Zitto Kabwe ampiga 'kijembe' Tundu Lissu kuhusu hoja za hati ya Muungano.

Ndugu, nimemsoma na nimemjibu kulingana na uwezo wa akili na fikra zake.

Alichokifanya ni sawa sawa na kuandika post card digitally.

Ni kwa watu wenye uelewa mfupi wa mambo ya digital print ndiyo wanaweza kukubaliana na kile alichokiweka.

Hapo unawasemea Riz na Jerry!? wao hawajakana wewe unakurupuka kupinga mawasiliano yao. ccm bhana.
 
Mtoa mada design kama mbeambea vile leta mada zenye tija coz muungano unazungumziwa na watu wooote not only lisso na kama unadai zitto alimpiga lisso dongo basi angebaki ndani ila kama ulivyomsikia yeye mwenyewe aliujadili muungano tena kwa uzuri than anybody next time jpange ukiwa huna mada we tulia tu.
 
Duuh Zitto ni jembe la ukweli huwezi kumlinganisha huyu dume na yule mwehu wa kinyaturu tundu lissu...Zitto ni mlima na lissu ni kichuguu..jamaa Zitto kashusha points with figure(statistics) yaani huyu ZZK ni leader material,na huyo mwingine mwehu ni activist akajiunge na NGO ..hovyoo sana huyo mnyaturu namuombea kwa mungu apigwe chini come 2015.
 

chadema ni akili ndogo yanapelekeshwa na mwehu lissu,mgonjwa wa mirembe
 

Waambie vichaa hao. Wanadhani tunaweza kuamini upuuzi wao huo.
 

Unafaa kuunda kundi la taarabu.
 

ndani ya chadema hakuna mwenye uwezo kumkaribia zitto
 
Yah, Zitto is one of the best young leader who has very bright future in this Nation. The guys is bright, full of wisdom and he can play his cards very well

Bravo Zitto
Mkuu, andika kwa kiswahili, kiingereza hukijui! nenda darasani bwana mdogo!
 
Lissu mo fire na nzito wap na wap?????


Sent from my iPhone 5 using JamiiForums
 
Ndugu, Kuna hoja iko mezani.

Hakuna sehemu inayohitaji kutaja wasifu wa watoa hoja kama mwanamme au Mwanamke.

Tujikite kwenye hoja.

Hoja gani wewe jua kali ? Acheni kupoteza watu maboya nyie habari ya mujini kwa sasa Watanganyika tunataka katiba mpya ya wananchi na sio ya wachumia tumbo wachache mlaaniwe.
 
Hapo unawasemea Riz na Jerry!? wao hawajakana wewe unakurupuka kupinga mawasiliano yao. ccm bhana.

Kwani hapa ndiyo sehemu ya kuleta ili 'wahusika' wake wakanushe hizi fake digitally print
 

kwa utashi wako umehamua kuwagonganisha
 
Akili yako naifananisha na hii kitu hapa

 
Lisu alishavurugwa akavurugika some time huwa hajui hata anachoongea zimefyatuka kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…