Zitto Kabwe: ACT-Wazalendo itaunga mkono juhudi za Serikali

Zitto Kabwe: ACT-Wazalendo itaunga mkono juhudi za Serikali

Hivyo na sisi tuendelee kuunga mkono juhudi za serikali?

Licha ya tozo juu, bizaa kupanda bei, ukosefu wa ajira na mengine mengi?

Kama ndio ngoja tuendelee kuunga mkono juhudi za serikali
Utaunga pekee yako
 
Zitto anajiona amefikia level ya kuwa waziri wa fedha. Anachokitafuta ni uteuzi ili akaitumikie serikali.

Kwa hatua aliyofikia anaweza kuwatelekeza wenzake kwenye chama akakimbilia CCM ili akaonje zile za kujipimia na zile za kupiga kwa urefu wa kamba.

God save our country.
Huyu dogo bora cdm walimtema mapema ni kandumilikuwili ka waziwazi na sio kujificha.
 
Kuunga mkono juu ya miradi ya maendeleo inayofanywa na serikali ni jambo baya??!! [emoji33]
Akosowe na maovu ya chifu hangaya na ccm kwa ujumla ,kwenye jambo zuri lazima tuunge mkono, lakini kwenye upumbavu tuunge mkono ili iweje!?
 
Hazina afya ila inafahamika Zitto ni mdini na ACT wengi ni wavaa madera na doa jeusi usoni!
Kuchi mnazozipata athari zake NI kubwa kwenu nyinyi mmezoea na mmekaririshwa kwamba UISLAM NI UDUNI hivyo mkiiona jamii Yao inastawi roho zinawauma mtakufa Kwa vihoro na njia Bora ya kukuumizeni ni Kwa wao kupiga hatua Zaid za kimaendeleo.

Any way ushamnunulia mpenz wako zile chupi zilizochapishwa picha ya mchungaji wenu??
 
Ungeniambia ni mwanatawi la ccm tungeenda sawa.
Bora Zitto anaye toa mawazo ya kuijenga Nchi yetu Kuliko Chadema ambao wao kila kukicha wanaionbea Nchi ipate majanga.
Wafuasi wa Mboe/Chadema wao Furaha yao ni kuona Nchi yetu ikiwa na matatizo, migogoro, maradhi, majanga,Vifo, uchumi unaporomoka, hakuna maendeleo, njaa, yakitokea mambo kati ya hayo utaona Chadema/wafuasi wa mboe wanashangilia kabisaaaa bila hata aibu!!
 
Bora Zitto anaye toa mawazo ya kuijenga Nchi yetu Kuliko Chadema ambao wao kila kukicha wanaionbea Nchi ipate majanga.
Kwa mujibu wa wewe, wazalendo maslahi ndio rafiki zako kwakuwa ni mmoja wao, ila wazalendo wa kweli ni maadui zako
 
This Zito is stupid. Kwa vile Ni muislamu mwenzake, Basi haoni tatizo na serikali hii ya maonevu. Ulaaniwe Zito
 
Kuunga mkono juu ya miradi ya maendeleo inayofanywa na serikali ni jambo baya??!! [emoji33]
kuunga mkono juu ya miradi ya maendeleo ni jambo jema. Inawezekana watu wengi wanatilia shaka uungaji mkono huu wa sasa, kwa kuwa miradi karibu yote inayofanywa sasa ni ile iliyoachwa na awamu ya 5, na wewe ni shahidi kuwa zito alipinga karibia kila mradi wa serikali kipindi kile,ila alivosikia Rais wa sasa anasema atafanya kazi na wapinzani basi anaunga mkono hadi maovu
 
Akosowe na maovu ya chifu hangaya na ccm kwa ujumla ,kwenye jambo zuri lazima tuunge mkono, lakini kwenye upumbavu tuunge mkono ili iweje!?
Kuunga mkono Miradi ya maendeleo ni jambo la kipumbavu?!! --- kumbuka hapa mada ni miradi ya maendeleo na Zitto hajasema tuunge mkono katika mambo ya "kipumbavu".

Ndg. @Zitto zuberi kabwe amesema chama hicho kitaunga mkono juhudi za serikali katika miradi mbalimbali ya maendeleo
 
Zito ni miongoni mwa wabunge wachache wa upinzani watakao rudi bungeni kama zawadi kutoka kwa Chif Hangaya.
 
