Mokaze
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 14,370
- 14,929
Taarifa za CAG zilikuwa zinachachuliwa, machafu mengi yalifichwa na hivyo hakukuwa na UWAZI.unaposema taarifa ya CAG imewekwa wazi kipindi hiki tu,nako nikuendeleza chuki ulizozikataza mwenyewe.wakati taarifa za CAG zimewekwa wazi mwaka hadi mwaka labda kama kwa hisia zako ulikuwa hukubaliani nazo....
"Kwanini tusihisi kuwa kuna mtu mnahitaji awasikie ili awatunuku zawadi fulani kwa kuonyesha mnamuunga mkono?"---- hiyo kauli yako kama ulivyosema wewe mwenyewe ni "HISIA" zako tu, Kila mtu anaweza kuhisi kama jinsi mimi nanavyokuhisi wewe kwamba unaendeshwa na Chuki zisizo na msingi dhidi ya Rais Samia na Zitto na hii ni kutokana na kauli zako dhidi yao.
"We can't be driven and moved by speculations, realities make a move"