Zitto anafikil watanzania wote wanaijua historia ya nchi kama wana siasa. Mi namkubal Lissu amefanya watu wengi tukanza kujua Tanganyika ilivyo kufa
Zitto asitake kuwadanganya Watanzania! Eti anajidai kuwa political correct. Hicho kitu hakiwezekani You cant eat your cake and have it at the same. Mimi mwenyewe pamoja na watanzania wengine hatujui Historia ya nchi hii. Hakuna ubishi tukiulizwa hapa Nani alikuwa Kiongozi wa Mapinduzi matukufu ya Zanzibar tutapata majibu mengi. Tukiulizwa hapa nani aliyemua Abeid Amani Karume na kwa malengo/sababu gani, tutapata majibu mengi hapa. kama Watanzania tunafahamu historia ya nchi yetu why majibu tofauti tofauti?