Bora Zitto anaye toa mawazo ya kuijenga Nchi yetu Kuliko Chadema ambao wao kila kukicha wanaionbea Nchi ipate majanga.
Wafuasi wa Mboe/Chadema wao Furaha yao ni kuona Nchi yetu ikiwa na matatizo, migogoro, maradhi, majanga,Vifo, uchumi unaporomoka, hakuna maendeleo, njaa, yakitokea mambo kati ya hayo utaona Chadema/wafuasi wa mboe wanashangilia kabisaaaa bila hata aibu!!
Vipi kuhusu waletao mengi ya majanga hayo kwa taifa?
 
kuunga mkono juu ya miradi ya maendeleo ni jambo jema. Inawezekana watu wengi wanatilia shaka uungaji mkono huu wa sasa, kwa kuwa miradi karibu yote inayofanywa sasa ni ile iliyoachwa na awamu ya 5, na wewe ni shahidi kuwa zito alipinga karibia kila mradi wa serikali kipindi kile,ila alivosikia Rais wa sasa anasema atafanya kazi na wapinzani basi anaunga mkono hadi maovu
Ni Maovu yapi ya Serikali ya CCM Zitto anayaunga mkono??!---- "mnyonge mnyongeni lakini haki zake mpeni".

Kweli miradi hii mikubwa ilianzishwa na Magufuli lakini usisahau kuwa huyo Samia ndiye alikuwa Makamu wa Rais wakati huo kwa maneno mengine na yeye alihusika katika kuanzisha miradi hiyo tofauti ni hii; katika zama za Magu kulikuwa na usiri na UONGO mwingi wa kifisadi katika hiyo miradi lakini katika zama hizi za Samia kinyume na mtangulizi wake kumekuwepo na UWAZI mkubwa, hata ripoti ya CAG imewekwa wazi katika awamu hii na hiyo ni "hatua" kubwa kuelekea utawala bora, sasa anapotokea mtu akaunga mkono juhudi za maendeleo zinazofanywa kwa ajili ya nchi je nidhambi??!!

Tuangalie chuki isizidi na kufunika upeo wetu wa Akili zetu kutafakari na kukiri mema yanayofanyika.
 
Ni Maovu yapi ya Serikali ya CCM Zitto anayaunga mkono??!---- "mnyonge mnyongeni lakini haki zake mpeni".

Kweli miradi hii mikubwa ilianzishwa na Magufuli lakini usisahau kuwa huyo Samia ndiye alikuwa Makamu wa Rais wakati huo kwa maneno mengine na yeye alihusika katika kuanzisha miradi hiyo tofauti ni hii...
Ule mkataba wa bandari ya Bagamoyo kulikoni?
 
Ni Maovu yapi ya Serikali ya CCM Zitto anayaunga mkono??!---- "mnyonge mnyongeni lakini haki zake mpeni".

Kweli miradi hii mikubwa ilianzishwa na Magufuli lakini usisahau kuwa huyo Samia ndiye alikuwa Makamu wa Rais wakati huo kwa maneno mengine na yeye alihusika katika kuanzisha miradi hiyo tofauti ni hii...
unaposema taarifa ya CAG imewekwa wazi kipindi hiki tu,nako nikuendeleza chuki ulizozikataza mwenyewe.wakati taarifa za CAG zimewekwa wazi mwaka hadi mwaka labda kama kwa hisia zako ulikuwa hukubaliani nazo..kama kigezo cha kuunga mkono ni uwazi kupitia taarifa za CAG,

basi wewe na zito mngelifanya hivo katika vipindi vyote na siyo kutuonesha sasa kuwa mnaunga mkono tena mnasisitiza kila kukicha,kama hamtafuti ulaji ni nini kingine mnatafuta.

mlishasema mtaunga mkono juhudi basi endeleeni kuunga kwanini yawe matangazo ya kila siku,kwanini tusihisi kuwa kuna mtu mnahitaji awasikie ili watunuku zawadi flani kwa kuonesha kuwa mna muunga mkono?
 
Mhe. Zito Kabwe ni Mzalendo wa kweli mwenye uchungu na kuipenda nchi yake kwa dhati ya moyo wake.

ACT ni chama ambacho nakikubali, chama cha siasa kinacho nadi sera mbadala kwa hoja sio matusi wala dhihaka kama walivyo Chadema na Nccr...
Siasa sio ugomvi wala uadui bali siasa ni kushawishi kwa hoja madhubuti. Chama cha kwanza kuonyesha hiyo dhana kilipaswa kuwa CCM. Badala yake wao wanaendekeza uadui na chuki katika jamii.

Kuna sababu gani za msingi za kuwaweka mahabusu wanachama na wafuasi qapatao 50 wa upinzani pasi na makosa. Hii haijengi chuki kwenye jamii?
 
Back
Top Bottom