii ni mara ya sita anaongea kuhusu kuiunga mkono serikali hii nyizi na onevu kwa wananchi wake ,nikwamba anatafuta huruma ya mama apewe teuzi au?? Maana haeleweki.
Kuunga mkono juu ya miradi ya maendeleo inayofanywa na serikali ni jambo baya??!! 😱
 
Hivyo na sisi tuendelee kuunga mkono juhudi za serikali?

Licha ya tozo juu, bizaa kupanda bei, ukosefu wa ajira na mengine mengi?

Kama ndio ngoja tuendelee kuunga mkono juhudi za serikali
We elimu yenyewe huna yakutosha kuajiliwa,jiajili tu binti yangu,
 
Hahahaha Zitto bhana yani mpaka aseme kila siku yeye hakuna baya kwenye serikali maana inaongozwa na muislam mwenzetu
Pumbaf.kama huna chakuchangia pita kimya kimya comments za Aina hii hazina afya Kwa Taifa ohooo
 
Imagine ingekuwa kipindi cha Magu then Mbowe yupo ndani....jamaa angeimba udikteta kuliko kawaida.

Leo mama yetu, mtu wetu yupo madarakani so hawezi kumkosoa, anaunga juhudi.
Hivi hamkumbuki kwamba Mr Heavy ^Car-bwe^ alimwombea msamaha Mr Hai, lakini ninyi mkaishia kumguyuguza kwa maneno yenu ya vijembe shoka?
 
Ok tumemuelewa kuwa Zito tatizo lake ilikua Magufuli na sio yaliyokuwa yanafanyika.

Samia anafanya miradi ile ile ya Magufuli ambayo kipindi kile Zito alikua anaipinga ila sasa ameamua kuisupport.

Well hii tuite nini??
Tatizo la Zitto lilikuwa Magufuli! Baada ya Zitto kutegemea mlaji kutoka kwa Magufuli na akaukosa akawa adui yake! Pia kingine Magufuli ni mkristo na mama Samia muislam!
 
Pumbaf.kama huna chakuchangia pita kimya kimya comments za Aina hii hazina afya Kwa Taifa ohooo
Hazina afya ila inafahamika Zitto ni mdini na ACT wengi ni wavaa madera na doa jeusi usoni!
 
Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo, Ndg. Zitto zuberi kabwe amesema chama hicho kitaunga mkono juhudi za serikali katika miradi mbalimbali ya maendeleo na amewataka wananchi na wanachama wa chama hicho, kuendelea kufuatilia kwa kina iliyotekelezwa ili kukamilika kwa wakati
Kwani Zitto ni nani kwenye upinzani hadi uwataje wapinzani kwenye issue za huyo mwana ccm?
 
Hii ni mara ya sita anaongea kuhusu kuiunga mkono serikali hii nyizi na onevu kwa wananchi wake ,nikwamba anatafuta huruma ya mama apewe teuzi au?? Maana haeleweki.
Zitto ni zaidi ya mchumia tumbo mkubwa na hajawahi kuwa mpinzani kamwe.
 
Mhe. Zito Kabwe ni Mzalendo wa kweli mwenye uchungu na kuipenda nchi yake kwa dhati ya moyo wake.

ACT ni chama ambacho nakikubali, chama cha siasa kinacho nadi sera mbadala kwa hoja sio matusi wala dhihaka kama walivyo Chadema na Nccr...
Kama siasa suo uadui, Been Saanane Yuko wapi? Alipotezwa kwa sababu gani? (Kama sio siasa) Mawazo Alphonce Yuko wapi, aliuawa kwa sababu gani (kama sio siasa), Tundu Lissu alishambuliwa hadharani tena mbele ya CCTV camera, kwa kiburi na jeuri, sababu ilikuwa nini kama sio siasa?

Kuna orodha ndefu tu ya mambo ya kikatili yanayohusisha mauaji, utekaji na hata kufilisi watu kwa sababu ya siasa...

Zitto Zuberi Kabwe, anacheza na upepo tu kujihakikishia ugali wake, hana siasa zozote zenye Nia thabiti ya kupambana na mfumo kandamizi chini ya tawala zilizopo, anakuwa mkali pale yanapoguswa maslahi yake...
 
Back
Top Bottom