Zitto Kabwe adai nyumba yake ilichomwa moto ili kumzuia asiende kumuona Lissu hospitali Nairobi

Zitto Kabwe adai nyumba yake ilichomwa moto ili kumzuia asiende kumuona Lissu hospitali Nairobi

W
Hapo umejichanganya mkuu.

Namaanisha. Kuna mtu hapa jf aliwahi kusema baada tu ya uchaguzi wa 2020 kuwa Magufuli awe makini na waliomwibia Kura maana Wana nguvu Sana na wanaweza kumuondoa. Na kweli miezi mitano baadae akaondoka.
 
Chadema ipo kwa ajili ya kushika dola tu ili wajinufaishe binafsi na wala si kwa ajili ya maslahi ya umma.--- Jinsi Covid 19 walivyosaliti CDM kwa maslahi yao ndivyo Essence ya CDM ilivyo, kwa.maneno mengine Covid 19 wamedhihirisha tabia nzima ya CDM.

Please, Covid 19 sio CHADEMA wale Ni waasi. Mambo yabCovid 19 muulize Ndugai au mahera wa NEC.
 
W

Namaanisha. Kuna mtu hapa jf aliwahi kusema baada tu ya uchaguzi wa 2020 kuwa Magufuli awe makini na waliomwibia Kura maana Wana nguvu Sana na wanaweza kumuondoa. Na kweli miezi mitano baadae akaondoka.
Kwahiyo ulifanya sherehe.
 
Unajua mambo mengine bana ni ujinga matupu,

sasa yeye kwenda Nairobi kumuona Lissu ingeongeza au kupunguza nini kwa uongozi uliopita kiasi kwamba waamue kuchoma nyumba yake moto?

Alafu hiyo nyumba yake ilikuwa imejengwa ndani ya nguo zake za ndani mpaka hiyo habari haikuripotiwa na mtu mwingine yeyote tangu kipindi hiko mpaka Leo hii ameamua kusema yeye mwenyewe?
 
Zitto ni muhuni katika siasa pia ni dalali kama wale madalali wa vyumba mtaano
 
Ninavyomjua kama ni kweli chuki alizokuwa nazo lipindi hicho angeshajitokeza na kusema

..unaunga mkono kuundwa kwa TUME YA UCHUNGUZI ili kujua ukweli wa kilichotokea?

..kudanganya mbele ya tume ya uchunguzi ni kosa la jinai.

..na kukataa kutoa ushirikiano kwa tume ya uchunguzi ni kosa la jinai.
 
Ndio maana sipendi chama, CHADEMA tatizo lenu hamtaki mtu apishane fikra na nyie ila nyie mnaona mnakuwa sahihi kupinga fikra za wenzenu hata zikiwa sahihi.

CHADEMA si chama cha kuaminika walikuwa na mengi sana kabla ya uchaguzi 2015, Richmond na Lowassa ndio ilikuwa ajenda yao, lakini cha kushangaa Lowassa wa Richmond ndio akawa mgombea wao. Hii ni hatari sana.

2878995_images_9.jpeg
 
Unajua mambo mengine bana ni ujinga matupu,

sasa yeye kwenda Nairobi kumuona Lissu ingeongeza au kupunguza nini kwa uongozi uliopita kiasi kwamba waamue kuchoma nyumba yake moto?

Alafu hiyo nyumba yake ilikuwa imejengwa ndani ya nguo zake za ndani mpaka hiyo habari haikuripotiwa na mtu mwingine yeyote tangu kipindi hiko mpaka Leo hii ameamua kusema yeye mwenyewe?

..sema wewe hukupata taarifa za nyumba ya Zitto kuungua.

..lakini taarifa hizo zilikuwepo ktk vyombo vya habari.

..tuhuma kwamba nyumba ya Zitto ilichomwa na watu fulani ndio imetoka hivi karibuni.
 
Pumbavu we

Eti nyie ndie mmmeumizwa saaaana!!!!, --- mnatafuta huruma ya umma wapigaji wakubwa nyiee.

Tena nyie mkipewa nchi mtafilisi kila kitu afadhali ya CCM.

Nchi tumpe Mangi wewe umeona wapi??!!

Zwazwa weee.
 
Please, Covid 19 sio CHADEMA wale Ni waasi. Mambo yabCovid 19 muulize Ndugai au mahera wa NEC.

Covid 19 ni zao la CDM kubali au kataa.

Hao ni mirror image ya ndani ya Chadema, they reflect what was/is going on---under capet-- in the party systems, CDM ni chama maslahi na sio chama kwa ajili ya umma.
 
Na aliyeichoma na Magu.

Lazima anamlenga Magu.

Hii kitu inaitwa Maridhiano ni moja wapo ya movements tu za kuendelea kumchafua Dr. Magufuli.

Yaani wanataka kumbrand kama Mhalifu ambaye hajawahi tokea Tangu tumepata uhuru.

Hii sio sawa.

Unataka kusema kwamba Hakuna walioumizwa na utawala wa Nyerere?Mwinyi?Mkapa? Kikwete?? Au hata sasa.

Siasa zinazofanyika sasa is beyond ubinadamu maana wahusika hawana hata aibu kabisa.
Hao wapuuzi watakwama tu Magu ni nyumba ya kioo ukifuta vumbi tu kinang'aa zaidi
 
Back
Top Bottom